Lifestyle ya tajiri isn't defined niga, Bill Gates alikuja bongo, alikula wali maharage, kuna wanaoprefer kuishi high life. You're simply short sighted.
tatizo ni locations ya hizo supermarket ni mtihani kwa wanyonge kufika..embu nambie mtu wa Mbagala anafikaje Mliman city
Unataka kuniambia bill gate angekuwa mkazi wa hapa angekuwa anakula kwa mama ntilie?Lifestyle ya tajiri isn't defined niga, Bill Gates alikuja bongo, alikula wali maharage, kuna wanaoprefer kuishi high life. You're simply short sighted.
Tatizo kumbwa kwanini hizo supermarket kumbwa zimeshidwa na ndogo hazikuwi....tzn hatuna middle income class kumbwa ambayo inajali quality badala ya quantity yani population yetu kubwa ni (marginal consumers ) cha pili hatuna local manufactured items vingi to import bei inakua juu kwa wateja na shida ya tatu serikali yetu itabiliki anything can happen any time to any body's bussiness
Umesema kweli. Lakini nadhani super market za bongo nazo zimekosa ubunifu. Wangejaribu kuzibadili ziendane na mazingira yetu. Nikipata muda nitaelezea zaidi
mbavu zanguUnataka kuniambia bill gate angekuwa mkazi wa hapa angekuwa anakula kwa mama ntilie?
Sawa sawa...... lazima tubadilika sambamba na international standardsWapange mafungu ya nyanya, vitunguu, wauze utumbo, waning'inize nyama juu.. Nafikiri nyingi zinajaribu kwenda na international standard... Nyanya Lazima uipreserve ndio uuze, pilipili, hoho nk ni hivyo hivyo pia....
Life style tu watu hawajazoea kutokana na lack of exposure mbona supermarkets vitu ndio vinauzwa cheaper kuliko maduka ya mtaani
Mkuu hilo ni sawa, ila sio kila siku kuna nyama ya juzi ata ilioletwa leo inatuzwa kwenye freeza, ni dhana ilio jengeka na tabaka la ma peasant eti supermarket vitu ni vya siku nyingi....pia quality ya bidha ni kitu muhimu katika supermarket, pia kodi inapatikana kuliko gengeni ambao ni informal, pia it's ameeting place kwa tabaka fulani(middle class) security ya gari na mari zako ni muhimu supermarket kuna usafi na mazingira rafiki yakununua vitu vingi kwa wakati mdogo time saving.
Lifestyle ya tajiri isn't defined niga, Bill Gates alikuja bongo, alikula wali maharage, kuna wanaoprefer kuishi high life. You're simply short sighted.
Unadhan kwann purchasing power ya watanzania wengi ni ndogo??Jibu ni rahisi tu, purchasing power Tanzania ni ndogo sana, yaani watu wenye uwezo wa kununua vitu vingi kwa wakati mmoja ni wachache sana hivyo hawatoshi kuifanya Supermarket itengeneze faida.
Sehemu kubwa ya Watanzania wanamudu kununua vitu gengeni au sokoni!
Supermarkets za bongo: Fungu la nyanya gengeni 500 supermarkets 1000. Kwa wenzetu ni vice versa. Pia zipo kila sehemu.
Supermarkets zikienea sana zinaweza kuua biashara za wafanyabiashara wadogowadogo. Bora kuongeza na kuboresha masoko (usafi, accessibility, visibility).
Mkuu umeona mbali. Hoja zako ni murua kabisa. Hata waTanzania wenye uwezo bado wako ki peasant tuu. Hatuangalii quality. in addition, kwa sababu ya nature ya maisha yetu wengi hawako busy ndo maana watapata mda wa kwenda Kariakoo nk. Siku hizi unakuta bucha wanauza nyama za mifugo iliyokufa...mambo yanaogopesha.
Huwezi kupiga box asubuhi mpaka jioni upate mda wa kwenda Kariakoo. Never. Wengi wanadhani supermarket ni luxury. Far from that. Inahusisha convenience, usafi, usalama wa mali za mteja, wide choices na mengine lukuki.
Mfano huwezi kuwa unaendesha gari ya 50M ukaenda kunywa bia uswahilini. Si kwamba unapadharau, Lakini unaweka usalama wa gari lako mashakani! Hata watu unaokutana nao ni muhimu sana.
Na hapo ndo tunakosea. Huwezi kujenga uchumi bila kuwa na middle class! kwa sababu middle class ndo consumers wakubwa na ndo wana taste ya luxuries! Sasa wewe kila siku lalamika kwamba Tanzania ni ya wanyonge....itakuwa ya wanyonge kweli na sijui utakusanya kodi kwa nani!
