Kwanini Tafsiri za Qur’an Huchomwa moto Badala ya Kujadiliwa?

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
18,678
Reaction score
27,653
Hii ndiyo Tarjama, tafsiri ya kwanza kabisa ya Qur’an kwa lugha ya Kiswahili. Ilifanywa na Askofu Godfrey Dale akiwa Mmisionari Zanzibar mwaka 1923.

FB_IMG_1752083207634.jpg

Kwa bahati mbaya hatuna sokoni tafsiri hii, kwani Waislamu hasa wa Kisunni walizinunua na kuziteketeza.

Shirika la Kimisionari la CMS alilohudumu nalo Padre Dale bado lina nakala mama kule Uingereza, ila toleo hilo halipo sokoni tena.

Dale alikuwa mwanazuoni aliyebobea katika Kiarabu, Kiebrania, Kigiriki, na akajitolea kujifunza Kiswahili kwa muda wa utumishi wake Afrika Mashariki. Inasikitisha kuona kwamba hatuna tena toleo hilo.

Waislamu walipoiona tafsiri hiyo ya kisomi, alijitokeza Sheikh Mbarak Ahmed wa madhehebu ya Ahmadiyya naye akafanya Tarjama ya pili ya Kiswahili, akiifasiri kwa mtazamo wa madhehebu yake.
Toleo lake la kwanza lilichapishwa mwaka 1953. Katika toleo hilo mara nyingi alimzungumzia Padre Dale na kutafuta kumkosoa.

Baada ya toleo hilo, ndipo Waislamu wa Kisunni walipozinduka. Akasimama Sheikh Saleh Abdallah Farsy, aliyekuwa Kadhi Mkuu Zanzibar na baadaye Kadhi Mkuu Kenya. Huyu naye alifanya Tarjama ya tatu ya Kiswahili kwa mtazamo wa madhehebu ya Kisunni.

Kwenye toleo lake aliongeza maelezo mengi ya kumkosoa Sheikh Mbarak Ahmed, ambaye alimwita Qadiani, kwa kuwa Waislamu wa Ahmadiyya wanaamini kwamba Yesu aliwekwa msalabani (japo hakufia pale), ila aliokolewa na kukimbilia India ambako alioa na kupata kizazi. Alikufa Nabii Isa akiwa na umri wa miaka 120 kutokana na ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Katika kizazi cha huyu Yesu alizaliwa Mirza Ghulam Ahmad, ambaye ndiye Masihi mtarajiwa yaani Yesu aliyerudi mara ya pili.

Farsy alimkosoa vikali katika sehemu nyingi za tafsiri yake.

Katika miaka ya mwisho wa uhai wake, Sheikh Farsy alibadili misimamo yake na kuegemea madhehebu ya Kiwahabi, akipinga Maulid na ibada za makaburini ambazo Wasunni wengi wa madhehebu ya Kitweliqa (yaani Masufi) wanashiriki.

Baadaye, katika miaka ya 1970, alijitokeza Sheikh Ali Barwani kutoka Zanzibar. Baada ya misukosuko mingi dhidi ya serikali ya CCM na utawala wa Zanzibar, alikimbilia Oman na kutoa toleo la Tarjama ya Kiswahili ambalo leo ndilo linalotumika zaidi kwenye mitandao. Hii ikiwa Tarjama ya nne ya Kiswahili iliyochapishwa Kuwait.

Mapema mwaka wa 2000, Waislamu wa madhehebu ya Kishia nao wakatoa nakala yao ya kwanza ya Kiswahili iliyotolewa na mwanazuoni wao Sheikh Jumaa Ali Mayunga. Hii ni tafsiri ya tano ya Qur’an kwa Kiswahili.

Kwa bahati mbaya, wenzao wa Kisunni walinunua nakala hizi kwa wingi na kuzichoma; zingine zilitupwa baharini Hindi. Leo, japo Mzee Ali Mayunga bado yuko hai, kuzipata nakala za toleo la kwanza ni sawa na kutafuta maziwa ya kuku.

Katika toleo hilo, Sheikh Mayunga aliikosoa misimamo ya madhehebu ya Kisunni, akinukuu baadhi ya hadithi ambazo kabla yake hazikuwahi kutafsiriwa. Kwa sababu hii, alichukiwa mno na tafsiri yake ikaandamwa; leo hii ni vigumu sana kuipata sokoni.

