Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imewekwa pembeni kumsaidia dereva kuchungulia nje kwa urahisiSana sana yamekuwa left hand au right hand kulinga na nchi husika .
Lakini magari kama yale ya hughuli za ujenzi au kilimo steling imewekwa katikati je kwani haya ya kawaida yalishidikana nini steling kuwekwa pale katikati?
Wanasema kuchungulia nje isn't proper way of driving, Ndio Nyie mnaochungulia nje Wakat mnarudi nyuma Wakat Kun Side mirror + back Camera [emoji38][emoji38]
Walioamua kuweka kushoto au kulia wana hoja ya msingi, jaribu kuwauliza. Ndio maana kuna nchi zinatofautiana left or right barabarani
Wanasema Kuchungulia nje isn't proper way of driving , Ndio Nyie mnaochungulia nje Wakat mnarudi nyuma Wakat Kun Site mirror + back Camera [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kana kwamba unapush Scania yenye Pulling [emoji38][emoji38]Dah kwenye kurud nyuma lazima nigeuke
Huwenda kuna ukweliIli iwe rahisi kuona mbele wakati dereva anataka ku-overtake
Umemaliza mjadala. hiyo ndio sababu kuu hizo nyengine za nyongeza tu.Ili iwe rahisi kuona mbele wakati dereva anataka ku-overtake