Kwanini suti ni lazima kwa harusi ya Kikristo?

Kwanini suti ni lazima kwa harusi ya Kikristo?

So lazima wala muhimu. Unaweza 'ukala' T-Sirt na jeans na ukatinga kwa padre kufunga ndoa halali kabisa
Usimchanganye ndoa na harusi. Padre huwa kazi yake inaishia kwenye ndoa. Harusini siyo sehemu yake.
 
Back
Top Bottom