Kwanini spare tyre huwa vidogo?

Kwanini spare tyre huwa vidogo?

Hii ni kwa mujibu wako ila kitaalam limewekwa dogo na jepesi ili ku accumulate nafasi kidogo kwenye gari, pamoja na uzito wake kuwa mwepesi kuliko rim halisi za gari ili kumaintain fuel economy maana vitu ubebavyo ndani ya gari vina athari kwenye fuel economy ya gari husika.
Hata mimi nimeongea kitaalamu. jibu si lazima liweni lile lile wakati wote kama ambavyo mtu umekariri. so ulipaswa useme pamoja na hilo kuna hili lingine.
 
Mkuu spare tyre hua ndogo kwa magari madogo tu ukiwa na SUV unapata spare tyre kubwa kama kawaida...SUV simaanishi hizi Harrier, Vanguard, Rav 4 etc namaanisha Landcruiser, Nissan Patrol, Pajero etc..
Mkuu Suzuki Jimny tyre yake ni kubwa, sijui unatuambiaje
 
Huwa nashangaa sana. Kila ninaponunua gari huwa nikiangalia spear tyre lazima nikute kidogoo!

Kwann wajapan wanatuwekea spear tyre huwa viduchu kuliko matairi halisi ya gari?

Maajabu sana.
Tusio na magari
 
Back
Top Bottom