Mnamo 2004–2005, alijitokeza mwanazuoni wa madhehebu ya Kiibadhi kutoka Zanzibar na Oman naye akachapisha tafsiri yake ya Qur’an kwa Kiswahili, akiita Asili ya Uwongofu. Hata hivyo, hii ilichukua mwelekeo wa tafsiri zaidi kuliko tarjama, na aliichapisha kwa juzuu ishirini.

Hii ni Tarjama ya sita ya Kiswahili, japo haikupata umaarufu mkubwa.

Mwaka 2023, Waislamu wa madhehebu ya Sarafu (yaani Mawahabi) nao wamefanikiwa kutoa toleo lao la Qur’an ya Kiswahili, iliyotarjumiwa na jopo la wanazuoni wa Kiwahabi wa Afrika Mashariki. Tafsiri hii inaelekezwa kufanana na toleo la Kiingereza la King Fahd wa Saudia Arabia. Hii ni Qur’an ya saba ya Kiswahili.

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tafsiri/ tarjama nyingi. Hata hivyo, tafsiri za Sheikh Farsy na ile ya Sheikh Ali Barwani ndizo zinazoongoza kwa matumizi miongoni mwa watu wa Afrika Mashariki.
Zipo pia tarjama kama za Sheikh Hassan Mwalupa, Sheikh Abubakar, ambazo hazina umaarufu mkubwa.
Tarjama ya Sheikh Ali Mazrui wa Mombasa haikukamilika kwani alifariki kabla ya kuihitimisha.

Kitendo cha kuchoma au kuharibu tafsiri mbadala za Qur’an hakionyeshi nguvu ya hoja, bali ni alama ya woga na ukosefu wa ujasiri wa kukabiliana na ukweli katika mjadala wa wazi. Badala ya kujadili tofauti za kiitikadi kwa hoja na maarifa, baadhi huchagua kutumia moto kufunika kile ambacho hawawezi kukipinga kwa mantiki. Kwa kufanya hivyo, wanafunga milango ya elimu, kudhibiti fikra huru, na hatimaye kupotosha historia ya namna Uislamu ulivyoeleweka na kutafsiriwa na wasomi wa madhehebu mbalimbali.

Kwani, ikiwa kweli tafsiri nyingine ni potofu mbona zisiwe fursa ya kujenga hoja madhubuti dhidi yake? Moto hauwezi kuzima hoja; huacha tu majivu ya uoga na mabaki ya fikra zilizozuiliwa.
 
Hii ndiyo Tarjama, tafsiri ya kwanza kabisa ya Qur’an kwa lugha ya Kiswahili. Ilifanywa na Askofu Godfrey Dale akiwa Mmisionari Zanzibar mwaka 1923.

View attachment 3399727

Umeelezea vizuri kwa weledi na ilimu nzuri sheikh wangu. Mola akubariki sana kwa kutupa hii ilimu tardid na mujarab kabisa
 
Kwa hiyo padre Dale ndo alijipanga kuja kuwapa matango pori watu wa Afrika 😂😂😂

Mbona waliomtuma Muhamad kuwa Mtume walikuwa mapadre pia?

Maana bila makasisi (mapadre) kijana wa Abdullah bin Mutwalib yaani Muhamad asingekuwa mtume wa umma wa kislamu.

Akiwa na umri wa miaka 12 tu alikutana na padre na akamwambia kuwa yeye ana nuru ya utume. Na akiwa na miaka 40 akiwa ametoka pangoni alipobanwa na kiumbe asiyejulikana, akiwa amejaa wasiwasi mwingi na hofu na homa kali, akidai amechezewa na mashetani. Bi Khadija mkewe mkatoliki akamtoa hofu mumewe akishirikiana na ndugu yake padre Waraqa ambaye ndiye hasa aliyembashiria utume.

Hivyo wasingekuwa hao makasisi wawili na Khadija leo kusingekuwa na Uislamu duniani. Maana Muhamad hakuwa na wazo zaidi ya kuona anachezewa na ibilisi.

Mpeni heshima askofu wa Roma aliyewatuma hao makasisi wawili huko Arabuni.
 
