aikamatemu
JF-Expert Member
- Jan 29, 2020
- 464
- 1,897
Sijakuelewa ulichoropoka jibu kwa hoja mkuu.PatheticTatizo Wamatumbi mnanunua magari mabovu....cheap cars....Grade R yakifika Bongo mnaanza kusema magari ya nchi fulani mabovu.
Yanii unataka kwa 10m yako upate 'new modo'!
Mbona hayo ya Japan ..unaona gari namba DVT yani imechoka balaa ipo hoi bin taabab......utasema huyo mmiliki Mmatumbi ameiendesha hata 1000km!
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app