Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.TPC Moshi... 2.Mtiwa Morogoro.. 3.Kilombero Morogoro... 4.KageraTuna viwanda vingapi vya sukari nchini?
Sukari inayohitajika mwilini ataipata kupitia kula mihogo, viazi vitamu, ugali wa Dona etc. Sukari ya kuongeza kwenye uji na chai haina faida yoyote mwilini.....Hahahahaaa mkuu usipende kurahisisha Jambo gumu kiivyo unajua sukari inahitajika mwilini.
Je uwezo wa viwanda vyetu ni kiasi gani ukilinganisha na mahitaji??Unalijua jalala, dumping? . Sehemu kubwa ya sukari toka nje imeharibika expired.
Ni uamuzi wa ajabu kuchezea afya walaji.
Kuwalinda wawekezaji wa ndani ajira na kodi. Tunapaswa kuwa na Sera endelevu na sio hisia mzuka kiongozi. Viwanda vilivyopo vyote vina endelea na upanuzi kuongeza uzalishaji, Kuna ujenzi wa viwanda vipya na mashamba mapya mfano Bagamoyo Bakresa. Ni uwekezaji mkubwa wa pesa nyingi.Sio mtaji wa ndani pekee.
Hitaji la Katiba Bora lipo tuwe na taasis na mifumo imara.
Hi vyo ndiyo vitu tunatakiwa tujiulize kwanini umeme kwetu uwe juu wakati mabwawa yanajazwa na mvua ya mungu? Na kwanini walizima mradi wa umeme wa gesi ambao ulianza kuonyesha kuwa tunaweza kuja kupata umeme wa uhakika maana uzalishaji umeme kutumia gesi haina kiangazi Wala kipupwe?,, Haya yote tukiyatafuta mchawi anabaki kuwa ni kiongozi tunaempa dhamana hatuna uwezo wakumsemesha baada ya kumpa madaraka dawa inabaki kuwa ni moja na vipengele vyake tukipata katiba mpya iliyo Bora italeta tume huru ya uchaguzi na itampa mwananchi heshima yake ambaye ndie mwenye nchi katiba mpya ni muhimu tangu muda Sana ila inahitajika Sana zaidi kwa sasa na kuendeleaMimi nazani bei ya sukari kuwa juu ni kutokana na running cost mfano bei ya umeme kwa Tz ni kama sh 600/unit wakati nje ya nchi bei ni sh 40/unit Hapo ni lazima bei iwe nafuu ukilinganisha na Tz.
Hebu jiulize bei ya mafuta ya alzeti kutoka singida ni kubwa bei ya mafuta ya safi wakati safi yanatoka nje?
Kwa hiyo ni sahihi tuache iendelee kuwa Bei juu na unaamini kuwa mifumuko ya Bei inabaki kwenye sukari pekee bila kuathiri vitu vingine na wananchi kwa ujumla?Sukari inayohitajika mwilini ataipata kupitia kula mihogo, viazi vitamu, ugali wa Dona etc. Sukari ya kuongeza kwenye uji na chai haina faida yoyote mwilini.....
Sukari ya kuweka kwenye chai na uji ina faida ipi mwilini hasa ituchezeshe ngoma kiasi hiki?? Tuanzie hapa Kwanza.Kwa hiyo ni sahihi tuache iendelee kuwa Bei juu na unaamini kuwa mifumuko ya Bei inabaki kwenye sukari pekee bila kuathiri vitu vingine na wananchi kwa ujumla?
Tulishahamia kwenye Matumizi ya Asali kitambo sana.Mkuu wewe na jamii yako haitumii sukari kabisa?
Itaachaje kupigwa pini wakati inaingilia maslahi ya vigogo Fulani?
Mwendazake alituweza sanaInshu sio kuwa na idadi kubwa ya viwanda bali , ni uzarishaji unatosha?!!uzalishaji wa sukari kwa viwanda vyote vinne ni kama tani 320, 000 kwa mwaka, wakati mahitaji halisi kwa mwaka ni tani zaidi ya 580, 000!!!unadhania huo upungufu utajazwa vipi?miaka yote hiyo tofauti lazima iagizwe nje, na sukari ndio maana ilikuwa iko kwenye bei ya 1800 kwa kilo moja, alipoingia mwendazake na sera zake za NGUVU NYINGI MAARIFA KIDOGO, tunajua kilichotokea na ndicho kimetufikusha hapa hadi leo kwenye wastani wa 2700 kwa kilo moja!!viwanda vya ndani hata hicho kiwango tu cha tani 320, 000 wakati mwingine hakifiki mala mashamba yamejaa maji, una kuta nao tena wanafanya kazi ya kuingiza sukari kutoka nje tena!!Na kutu kingine gharama za uzarishaji wa bidhaa nchini ni mkubwa mno, sukari lazima iagizwe nje , sasa utaratibu wa uingizaji ndio mala nyingi unakuwa na matatizo.Miaka mitano yote tuliaminishwa kuwa ni muda wa kulinda viwanda vyetu ili vikue, yako wapi?kila kitu kimepanda bei, cement, nondo, vifaa vya umeme na vingi ni vya hapa hapa!!!
Utapataje sukari katika dona wakati dona yenyewe ni chungu ??? 😳Sukari inayohitajika mwilini ataipata kupitia kula mihogo, viazi vitamu, ugali wa Dona etc. Sukari ya kuongeza kwenye uji na chai haina faida yoyote mwilini.....
Uwezo wa viwanda vyetu ni kuzalisha tani 320,000 wakati mahitaji ni tani 580,000Je uwezo wa viwanda vyetu ni kiasi gani ukilinganisha na mahitaji??
Endelea kulamba vitu vitamu vitamu.... Vina madhara 😎😂😎Utapataje sukari katika dona wakati dona yenyewe ni chungu ??? 😳
inapaswa mtu anapotamka tunalinda viwanda vyetu, VIWE VYA BABA AKE!!!sababu tunalinda viwanda vyetu hata iwe kilo 1 sh 5000 sisi hatutaagiza sukari nje tunalinda viwanda vyetu hata mwananchi ashindwe kununua sukari lakini tunalinda viwanda vyetu huu msemo wanao sana watanzania bila kijifikiria yeye mwenye au kumfikiria mtu mwingine