Kwanini speed ni 180 km/h?

Gari zinafika ila hakuna stretch ya kutosha ya kukufanya ufike hiyo speed.
Kwahio unaamin hata toyo kuwekewa 140 sijui 160 itafika ila inahitaji stretch ya kutosha😁😁 so na mm nitengeneze gari yangu sedan uzito 1.5t 105hp ...speed mshale niweke 240kph utaamin linafika?😁
 
Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
Barabara ya gari, lakini hadi ng'ombe wamo
 
Huyo jamaa anadanganywa na namba hizo ..inahitaji ufahamu wa hali ya juu me hizo video nimeangalia sana ...so hata nikikuta mtu ana germany car limeandikwa 320 siogopi all i need to know ni how much power hio gari inayo... ndo mana siogopi v8 hizo hp 267 uzito tani mbili plus hata nikiwa na sedan yoyote hp kwanzia 180 petrol unazifata vizuri tu
 
3000cc......>300HP

~2000cc ndio unapata 233-243km/h

Naam kwa stock cars(non-tuned) huu ndio ukweli halisi wa mambo huko barabarani.
Si kweli ,, nan kasema 3000cc is equal to 300hp ...nani kasema gari za cc 2000 zinafika 243...xtrail inafika?
 
Nina ki Volkswagen golf changu cha 2001 ,Dar Arusha masaa ma 5 tu 240-250km/hr kanafika vizuri tu.
Nunua mjerumani usisimuliwe..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Nina ki Volkswagen golf changu cha 2001 ,Dar Arusha masaa ma 5 tu 240-250km/hr kanafika vizuri tu.
Nunua mjerumani usisimuliwe..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Nimeenda nayo rally nikijaribu kufika ile 320km/h iliyoandikwa kwny kisahani haikufika ng'o hata kwa dawa,ifikishe hapo ukiwa umemaliza kisahani tuone kama utaweza.

Nimeshakua na bmw na mercedes kwa hio huo ujinga wako nenda kawaambie wanaoanza kumiliki magari na sio mimi.
 
Vitz cc1290 speed 200kmh

 
Tatizo 180km/h kwa mazingira yetu na aina ya magari haifikiki .... Kidogo Premio, hizo nyingine kufika 180 km/h ni almost to impossible ama suicide.

Hebu 'tusimulie' tu huyo uliyemuona na IST/ Runx/ Premio kafuta visahani
Mkuu labda ungesema PREMIO ya aina gani maana yenye cc 1496 unaitofautishaje na IST au RAUM?
 
🤔🤔🤔 Bado nafkri nikipata jibu narudi
 
Umenikumbusha mwaka jana tulipanda coaster uyole kuja dar kuliko na wamalawi wengi wanaongea kwa sauti ya juu,tukajaribu kulalamika dereva akasema tulieni watanyamaza wenyewe kweli kuanzia makambako wote kimya mwendo uliwanyamazisha!
 
Kuna kitu watu hawajui,utakuta anaponda IST kisa ana cruiser 1hz,japo zote kisahani ni 180 kinaonesha lkn topspeed ya ist iko juu kuliko 1hz!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanaskia stori wanakuja kutudanganya umu kana kwamba wanayo kumbe wanaskia stori tu, wanashangaza sana
 
Cheki sasa ulivyorukia ndonga kwa mbele, huyo jamaa amenitajia mwenye hio gti huko youtube na top speed aliyoishia ni 259km/h tu.

Weka screenshot hapa akiwa amefikisha 320km/h.

Hizo story muwe mnapigia watoto wenzenu.
Na hyo ni latest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…