Chanzo cha Mauwaji wa Mwembechai ni Mapadre kukimbilia kwa waumini wao ambao ni watendaji wa Serikali na kushinikiza kutumia bunduki kufunika kile ambacho hawawezi kukipinga kwa mantiki baada ya Waislam kutoa shahri ( ufafanuzi na maana ya ayah) za Biblia.

Mapadre kutumia bunduki hakionyeshi nguvu ya hoja, bali ni alama ya woga na ukosefu wa ujasiri wa kukabiliana na ukweli katika mjadala wa wazi.

lkn viwanja kama hivyo yatosha kuwa ni uwanja wa majadiliano na kwamba badala ya kusoma cover ya tafsiri ya Quran ya Dale, ili tuelewe kati ya Quran na Bible ipi kama za waandishi zikiingizwa ndani ya vitabu hivyo. Uongo huo kujitenga kama maji na mafuta
 
Hii ndiyo Tarjama, tafsiri ya kwanza kabisa ya Qur’an kwa lugha ya Kiswahili. Ilifanywa na Askofu Godfrey Dale akiwa Mmisionari Zanzibar mwaka 1923.

View attachment 3399727
Kwa bahati mbaya hatuna sokoni tafsiri hii, kwani Waislamu hasa wa Kisunni walizinunua na kuziteketeza.

Shirika la Kimisionari la CMS alilohudumu nalo Padre Dale bado lina nakala mama kule Uingereza, ila toleo hilo halipo sokoni tena.

Dale alikuwa mwanazuoni aliyebobea katika Kiarabu, Kiebrania, Kigiriki, na akajitolea kujifunza Kiswahili kwa muda wa utumishi wake Afrika Mashariki. Inasikitisha kuona kwamba hatuna tena toleo hilo.

Waislamu walipoiona tafsiri hiyo ya kisomi, alijitokeza Sheikh Mbarak Ahmed wa madhehebu ya Ahmadiyya naye akafanya Tarjama ya pili ya Kiswahili, akiifasiri kwa mtazamo wa madhehebu yake.
Toleo lake la kwanza lilichapishwa mwaka 1953. Katika toleo hilo mara nyingi alimzungumzia Padre Dale na kutafuta kumkosoa.

Baada ya toleo hilo, ndipo Waislamu wa Kisunni walipozinduka. Akasimama Sheikh Saleh Abdallah Farsy, aliyekuwa Kadhi Mkuu Zanzibar na baadaye Kadhi Mkuu Kenya. Huyu naye alifanya Tarjama ya tatu ya Kiswahili kwa mtazamo wa madhehebu ya Kisunni.

Kwenye toleo lake aliongeza maelezo mengi ya kumkosoa Sheikh Mbarak Ahmed, ambaye alimwita Qadiani, kwa kuwa Waislamu wa Ahmadiyya wanaamini kwamba Yesu aliwekwa msalabani (japo hakufia pale), ila aliokolewa na kukimbilia India ambako alioa na kupata kizazi. Alikufa Nabii Isa akiwa na umri wa miaka 120 kutokana na ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Katika kizazi cha huyu Yesu alizaliwa Mirza Ghulam Ahmad, ambaye ndiye Masihi mtarajiwa yaani Yesu aliyerudi mara ya pili.

Farsy alimkosoa vikali katika sehemu nyingi za tafsiri yake.

Katika miaka ya mwisho wa uhai wake, Sheikh Farsy alibadili misimamo yake na kuegemea madhehebu ya Kiwahabi, akipinga Maulid na ibada za makaburini ambazo Wasunni wengi wa madhehebu ya Kitweliqa (yaani Masufi) wanashiriki.

Baadaye, katika miaka ya 1970, alijitokeza Sheikh Ali Barwani kutoka Zanzibar. Baada ya misukosuko mingi dhidi ya serikali ya CCM na utawala wa Zanzibar, alikimbilia Oman na kutoa toleo la Tarjama ya Kiswahili ambalo leo ndilo linalotumika zaidi kwenye mitandao. Hii ikiwa Tarjama ya nne ya Kiswahili iliyochapishwa Kuwait.

