Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
kwa Darasa la SABA tatizo sio ufundishaji bali tatizo ni UTUNGAJI WA MTIHANI WENYEWE WA HESABATI.Pengine tatizo sio somo. Tatizo ni namna ya ufundishaji wa somo.
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
kwa mataifa mengine maswali kama hayo wanaulizwa wanafunzi wa vyuo lkn kwa hapa Tanzania mtoto wa Darasa la Saba ndio wanaulizwa maswali kama hayo!!!Tatizo wamewarundikia syllabus nyingi na ngum ambazo hawana faida nazo kwenye maisha halisi....
Vipenyo,mistatili,tafuta x n.k nilifundishwa afu sijawahi kutana nayo mtaani zaidi ya magazijuto.
Kinachotakiwa kuzingatiwa ni umri au topics zilizokuwa covered?kwa Darasa la SABA tatizo sio ufundishaji bali tatizo ni UTUNGAJI WA MTIHANI WENYEWE WA HESABATI.
mbona mitihani ya masomo mengine hawalalamiki?! Hesabati tu!!
tatizo lipo kwa NECTA namna wanavyo tunga mtihani wa hesabati kwa darasa la 7 hauzingatiii umri wala maarifa ya watahiniwa.
Sijui labda walimu wa Somo la Hisabati kwa Darasa la Saba watanisaidia.Kinachotakiwa kuzingatiwa ni umri au topics zilizokuwa covered?
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Tuna shida kwenye sekta ya elim,mtoto wa darasa la 5 ana masomo 9 mpaka 12,huu si mzigokwa mataifa mengine maswali kama hayo wanaulizwa wanafunzi wa vyuo lkn kwa hapa Tanzania mtoto wa Darasa la Saba ndio wanaulizwa maswali kama hayo!!!
Watoto wa Darasa la 7 kwa hapa kwetu TZ wanakuwa kati ya miaka 9 hadi 13 bado wadogo kabisa kimaarifa lkn unakuta anapewa mtihani ambao haulingani kabisa na maarifa yake!!
Mwalimu mwenyewe anakuja class kameza maswali yake mawili matatu! Kisha anawatemesha saingine anayumba yumba mpaka sio vyedi π unategemea mwanafunzi aeleweπ na kupenda somo?Kiongozi math yaonekana ngum pia ni sababu walim weng wako shallow kweny ufundshaj
Somo la kipuuzi sana na linafundishwa kwa vitisho na stiki kwa sana π ! Anyways tukiachana na basic operations zile za std 1-4 (Magazijuto)! Kitu kingine ambacho nimekitumia maishani kwenye hesabu ni conversion ya units of measurements tu ndio huitumia zaidi otherwise nilichopata o level kimenitosha!Kila kitu ni mapenzi watoto wengi wa Kitanzania hawajaekewa mapenzi ya kupenda hesabu tangu wadogo inapelekea hata wanapoingia shule wanalikacha hilo somo
daah pote tu panahitaji marekebisho maana kuna wengine wanatoka vizuri tu ila o-level sasaMpaka kufikia o level ni too late msingi ushaharibika unadhani hata ukijenga vipi jengo haliwezi kuwa imara limeharibiwa kwenye msingi.
kwa sasa masomo yamepunguzwa kuanzia darasa la 4 mpaka la 7Tuna shida kwenye sekta ya elim,mtoto wa darasa la 5 ana masomo 9 mpaka 12,huu si mzigo
Tatizo sio kutunga mitihani mkuu.. ata ukitungapepa rahisi sanaaa wakufeli watakuwepoo wengi tu.. ili somo halina msingi mzuri, pia watoto wana umri mdogo sanaa.. hawana uwezo mkubwa wa utambuzi katika kutatua matatizo ya kihisabatikwa Darasa la SABA tatizo sio ufundishaji bali tatizo ni UTUNGAJI WA MTIHANI WENYEWE WA HESABATI.
mbona mitihani ya masomo mengine hawalalamiki?! Hesabati tu!!
tatizo lipo kwa NECTA namna wanavyo tunga mtihani wa hesabati kwa darasa la 7 hauzingatiii umri wala maarifa ya watahiniwa.
