Labda kama Wewe huishi hapa nchini.....
Watanzania wengi ni wahanga wa customer care...!!!
Nakubaliana na wewe kwa pointi hiyo ikichagizwa na mindiset zetu kua humo vitu ni gharama sana, huwezi amini nimesoma pale Ardhi sijawahi nunua kitu pale mlimani nikiamini ni bei kubwa, siku moja nikapelekwa nikashangaa nanunua bei nyepesi kuliko hata kwanye maduka ya mitaani
2. hazijitangazi vya kutosha juu ya bidhaa zao
Hapo Ireland kuna sheria za EU zinazowalinda wafanyakazi na suppliers. Pia wakulima wanapata ruzuku nyingi sana. Kwa hiyo hata sisi we need system which allow competition, efficiency and freedom but also offer protection for certain groups and sector of society. Mixed economy with certain controls.
Unregulated free market and laissez-faire economy to which both government and the whole society are subordinate to market forces of supply and demand will always end in disaster like 2008 credit crunch and financial crisis.
There is really no 100% unfettered free market and laissez-faire economy anywhere in the world as far as i know. USA (Steel), EU ( Common Agriculture Policy, CAP), China (currency manipulation), Russia and India all of them protect certain sectors. It is all about proper checks and right balance for the economy.
Lakini wapiga debe wa Tanzania ya viwanda hawajaweza kuweka fungamano hilo.
Hatuna mazoea ya kununua mahitaji super market, binafsi napenda product ya mkulima pia naamin naturality haipo huko hasa kwa mahitaji ya chakula. Ingawa unafuu wa bei ya bidhaa ipo super market. Kutoka na mtazamo kama huu hasa wangu, super markets haziwezi kuendelea.
Asante sana. Na mimi ndiyo hasa wazo langu. Tukiweza kutengeneza kitu ambacho ni chotara kati ya Super Market za Ulaya na Masoko yetu tunaweza kuja na kitu kizuri sana.Naona kuna businesa model hapo mkuu!
Wajasiriamali wanaweza fanyia kazi wazo lako na kuuza vitu fresh lakini kwenye mazingira mazuri zaidi na yatakayoinua uchumi kwa ujumla
Mkuu kwa Bongo yetu kuwa-regulate watu wa Super Market ni ngumu. Niliwahi kufanya kazi super market za majuu na ukiona watu walivyo waaminifu huwezi kuamini. Kitu kama keki kinaweza kuanguka chini (kabla hata duka halijafunguliwa na yupo mpangaji peke yake) na akiweka kwenye dust bin. Hapo bado sijaongelea mavyakula na vinywaji vinavyotupwa kila siku kwa sababu muda umeisha.Kuna hadi organic product mkuu
Tena wanaofanya hiyo biashara wanakuwa regulated kabisa wanapofanya uzalishaji wa chakula.
Gengeni unaweza kwenda na kununua mboga ukifikiri ni freah kumbe sio.
Mimi imeshawahi kunitokea nimenunua mboga za majani kufika home naanza kuzikata nasikia harufu ya dawa kabisa.
Mkuu kwa Bongo yetu kuwa-regulate watu wa Super Market ni ngumu. Niliwahi kufanya kazi super market za majuu na ukiona watu walivyo waaminifu huwezi kuamini. Kitu kama keki kinaweza kuanguka chini (kabla hata duka halijafunguliwa na yupo mpangaji peke yake) na akiweka kwenye dust bin. Hapo bado sijaongelea mavyakula na vinywaji vinavyotupwa kila siku kwa sababu muda umeisha.
Jibu ni rahisi tu, purchasing power Tanzania ni ndogo sana, yaani watu wenye uwezo wa kununua vitu vingi kwa wakati mmoja ni wachache sana hivyo hawatoshi kuifanya Supermarket itengeneze faida.
Sehemu kubwa ya Watanzania wanamudu kununua vitu gengeni au sokoni!
Kwa daladalatatizo ni locations ya hizo supermarket ni mtihani kwa wanyonge kufika..embu nambie mtu wa Mbagala anafikaje Mliman city