Kwanini species nyingi za wanawake ni wafupi?

Sema nini mwanamke awe mfupi na mtraaakooo kama niffer inapendeza.ila mwanaume awe mfupi tumbo kama loba la taka na tako juu hiyo shida
 
Ushauri wangu;

Oa mke mrefu ili aje akuzalie watoto warefu pia

Usije nawe kulaumiwa na wakwe zako hapo baadaye

NB;
Watanzania wengi zaidi ya asilimia 70 ni wafupi, ni rahisi kuendelea kuzaa watoto wafupi
Urefu kama unaongeza akili au pesa ni hoja kama sio ni nonsense
 
Hii ipo kweli asee mana hata ukute mwanaume ni mfupi lakini akiwa na manzi wakiongozana utakuta mwanaume anakuw mrefu kidogo kuliko manzi ake na hata mimi nlikuwa nashangaa sana unakuta unaliona lishangazi tipwatipwa kubwa kabisa ukilisogelea unashangaa linakuishia kifuani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Me nahisi Mungu aliweka hii kitu yani mnapokuwa pamoja mwanamke na mwanaume unashangaa mwanaume unakuwa mrefu kidogo ili kuonesha nguvu ya utawala.. maana kumtawala aliyekupita kimo nacho ni kipengele kidogo ๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ
 
Kwema wakuu

Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
Hii nayo ni habari?
 
Urefu kama unaongeza akili au pesa ni hoja kama sio ni nonsense
Marekani wanaoongoza Kwa urefu ni black Americans

Ambao, wanautumia urefu wao kupiga hela kupitia basketball.

Huku kwetu urefu hauna deal
 
How? Yaani kucheza kikapu au?
Ndiyo, kupitia mchezo wa Kikapu

Angalia akina Michael Jordan, Kobe Bryant and likes

Wanapiga hela nyingi kupitia Kikapu

Halafu nina mashtaka, hizi species jamaa watakuwa waliwaiba Babu zetu miaka ile ya 1,600
 
Ushauri wangu;

Oa mke mrefu ili aje akuzalie watoto warefu pia

Usije nawe kulaumiwa na wakwe zako hapo baadaye

NB;
Watanzania wengi zaidi ya asilimia 70 ni wafupi, ni rahisi kuendelea kuzaa watoto wafupi
Nathani hata Polisi wamepunguza sifa ya urefu kwenye ajira zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