kapolo
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 303
- 103
Kuna mshikaji humu alitoa story. Walikua wanatoka Mwanza gari private na wana kadhaa. Ulikua usiku kwahiyo hamna trafick wala jam sana njiani. Kule mjini mjini ilikua poa wanacheka sana kwenye gari kufika maporini dere anafuta kisaani akipunguza sana 100 labda kuwe na tuta.
Aisee gari zima kimyaaa hamna mtu alielala wala anaeongea. Wale wengine wakawa wanachat. Wakakubaliana waombe wasimame kwaajili ya aja ndogo.
Dere anasimama nae anaenda jisaidia anarudi anakuta kwenye siti amekaa mwana mwingine. Kumbe wajamaa wameshakunaliana uyu fala anataka kutuua uyu. Akishuka tu agusi gari tena.
Walilala Dodoma. Wakati jamaa aliwaambia asubuhi chai wanaenda kunywa Dar.
Mimi kwenye safari za kifamilia huwa hawaniruhusu kugusa Gari. Sijawahi kuweza kutembea taratibu.