GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Hata mimi nimeongea kitaalamu. jibu si lazima liweni lile lile wakati wote kama ambavyo mtu umekariri. so ulipaswa useme pamoja na hilo kuna hili lingine.Hii ni kwa mujibu wako ila kitaalam limewekwa dogo na jepesi ili ku accumulate nafasi kidogo kwenye gari, pamoja na uzito wake kuwa mwepesi kuliko rim halisi za gari ili kumaintain fuel economy maana vitu ubebavyo ndani ya gari vina athari kwenye fuel economy ya gari husika.