π π πMaticha Wa namba vitisho shazi ile kishenzi madogo wapoteza attention na attendance
Mkuu; Naomba nianze hv: Nyumba inakuwa imara kutokana na uimara wa msingi wake. Somo la Hisabati linajengwa tangu mtoto akiwa nyumbani, then chekechea, halafu darasa la kwanza n.k. Kwa hiyo kama NYUMBANI mtoto hajapata exposure ya hesabu ni wazi Mwl. wa chekechea ana kazi ngumu sana. Na kama Wazazi wa Mtoto nao watasema na Kuamini kwamba Hesabu ni ngumu na hawamtii moyo (Encourage) mtoto wao kupenda Hisabati basi ni mlolongo unaendelea hadi chuo kikuu. Watoa Mitihani wanazingatia sana Syllabus na pengine kuna kitu kinaitwa Moderation. Maswali yanayoulizwa yanakuwa yamepitiwa tena na kurekebishwa kiwango cha kila Mwanafunzi ALIYEKUWA MSIKIVU kwa Mwl. wake anayamudu. Ni ukweli usiopingika (Hata ww ni shahidi) Mitihani ya shuleni ile ya Kumaliza Muhula Terminal exams au Mock huwa ni migumu zaidi ya ile ya Kitaifa.Wanafunzi wa Darasa la Saba wamemaliza Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi, lkn ktk tathimini ya haraka haraka wanafunzi wengi wanalalamika kuwa mtihani wa somo la Hisabati ulikuwa mgumu sana.
Swali ambalo nimejiuliza:
1. Kuna tatizo gani ktk somo la Hisabati kwa Elimu ya Tanzania?
2. Ni somo la Hisabati ndio Gumu au Wanao tunga mitihani ya somo la Hesabati ndio wanafanya somo lionekane kuwa gumu?
nadhani kuna haja kwa mamlaka ya Elimu kutazama kwa makini ili ibainike.
Tusitunge mitihani kama vile tunawakomoa wanafunzi. tuwapime kwa viwango vyao na kwa kulingana na upeo wao wa akili tusiwape mitihani ambayo iko juu ya uwezo wao.
Kwani kuna ulazima wa kutunga maswali "complicated"? kwa maoni yangu sioni kama kuna ulazima.
Mimi naona hicho kigezo cha Uwezo wa watoto sio muafaka kwani watoto wenyewe wanatofautiana sana uwezo ndo maana mtihani ule-ule kwa darasa hilo-hilo linalofundishwa na mwalimu huyo-huyo hutokea mtoto wa kwanza na wa mwisho. Hapo ni uwezo tofauti.Pamoja na kukosekana kwa walimu weledi ktk somo la Hisabati lkn kwa maoni yangu Hesabu za Darasa la Saba walimu wengi wanazimudu ila naona tatizo lipo kwa NECTA, Baraza la Mitihani linatunga Mitihani ya luwakomoa watoto wa Darasa la Saba badala ya kupima uwezo wao.
Mtoto wa Darasa la Saba hawezi kumtungia mtihani sawa na wa form 4 au form 2.
NECTA wanapaswa watunge mitihani kulingana na uwezo wa watoto wa Darasa la 7. mtihani uwe standard kulingana na maarifa yao/umri wao.
Wanafunzi wa Darasa la Saba wamemaliza Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi, lkn ktk tathimini ya haraka haraka wanafunzi wengi wanalalamika kuwa mtihani wa somo la Hisabati ulikuwa mgumu sana.
Swali ambalo nimejiuliza:
1. Kuna tatizo gani ktk somo la Hisabati kwa Elimu ya Tanzania?
2. Ni somo la Hisabati ndio Gumu au Wanao tunga mitihani ya somo la Hesabati ndio wanafanya somo lionekane kuwa gumu?
nadhani kuna haja kwa mamlaka ya Elimu kutazama kwa makini ili ibainike.
Tusitunge mitihani kama vile tunawakomoa wanafunzi. tuwapime kwa viwango vyao na kwa kulingana na upeo wao wa akili tusiwape mitihani ambayo iko juu ya uwezo wao.
Kwani kuna ulazima wa kutunga maswali "complicated"? kwa maoni yangu sioni kama kuna ulazima.