Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Mwanaume ana kiwango kikubwa cha homoni za testoterone na estrogen ambazo kwa kiasi kikubwa zinahusika na ukuaji wa mifupa. Uwingi wa izo homoni zinamfanya mwanaume kuwa na mifupa mikubwa na mirefu, ndio maana wastani wa kimo kwa wanaume ni mkubwa ukilinganisha na kwa wanawake.