Kwanini speed ni 180 km/h?

Kwanini speed ni 180 km/h?

Tatizo Wamatumbi mnanunua magari mabovu....cheap cars....Grade R yakifika Bongo mnaanza kusema magari ya nchi fulani mabovu.

Yanii unataka kwa 10m yako upate 'new modo'!

Mbona hayo ya Japan ..unaona gari namba DVT yani imechoka balaa ipo hoi bin taabab......utasema huyo mmiliki Mmatumbi ameiendesha hata 1000km!

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa ulichoropoka jibu kwa hoja mkuu.Pathetic
 
Kuna 50 humo huwa nasafiri nayo sometimes dar mwanza
Nikiamuaga unoko, napiga mahesabu ya tochi 5. Nakuwa na buku 5 kwa kila tochi hizo tano. Nafunguka mwanzo mwisho. Mwanza huwa naingia saa 12 jioni, na brake ya kwanza huwa The Cask au Diamond.. kupiga musamaki mmoja heavy.. yani
 
Kuna jamaa yupo hukohuko youtube anafikisha hizo top speeds. Anaitwa autotoppnl.

Na juzi tu alikuwa anaendesha hiyo golf gti.

Nashangaa unaposema hazifiki.
Kuna siku nilimchezemsha mwamba mmoja na Golf GTI na mie nilikuwa kwenye Crown Athelet.. maana tulikuwa tunaenda kwenye bams, au msongamano wa gari, nilikuwa namkataaa ile paaap.. anaifukuza ile kunipata kuna kikwazo tunapunguza mwendo, ila pakikaa sawaz mie nikikanyava wese vuuu.. nilisha muacha 😀😀😀😀😀😀.. nilikuwa namgonga zile za kuvizia
 
Nikiamuaga unoko, napiga mahesabu ya tochi 5. Nakuwa na buku 5 kwa kila tochi hizo tano. Nafunguka mwanzo mwisho. Mwanza huwa naingia saa 12 jioni, na brake ya kwanza huwa The Cask au Diamond.. kupiga musamaki mmoja heavy.. yani
Siku hizi ni elf 10 kuhonga maana nasikia akikuandikia elf 10 inaingia kama posho yake
 
One day feb, nimetoka dar saa tatu usiku to moro. Nimekamatwa 3 times overtake kwenye mstari. Zilinitoka elf 30
 
Hahah naona ulisoma heading tu ya hio video hukuangalia hata content yenyewe.

Nimeicheki mpk Mwisho hio video na Max top Speed aliyoenda ni 259km/h ambayo ni sawa na 161mph.

Achana hata na hio 320km/h ukipata hata screenshoot ya 270km/h kwny hio video iweke hapa.View attachment 1735618
Haiwez kuzidi apo maana top speed yke ni 155mph(250kmp)
Na hyo ni mpya ile ya mwaka huu perfomance package
Hyo apo 161mph ni kutokana na regulations za dunia zinaitaka speedometer ioneshe mwendo wa juu kidogo kuliko mwendo halisi, ndo mana kwenye kibao cha 50 ukiwa 58 ukipigwa tochi inaonesha 53
Kwa kifupi wasojua hudhani speedometer ndo huonesha top speed ya gari
 
Vipi Japan 180.. wasingefanyaga hata 220 ?
 
Ni kwa ajiri ya usalama wako na wa watu wengine
 
Kitu kitakacho ifanya passo ifike 180kph ni kufungia nyama kwa mbele
 
Tanzania yetu inavizingiti vingi sana, mara tuta, mara rasta, mara masai na ng'ombe wake barabaran. Yan ata speed 120 hauwez kukanyaga ndani ya dakika5
 
Na autobahn haina strech ya kutosha?

Ingia hata youtube uangalie mfano golf gti na speedometer zake za 320km/h zinavyoishia 235km/h haisogei zaidi.

Inahitaji kujitoa ufahamu kwa gari yenye around hp 200's hapo kufikia top speed ya 320km/h yaani kwny hesabu za automobile hii kitu haipo.
Kwenye hesabu za automobiles hiyo haipo?
Sidhan kama upo sahihi!
Gari kama Porsche, Maybatch, Bugatti hizo zote zipo zina V12 ambazo top speed ni kati ya 300-400 kph!
 
Back
Top Bottom