Mapema mwaka wa 2000, Waislamu wa madhehebu ya Kishia nao wakatoa nakala yao ya kwanza ya Kiswahili iliyotolewa na mwanazuoni wao Sheikh Jumaa Ali Mayunga. Hii ni tafsiri ya tano ya Qur’an kwa Kiswahili.

Kwa bahati mbaya, wenzao wa Kisunni walinunua nakala hizi kwa wingi na kuzichoma; zingine zilitupwa baharini Hindi. Leo, japo Mzee Ali Mayunga bado yuko hai, kuzipata nakala za toleo la kwanza ni sawa na kutafuta maziwa ya kuku.

Katika toleo hilo, Sheikh Mayunga aliikosoa misimamo ya madhehebu ya Kisunni, akinukuu baadhi ya hadithi ambazo kabla yake hazikuwahi kutafsiriwa. Kwa sababu hii, alichukiwa mno na tafsiri yake ikaandamwa; leo hii ni vigumu sana kuipata sokoni.

Mnamo 2004–2005, alijitokeza mwanazuoni wa madhehebu ya Kiibadhi kutoka Zanzibar na Oman naye akachapisha tafsiri yake ya Qur’an kwa Kiswahili, akiita Asili ya Uwongofu. Hata hivyo, hii ilichukua mwelekeo wa tafsiri zaidi kuliko tarjama, na aliichapisha kwa juzuu ishirini.

Hii ni Tarjama ya sita ya Kiswahili, japo haikupata umaarufu mkubwa.

Mwaka 2023, Waislamu wa madhehebu ya Sarafu (yaani Mawahabi) nao wamefanikiwa kutoa toleo lao la Qur’an ya Kiswahili, iliyotarjumiwa na jopo la wanazuoni wa Kiwahabi wa Afrika Mashariki. Tafsiri hii inaelekezwa kufanana na toleo la Kiingereza la King Fahd wa Saudia Arabia. Hii ni Qur’an ya saba ya Kiswahili.

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tafsiri/ tarjama nyingi. Hata hivyo, tafsiri za Sheikh Farsy na ile ya Sheikh Ali Barwani ndizo zinazoongoza kwa matumizi miongoni mwa watu wa Afrika Mashariki.
Zipo pia tarjama kama za Sheikh Hassan Mwalupa, Sheikh Abubakar, ambazo hazina umaarufu mkubwa.
Tarjama ya Sheikh Ali Mazrui wa Mombasa haikukamilika kwani alifariki kabla ya kuihitimisha.

Kitendo cha kuchoma au kuharibu tafsiri mbadala za Qur’an hakionyeshi nguvu ya hoja, bali ni alama ya woga na ukosefu wa ujasiri wa kukabiliana na ukweli katika mjadala wa wazi. Badala ya kujadili tofauti za kiitikadi kwa hoja na maarifa, baadhi huchagua kutumia moto kufunika kile ambacho hawawezi kukipinga kwa mantiki. Kwa kufanya hivyo, wanafunga milango ya elimu, kudhibiti fikra huru, na hatimaye kupotosha historia ya namna Uislamu ulivyoeleweka na kutafsiriwa na wasomi wa madhehebu mbalimbali.

Kwani, ikiwa kweli tafsiri nyingine ni potofu mbona zisiwe fursa ya kujenga hoja madhubuti dhidi yake? Moto hauwezi kuzima hoja; huacha tu majivu ya uoga na mabaki ya fikra zilizozuiliwa.
Sawa Makia Zumaridi Hamisi Mapikipiki, yaani nahisi bangi zinakusumbua, yaani Qur’an itafsiriwe na Padri , pumbavu
 
Mbona waliomtuma Muhamad kuwa Mtume walikuwa mapadre pia?

Maana bila makasisi (mapadre) kijana wa Abdullah bin Mutwalib yaani Muhamad asingekuwa mtume wa umma wa kislamu.

Akiwa na umri wa miaka 12 tu alikutana na padre na akamwambia kuwa yeye ana nuru ya utume. Na akiwa na miaka 40 akiwa ametoka pangoni alipobanwa na kiumbe asiyejulikana, akiwa amejaa wasiwasi mwingi na hofu na homa kali, akidai amechezewa na mashetani. Bi Khadija mkewe mkatoliki akamtoa hofu mumewe akishirikiana na ndugu yake padre Waraqa ambaye ndiye hasa aliyembashiria utume.