"Middle Class" hutengenezwa kwa serikali kutoa fursa kwa wananchi wake,bila "Middle class", watu wenye uchumi wa kati sio matariji sio maskini ni watu muhimu kwenye kila taifa,hawa watu ndio wanaleta mzunguko wa Pesa kwenye nchi.,hawa watu ndio wenye "Purchasing Power"So mkuu kazi ihamie kwanza kutengeneza middle class income?
Na ni vipi itengenezwe hiyo class?
Umesema vyema mkuu,maendeleo ya watu ni muhimu kuliko maendeleo ya vitu. Serikali ingeweka mazingira mazuri ya wananchi wake wengi kumiliki njia kuu za uchumi,maendeleo ya vitu yangekuja automatically. Kwa hali ilivyo sasa huko tuendapo hata hiyo kodi haitaweza kukusanywa watu watakua hoi taabani.Na hapo ndo tunakosea. Huwezi kujenga uchumi bila kuwa na middle class! kwa sababu middle class ndo consumers wakubwa na ndo wana taste ya luxuries! Sasa wewe kila siku lalamika kwamba Tanzania ni ya wanyonge....itakuwa ya wanyonge kweli na sijui utakusanya kodi kwa nani!
Umenena vyema."Middle Class" hutengenezwa kwa serikali kutoa fursa kwa wananchi wake,bila "Middle class", watu wenye uchumi wa kati sio matariji sio maskini ni watu muhimu kwenye kila taifa,hawa watu ndio wanaleta mzunguko wa Pesa kwenye nchi.,hawa watu ndio wenye "Purchasing Power"
Serikali inabidi itoe fursa kwa mashirika binafsi,wafanya biashara,nk, yaani kwa ufupi sekta binafsi inabidi iinuliwe ili watu wajiweze na wawawezeshe..
Serikail ya Jakaya Kikwete iliweza kidogo kuwainua watanzania wakawa katika hali ya "Middle class",kulikuwa na mzunguko wa Pesa kila raia alikuwa na uwezo wa kununua kile anachotaka,bila ya kufikria mara mbili..
Serikali ya Magufuli imezima ukuwaji wa "Middle class" hakuna mzunguko wa Pesa,raia anajiuliza mara mbili mbili vipi atumie Pesa zake,hali hiyo inafanya maduka ya kawaida pamoja na Super Market kufungwa..hakuna "Purchasing Power"
Moja katika kuleta mzunguko wa Pesa kwa raia ni kuziruhusu kampuni au mashirika binafsi yafanye biashara na Serikali,Serikali ya Magufuli imekataza hilo,kufanya hivyo zimefanya biashara nyengine zidorore nyengine zifungwe kabisa,hali hiyo imefanya raia wengine wakose kazi,wakose kuwa na uwezo wa kununua vitu madukani,mzunguko wa Pesa imekatika..
Nitakupa mfano mdogo wa Jeshi la Marekani,Jeshi kubwa na tajiri duniani,Jeshi la Marekani lina vitengo (Base)sehemu mbali mbali duniani,lakini utakuta Meli zinazopeleka vyakula na vifaa vyengine vya kawaida kwa wanajeshi wake ni Meli za kampuni binafsi,wafanyakazi wa meli hizo sio majeshi ni raia wa kawaida, huo ni mfano mdogo tu wa kuenua "Private sector",sekta binafsi katika nchi,...
Serikali ya Magufuli ilipokata kampuni binafsi au wafanya biashara wasifanye kazi na vyombo vya dola kama Magerza na Jeshi,wafanyakazi wa serikali wasifanye mikutano yao kwenye Hoteli za watu binafsi,hio ilikuwa moja katika kukata mzunguko wa Pesa kwa raia,hiyo ni mifano midogo tu,kuna mifano mingi vipi Serekali ya Magufuli inavyokatisha mizungiukowa Pesa ,vipi inaua "Middle class"
Magufuli anafikri utajiri ni ubebari,Ubepari ni uhalifu...aloshawahi kusema "Matajiri wataishi kama mashetani...",Magufuli na serikali yake ina mawzo ya "Kimasikini",kuna mwanasiasa mmoja wa Kenya simkumbuki jina lake alishawahim kusema kuwa "Magufuli ana cheo kikubwa katika nchi kubwa lakini mawazo na maamuzi yake ni sana na mwenyekiti wa kijiji"
Kwanza mbagala supermarket zipo kulekule kwa mahitaji ya majumbani, Mlimani city labda kwa bidhaa kubwa tu.tatizo ni locations ya hizo supermarket ni mtihani kwa wanyonge kufika..embu nambie mtu wa Mbagala anafikaje Mliman city