Kwanini sukari imekuwa ghali saaana wakati viwanda vipo nchini vya kutosha?

Upo shamba unakula mihogo na viazi asubuhi unashushia na maji ya kisimani
Mchana ugali wa mhogo na matembele. Kwako haina faida
Kwanza masukari ni hatari kwa afya hata bei ikifika 7000 kwa sisi tunaojali afya sawa tu. Achaneni na masukari
 
Usiwe na wasiwasi kuna meli ya sukari banadarini pale inashusha tani 25 elfu
 
Kwanza masukari ni hatari kwa afya hata bei ikifika 7000 kwa sisi tunaojali afya sawa tu. Achaneni na masukari
Sasa kama wewe yanakuharibia afya wengine hayawaharibii afya Bali yanawapa glucose ya mwili hasa watoto lazima wapate sukari kwa kiwango kinachotakiwa hivyo acheni tupambane sukari ishuke bei Ili tunywe chai ya sukari kwa kiasi nyie muliotumia sukari kuzidi viwango ikawaumiza msitujumlishe.
 
Mie hiyo sumu nanunua Unguja1 kg kwa sh 2000/-. Inamaana hata Zanzibar wanaweza kutupatia kiasi flani cha sukari lakini na yenyewe inapigwa pini.
Sukari siyo sumu kunywa kwanini kiwango kinachotakiwa kwa siku haitakuwa sumu kwako.
 
Tatizo hawana Upendo wa Mungu utadhani wote ni makaini wanatamani mabaya kwa wengine, itabidi wabadilike waache ubinafsi Ili washushiwe baraka za kula mpaka kubakiza na kupata Mali mpaka akiba siyo dhambi.
 
Sukari inayohitajika mwilini ataipata kupitia kula mihogo, viazi vitamu, ugali wa Dona etc. Sukari ya kuongeza kwenye uji na chai haina faida yoyote mwilini.....
Hivyo ulivyotaja havina sukari inayotakiwa kwenda kwenye insulin na kuendesha mwili au kuupa mwili nguvu, sukari kwa kiwango kinachoruhusiwa mwilini ni salama tatizo litakuwepo kama unatumia nyingi kupita viwango vinavyoruhusiwa.
 
Wenye viwanda majibu yao ktk hili ni

Operation cost NI kubwa ndio Maana Wana uza Bei Hali kidogo
 
Hivyo ulivyotaja havina sukari inayotakiwa kwenda kwenye insulin na kuendesha mwili au kuupa mwili nguvu, sukari kwa kiwango kinachoruhusiwa mwilini ni salama tatizo litakuwepo kama unatumia nyingi kupita viwango vinavyoruhusiwa.
Sidhani kama nimeelewa ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…