Hivyo wasingekuwa hao makasisi wawili na Khadija leo kusingekuwa na Uislamu duniani. Maana Muhamad hakuwa na wazo zaidi ya kuona anachezewa na ibilisi.

Mpeni heshima askofu wa Roma aliyewatuma hao makasisi wawili huko Arabuni.
Naomba unipe ushahidi kwamba Muhammad alitumwa na hao mapadre,

Naomba ushahidi, sio mihemko. Na empty words. Maana hapo unapinga the divinity of Quran. Naomba ushahidi tafadhali
 
Hii ndiyo Tarjama, tafsiri ya kwanza kabisa ya Qur’an kwa lugha ya Kiswahili. Ilifanywa na Askofu Godfrey Dale akiwa Mmisionari Zanzibar mwaka 1923.

View attachment 3399727
Kwa bahati mbaya hatuna sokoni tafsiri hii, kwani Waislamu hasa wa Kisunni walizinunua na kuziteketeza.

Shirika la Kimisionari la CMS alilohudumu nalo Padre Dale bado lina nakala mama kule Uingereza, ila toleo hilo halipo sokoni tena.

Dale alikuwa mwanazuoni aliyebobea katika Kiarabu, Kiebrania, Kigiriki, na akajitolea kujifunza Kiswahili kwa muda wa utumishi wake Afrika Mashariki. Inasikitisha kuona kwamba hatuna tena toleo hilo.

Waislamu walipoiona tafsiri hiyo ya kisomi, alijitokeza Sheikh Mbarak Ahmed wa madhehebu ya Ahmadiyya naye akafanya Tarjama ya pili ya Kiswahili, akiifasiri kwa mtazamo wa madhehebu yake.
Toleo lake la kwanza lilichapishwa mwaka 1953. Katika toleo hilo mara nyingi alimzungumzia Padre Dale na kutafuta kumkosoa.

Baada ya toleo hilo, ndipo Waislamu wa Kisunni walipozinduka. Akasimama Sheikh Saleh Abdallah Farsy, aliyekuwa Kadhi Mkuu Zanzibar na baadaye Kadhi Mkuu Kenya. Huyu naye alifanya Tarjama ya tatu ya Kiswahili kwa mtazamo wa madhehebu ya Kisunni.

Kwenye toleo lake aliongeza maelezo mengi ya kumkosoa Sheikh Mbarak Ahmed, ambaye alimwita Qadiani, kwa kuwa Waislamu wa Ahmadiyya wanaamini kwamba Yesu aliwekwa msalabani (japo hakufia pale), ila aliokolewa na kukimbilia India ambako alioa na kupata kizazi. Alikufa Nabii Isa akiwa na umri wa miaka 120 kutokana na ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Katika kizazi cha huyu Yesu alizaliwa Mirza Ghulam Ahmad, ambaye ndiye Masihi mtarajiwa yaani Yesu aliyerudi mara ya pili.

Farsy alimkosoa vikali katika sehemu nyingi za tafsiri yake.

Katika miaka ya mwisho wa uhai wake, Sheikh Farsy alibadili misimamo yake na kuegemea madhehebu ya Kiwahabi, akipinga Maulid na ibada za makaburini ambazo Wasunni wengi wa madhehebu ya Kitweliqa (yaani Masufi) wanashiriki.

Baadaye, katika miaka ya 1970, alijitokeza Sheikh Ali Barwani kutoka Zanzibar. Baada ya misukosuko mingi dhidi ya serikali ya CCM na utawala wa Zanzibar, alikimbilia Oman na kutoa toleo la Tarjama ya Kiswahili ambalo leo ndilo linalotumika zaidi kwenye mitandao. Hii ikiwa Tarjama ya nne ya Kiswahili iliyochapishwa Kuwait.

Mapema mwaka wa 2000, Waislamu wa madhehebu ya Kishia nao wakatoa nakala yao ya kwanza ya Kiswahili iliyotolewa na mwanazuoni wao Sheikh Jumaa Ali Mayunga. Hii ni tafsiri ya tano ya Qur’an kwa Kiswahili.

