Kwanini speed ni 180 km/h?

Kwanini speed ni 180 km/h?

munisijo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
1,126
Reaction score
942
Wakuu

Baada ya kupata bahati ya kuwemo katika magari aina tofauti tofauti, makubwa na madogo lakini kubahatika kuendesha umbali mrefu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, kitu kimoja nimekuwa nikijiuliza, ni kwa nini magari ''karibia'' yanaonesha uwezo wa kwenda kasi kufikia mwendo wa 180 km/h?

Nilichogundua, mwendo kasi wa 180 km/h ni mkubwa sana sana sana, haufikiki, ni hatari na sio halisi hasa kwa aina ya magari yetu mengi ambayo ni mtumba huku barabara zetu nazo zikiwa sio rafiki.

Kwa mfano, magari ya cc 900 mpaka 2000cc haya kuwekewa mwendo kasi wa 180 km/h ni sahihi? Kwanini wasingeweka tu mfano 140 km/h? Hebu tuangalie uhalisia, katika mazingira yoyote yenye cc chini ya 1500 inaweza kweli kufika mwendo kasi wa let say 160km/h? Binafsi sidhani. Kwa gari maalumu za kwenda kasi na safari ndefu, ama zenye cc zaidi ya 2500 uwezekano unaweza kuwepo lakini kwa hizi nyingine, nahisi watengenezaji wanatulipisha gharama kubwa kwa kitu ambacho hakipo ama kwa kifupi wanatuibia.

Nini mtazamo wako?
 
Magari ya kijapani nadhani limit mwisho ni 180,kmh

Ni sera za JDM gari zinazotengenezwa kwa matumizi ya soko la japan speed limit mwisho 180kph
 
Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
 
Mwambie ajaribu E Class unavuka John Kijazi Interchange Mwenge to Bugurini 150km/h kama umesimama vile.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu

Baada ya kupata bahati ya kuwemo katika magari aina tofauti tofauti, makubwa na madogo lakini kubahatika kuendesha umbali mrefu kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, kitu kimoja nimekuwa nikijiuliza, ni kwa nini magari ''karibia'' yanaonesha uwezo wa kwenda kasi kufikia mwendo wa 180 km/h?

Nilichogundua, mwendo kasi wa 180 km/h ni mkubwa sana sana sana, haufikiki, ni hatari na sio halisi hasa kwa aina ya magari yetu mengi ambayo ni mtumba huku barabara zetu nazo zikiwa sio rafiki.

Kwa mfano, magari ya cc 900 mpaka 2000cc haya kuwekewa mwendo kasi wa 180 km/h ni sahihi? Kwanini wasingeweka tu mfano 140 km/h? Hebu tuangalie uhalisia, katika mazingira yoyote yenye cc chini ya 1500 inaweza kweli kufika mwendo kasi wa let say 160km/h? Binafsi sidhani. Kwa gari maalumu za kwenda kasi na safari ndefu, ama zenye cc zaidi ya 2500 uwezekano unaweza kuwepo lakini kwa hizi nyingine, nahisi watengenezaji wanatulipisha gharama kubwa kwa kitu ambacho hakipo ama kwa kifupi wanatuibia.

Nini mtazamo wako?
Magari yote ni yametengenezwa na mabeberu ndio maana huwa natumia usafiri wa punda
 
Wewe umetembelea gari za mjapani. Kacheck chuma za kijerumani cc 1600 speed 260 huku tatizo barabara haziruhusu na full matuta na hazijawa protected unaweza kuwa speed 120 unakuta mtu kaingia Road na kundi la ng'ombe
[emoji109][emoji109][emoji109]kabisa mkuu gari za mjapan zimeharibu watu wamekariri gari zote zipo hivyo akajaribu gari from europe upo speed 200 utafikiri upo speed 60 mashine ipo comfortable hakuna mfano
 
Ha ha ha aisee! Huko mbali mlimani city hadi KIJAZI Crown imefuta sahani zamani! Ila SPEED KILLS acheni mwendokasi
Amna nilimaanisha kua unavuka Interchange kwa speed hiyo ukitoka Mwenge kwenda Buguruni kama umesimama vile.

Saaa uyo Crown akiwa 150km/h si karibu anamaliza sahani yake? Anakua anatembea kama KAVIMBIWA??

Sasa hiyo E250 si ndo kwanza unamuita mama ntilie aongoze ubwabwa maana ni kama umechokoza njaa?

Nadhani unaelewa 0-100 ya hiyo kitu ni sekunde ngapi kwa 211HP.

SPEED kills kwakweli. Naunga mkono hoja

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Land cruiser new models zina speed 240km/h
Prado zina 200km/h
Hilux zina 200km/h
Mkuu unaelewa maana ya JDM ???

Maana yake ni japan domestic market

Magari yanayotengenezwa kwa ajili ya kutumia wajapan au soko la ndani la japan yana speed limitbya 180kph
Ila unaweza kukuta gari hiyo hiyo aina moja ikiwa usa au Uk utakuta speed yake inazid 180 mfano toyota corolla za UK zina speed ya 200 mpaka 240 kph
Pia avensis ya uk ina speed zaid ya 180

Natumaini umeelewa

Sent from my phone using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada...

Siku zote tambua ya kwamba nia ya mwanzo ya watu weupe kuunda magari haikuwa kwa ajili ya kukidhi matakwa ya mazingira ya Kiafrika, haya magari hatukutengenezewa sisi Waafrika...

Na hata yale yanayotengenezwa kupambana na hali za kwetu huku bei zake zipo juu...

Ukiwa mbele huko mathalani uwe I-35 unatoka zako Minnesota unaitafuta TX, unakutana na 'busati' moja well constructed and maintained...

Hata ukiwa na 'kibebi woka' no worries at all, kwanza ni barabara ambazo hazina kupisha na mtu wa upande mwingine...
 
Back
Top Bottom