Kwanini spare tyre huwa vidogo?

Hata mimi nimeongea kitaalamu. jibu si lazima liweni lile lile wakati wote kama ambavyo mtu umekariri. so ulipaswa useme pamoja na hilo kuna hili lingine.
 
Mkuu spare tyre hua ndogo kwa magari madogo tu ukiwa na SUV unapata spare tyre kubwa kama kawaida...SUV simaanishi hizi Harrier, Vanguard, Rav 4 etc namaanisha Landcruiser, Nissan Patrol, Pajero etc..
Mkuu Suzuki Jimny tyre yake ni kubwa, sijui unatuambiaje
 
Hata mimi nimeongea kitaalamu. jibu si lazima liweni lile lile wakati wote kama ambavyo mtu umekariri. so ulipaswa useme pamoja na hilo kuna hili lingine.
Sawa Gudume
 
Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Tusio na magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…