Kwa bahati mbaya, wenzao wa Kisunni walinunua nakala hizi kwa wingi na kuzichoma; zingine zilitupwa baharini Hindi. Leo, japo Mzee Ali Mayunga bado yuko hai, kuzipata nakala za toleo la kwanza ni sawa na kutafuta maziwa ya kuku.

Katika toleo hilo, Sheikh Mayunga aliikosoa misimamo ya madhehebu ya Kisunni, akinukuu baadhi ya hadithi ambazo kabla yake hazikuwahi kutafsiriwa. Kwa sababu hii, alichukiwa mno na tafsiri yake ikaandamwa; leo hii ni vigumu sana kuipata sokoni.

Mnamo 2004–2005, alijitokeza mwanazuoni wa madhehebu ya Kiibadhi kutoka Zanzibar na Oman naye akachapisha tafsiri yake ya Qur’an kwa Kiswahili, akiita Asili ya Uwongofu. Hata hivyo, hii ilichukua mwelekeo wa tafsiri zaidi kuliko tarjama, na aliichapisha kwa juzuu ishirini.

Hii ni Tarjama ya sita ya Kiswahili, japo haikupata umaarufu mkubwa.

Mwaka 2023, Waislamu wa madhehebu ya Sarafu (yaani Mawahabi) nao wamefanikiwa kutoa toleo lao la Qur’an ya Kiswahili, iliyotarjumiwa na jopo la wanazuoni wa Kiwahabi wa Afrika Mashariki. Tafsiri hii inaelekezwa kufanana na toleo la Kiingereza la King Fahd wa Saudia Arabia. Hii ni Qur’an ya saba ya Kiswahili.

Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na tafsiri/ tarjama nyingi. Hata hivyo, tafsiri za Sheikh Farsy na ile ya Sheikh Ali Barwani ndizo zinazoongoza kwa matumizi miongoni mwa watu wa Afrika Mashariki.
Zipo pia tarjama kama za Sheikh Hassan Mwalupa, Sheikh Abubakar, ambazo hazina umaarufu mkubwa.
Tarjama ya Sheikh Ali Mazrui wa Mombasa haikukamilika kwani alifariki kabla ya kuihitimisha.

Kitendo cha kuchoma au kuharibu tafsiri mbadala za Qur’an hakionyeshi nguvu ya hoja, bali ni alama ya woga na ukosefu wa ujasiri wa kukabiliana na ukweli katika mjadala wa wazi. Badala ya kujadili tofauti za kiitikadi kwa hoja na maarifa, baadhi huchagua kutumia moto kufunika kile ambacho hawawezi kukipinga kwa mantiki. Kwa kufanya hivyo, wanafunga milango ya elimu, kudhibiti fikra huru, na hatimaye kupotosha historia ya namna Uislamu ulivyoeleweka na kutafsiriwa na wasomi wa madhehebu mbalimbali.

Kwani, ikiwa kweli tafsiri nyingine ni potofu mbona zisiwe fursa ya kujenga hoja madhubuti dhidi yake? Moto hauwezi kuzima hoja; huacha tu majivu ya uoga na mabaki ya fikra zilizozuiliwa.
Hongera leo ndiyo nimeona yenye utaratibu na ustaarabu fulani hivi mpaka najiuliza hivi haya umeandika mwenyewe au ni AI

Sasa utuletee na Injili hizi :
1. "Injili ya Tomaso" (Gospel of Thomas)
Haielezei kusulubiwa wala ufufuo.
Inahusisha maneno ya Yesu kama mwalimu wa hekima si Mungu.

2. "Injili ya Barnaba"
Yesu anatajwa kuwa mtume tu, si Mwana wa Mungu.
Inapinga kusulubiwa kwake, sawa na Qur’an.

3. "Injili ya Ebionites"
Ilikuwa ya Wakristo wa Kiyahudi waliomkataa Paulo na imani ya Utatu.

4. "Injili ya Wamisri" (Egyptians Gospel)
Ilitumika na wafuasi wa mapokeo ya kiroho waliopinga mafundisho ya uungu wa Yesu.

5. "Injili ya Filipo" (Gospel of Philip)
Ina maelezo ya Yesu kama mtu wa kiroho zaidi, si Mungu.
 
