Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Saivi wanachukua hadi sentimeta 157 Kwa Ke na sentimeta 165 Kwa MeNathani hata Polisi wamepunguza sifa ya urefu kwenye ajira zao.
πππππWatu wafupi moyo hua uko karibu na mfuko wa mavi,Sasa lile joto ndio maana muda mwingi hua tuna hasira.
Wanawake hubeba ujauzito na ili mtoto akae vizuri ndani ya tumbo la uzazi anatakiwa ashikiliwe vizuri asipwaye, akipwaya atapata mtikisiko mkubwa mama yake atembeapo au afanyapo shughuri zake, jaribu kunywa maji ndani ya tumbo ambalo halina chakula kisha tembea au kimbia, utazisikia chukuchuku za maji, hii inatokana na uwazi mkubwa ndani ya tumbo.Kwema wakuu
Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
Umeandika species kisayansi umewagroup wanyama au viumbe vyote vyenye jinsia ya kike ,wengi wao wana maumbile madogo.Angalia wanyama kama ng'ombe,Mbwa,Paka,Simba,Tembo,Mamba an list goes on.. hawa wote utawakuta jinsia kike ina maumbile madogo ukilinganisha na kiume, kumbuka binadam ni wanyama pia.Kwema wakuu
Naombeni msinishambulie najiuliza wanawake mbona wengi wao ni wafupi sana.. yaani unakuta anakufika kifuani au tumboni kabisa hii imekaaje ... kuna factors zozote za kisayansi?
Misinishambulie please
Bado ni nonsense,mfano wewe unafaidikaje na urefu wako?Ndiyo, kupitia mchezo wa Kikapu
Angalia akina Michael Jordan, Kobe Bryant and likes
Wanapiga hela nyingi kupitia Kikapu
Halafu nina mashtaka, hizi species jamaa watakuwa waliwaiba Babu zetu miaka ile ya 1,600
ππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£πππUna utani na waha
Nothing big have achieved so far, zaidi ya kukosa nguo za kukutosha kuvaa πBado ni nonsense,mfano wewe unafaidikaje na urefu wako?