Hongera leo ndiyo nimeona yenye utaratibu na ustaarabu fulani hivi mpaka najiuliza hivi haya umeandika mwenyewe au ni AI

Sasa utuletee na Injili hizi :
1. "Injili ya Tomaso" (Gospel of Thomas)

2. "Injili ya Barnaba"

3. "Injili ya Ebionites"

4. "Injili ya Wamisri" (Egyptians Gospel)

5. "Injili ya Filipo" (Gospel of Philip)
Kwanza hizo sio injili ni vitabu vya wahuni tu, Tena vimeandikwa na watu ambao sio wanafunzi wa Yesu, ni vitabu vya apokrifa,na ndio mudy kakopi sana humo story za humo kazi weka kwenye Quran

Kwenye historia ya Ukristo, kuna mamia ya maandiko ya uongo yaliyoandikwa na waasi waliotaka kupotosha Injili ya kweli.
Hizi “injili” unazotaja Tomaso, Barnaba, Ebionites, Wamisri, na Filipo hazikuwa sehemu ya Injili ya kweli kwa sababu:

1️⃣ Ziliandikwa na wahuni / waasi waliotaka kueneza mafundisho yao binafsi, si yale ya mitume wa Yesu.
2️⃣ Ziliandikwa karne nyingi BAADA ya Yesu (wengine zaidi ya miaka 100–600 baadaye!), hivyo si ushuhuda wa mashuhuda wa kweli.
3️⃣ Kanisa la kwanza na Wakristo wa karne za mwanzo walizikataa kwa pamoja kwa sababu zilipinga injili halisi na ushuhuda wa wale waliomjua Yesu.
4️⃣ Cha ajabu, Muhammad alikuja karne ya 7, akajaza maneno yake kwenye Qur’an akitumia mafundisho kutoka hizi injili za uongo, akapinga kusulubiwa na uungu wa Yesu sawasawa na waasi waliotupwa na Kanisa.

Unaposhikilia hizi “injili” za waasi, unakubaliana na uongo wa watu waliompinga Yesu, si na mitume wa kweli
 
Nchi za kiislamu kumiliki jambia au silahaa ilikuwa sio makusudi ili ikionekana unashindanae kwa hoja kutumia alichonacho.Ndio maana ukiwabana sana wasio na uelewa wanakuwa wakali kama pilipili.
 
Waislamu hawana uvumilivu ,

Ndio maana katika nchi za kiislamu hawaruhusu kuuzwa biblia wala kufungua kanisa,

Maana wengi wangeuacha uislamu
 
Kwanza hizo sio injili ni vitabu vya wahuni tu, Tena vimeandikwa na watu ambao sio wanafunzi wa Yesu, ni vitabu vya apokrifa,na ndio mudy kakopi sana humo story za humo kazi weka kwenye Quran

Kwenye historia ya Ukristo, kuna mamia ya maandiko ya uongo yaliyoandikwa na waasi waliotaka kupotosha Injili ya kweli.
Hizi “injili” unazotaja Tomaso, Barnaba, Ebionites, Wamisri, na Filipo hazikuwa sehemu ya Injili ya kweli kwa sababu:

1️⃣ Ziliandikwa na wahuni / waasi waliotaka kueneza mafundisho yao binafsi, si yale ya mitume wa Yesu.
2️⃣ Ziliandikwa karne nyingi BAADA ya Yesu (wengine zaidi ya miaka 100–600 baadaye!), hivyo si ushuhuda wa mashuhuda wa kweli.
3️⃣ Kanisa la kwanza na Wakristo wa karne za mwanzo walizikataa kwa pamoja kwa sababu zilipinga injili halisi na ushuhuda wa wale waliomjua Yesu.
4️⃣ Cha ajabu, Muhammad alikuja karne ya 7, akajaza maneno yake kwenye Qur’an akitumia mafundisho kutoka hizi injili za uongo, akapinga kusulubiwa na uungu wa Yesu sawasawa na waasi waliotupwa na Kanisa.

Unaposhikilia hizi “injili” za waasi, unakubaliana na uongo wa watu waliompinga Yesu, si na mitume wa kweli
Mbona sijaona wanapo mpinga Yesu
 
Mbona sijaona wanapo mpinga Yesu
Kwanza ujue, Hizi injili hazikuwa sehemu ya Injili ya kweli kwa sababu zilitungwa na waasi na hazikuandikwa na hao majina waliotajwa.

Zilikataliwa na Wakristo wa karne za mwanzo.

✅ 1. Injili ya Tomaso (Gospel of Thomas)

Haijaandikwa na Mtume Tomaso.

Iliandikwa takriban mwaka 140–180 BK zaidi ya miaka 100 baada ya Yesu.

Ina maneno machache yaliyopotoshwa ya Yesu, haizungumzii msalaba wala ufufuo.

Unabii ulivyosema: Isaya 53 na Zaburi 22 vilitabiri mateso na kifo cha Masiya, lakini injili hii inafuta kabisa tukio hilo.

✅ 2. Injili ya Barnaba

Haijaandikwa na Barnaba wa Biblia.

Iliibuka karne ya 14–15 BK (zaidi ya miaka 1300 baada ya Yesu!) — muda mrefu sana baadaye.

Inadai Yesu si Mwana wa Mungu na hakusulubiwa, badala yake mtu mwingine alisulubiwa.

Unabii ulivyosema: Danieli 9:26, Isaya 53, na Zekaria 12:10 vilitabiri wazi kufa kwa Masiya kwa ajili ya watu Barnaba wa uongo anakataa unabii huo.

✅ 3. Injili ya Ebionites

Iliandikwa na kundi la Wakristo wa Kiyahudi waliompinga Paulo na Utatu.

Iliandikwa takriban mwaka 130–150 BK.

Inakataa kuzaliwa kwa Yesu kwa muujiza na inamfanya kuwa mtu wa kawaida tu.

Unabii ulivyosema: Isaya 7:14 — “Tazama, bikira atachukua mimba, atazaa mwana, naye atamwita jina Immanuel”. Injili hii inapinga moja kwa moja unabii huu.

✅ 4. Injili ya Wamisri (Egyptians Gospel)

Iliandikwa na wafuasi wa mapokeo ya kiroho waliopinga uungu wa Yesu.

Iliandikwa mwaka 120–150 BK.

Inamfanya Yesu kuwa mwalimu wa hekima tu, si Mungu.

Unabii ulivyosema: Mika 5:2 na Isaya 9:6 vilitabiri kuwa Masiya atakuwa Mungu Mwenye Nguvu. Injili hii inapinga moja kwa moja ufunuo huo.

✅ 5. Injili ya Filipo (Gospel of Philip)

Haijaandikwa na Mtume Filipo.

Iliandikwa karibu mwaka 250 BK zaidi ya miaka 200 baada ya Yesu.

Inamfanya Yesu kuwa kiongozi wa kiroho tu, si Mkombozi wa ulimwengu.

Unabii ulivyosema: Hosea 13:14 na Zaburi 49:15 vilitabiri Mungu mwenyewe kuwakomboa watu kutoka mautini. Injili hii inapinga kazi hiyo ya Yesu.

Injili hizi zote ni za karne ya pili na kuendelea, zilitungwa na watu waliotumia majina ya mitume ili zipate heshima, lakini hazikuwa na ushuhuda wa mashuhuda wa kweli.

Zinaondoa au kupotosha mambo makuu ambayo manabii wa Agano la Kale walitabiri kuhusu Yesu: kuzaliwa kwa bikira, msalaba, kifo, na ufufuo wake.

Cha ajabu, Muhammad alikuja karne ya 7 na kuamini hadithi zinazofanana na hizi injili za waasi, akazipachika ndani ya Qur’an, akikana msalaba na uungu wa Yesu hivyo akawa upande mmoja na wapinga Kristo wa karne za pili.
 
Kwanini baada ya padre Waraq kufariki tu, Wahayi ukakata ,na Muhammad akatishia kujinyonga ?

Unaweza kutupa majibu View attachment 3438520
Ushahidi wenyewe ni Sahih Bukhari 😂😂😂😂

Porojo za kutunga miaka 200 baada ya Muhammad(sawa) kufariki!!😂😂😂

nataka ushahidi divine! Sio wakuandikwa na watu Tu kama mimi na wewe......🤣🤣
 
Kwahiyo ndugu, wewe huamini sahih bukhari na Muslim?

Kwenye uislamu si mnaamini Quran na Hadith ?

Ni Hadith zipi hizo mnaziamini
 
Back
Top Bottom