Kwanini Tafsiri za Qur’an Huchomwa moto Badala ya Kujadiliwa?

Kwahiyo ndugu, wewe huamini sahih bukhari na Muslim?

Kwenye uislamu si mnaamini Quran na Hadith ?

Ni Hadith zipi hizo mnaziamini
Nicheke tena......🤣

Hadith ni man made fables kwangu, they only hold historical relevance!! Basi!!

Mambo ni mengi mzee....long story short.....

Uislam ni kumfata Allah pekee......

Kafanye research kuhusu "ilm al mawj" utanielewa kwa nini nimesema hivyo.

Ingekuwa kutoka kwenye Qur'an ningekisikiliza ila kwenye hadith, siwezi poteza muda wangu kabisa.
 
Kwahiyo wewe hukubaliani na hadithi ?

Sasa nisaidie kujua haya maswali yangu kwenu

1. Je, ni sura au aya gani katika Qur’an inayoelezea kwa uwazi ibada au desturi muktadha fulani mnayofanya, ambayo siyo moja kwa moja kutoka kwa Hadith?


2. Ikiwa Hadith si sehemu ya Qur’an, kwa nini mnaweka Hadith kama chanzo kikuu cha sheria na desturi, hata kama Qur’an haikuieleza au kuiongelea moja kwa moja?


3. Je, mnaweza kuonesha mfano halisi wa desturi kubwa mnazofanya ambazo si Qur’an, bali ni Hadith pekee, na kufafanua kwa nini Qur’an haitoshi?


4. Je, ni vipi mtakavyojua ni Hadith zipi ni sahihi na zipi si sahihi, huku mtakapoweka Hadith sawa au juu ya Qur’an, ambayo ni Kitabu kitakatifu?


5. Je, mnaweza kuelezea ni kwa jinsi gani Qur’an inakubaliana au kutokubaliana na Hadith zenu, na kwanini mtu anayofuata Qur’an peke yake anaweza kupingana na desturi za Hadith?
 
Uislam unakuhusu nini kale kitimoto huko
 

Mtu anaye tumia akili yake vizuri hawezi kununua kitabu cha Chemistry kilicho tafsiriwa na mwalimu wa Kiingereza eti kwa kuwa anajua kiingereza. Kitabu cha Chemistry kinatakiwa kitafsiriwe na mwalimu wa Chemistry kwani kuna vitu vingi kwa kingereza huwezi kupata maana iliyokusudiwa
Vivyo hivyo; hawezi kuibuka mtu eti kwa kuwa anajua Kiarabu basi atafsiri Quran?
WATU WENYE NIA OVU YA UPOTOSHAJI, HUTUMIA UJINGA WA WATU WETU WASIO TUMIA MAARIFA KUWADANGANYA!!!
 
Why and How is the quran divine?
Great question but unfortunately you can only answer that question yourself.

In order to know wether the Qur'an is devine or not you will have to understand it and make the final conclusion.

The only thing I can say to you is you have to use the RIGHT methodology to interpret and understand it. Only then you'll know if it divine or not. We all are obliged to follow the way of Abraham on our spiritual journey. He was alone, probably the only believer in the world at that time but still managed to find God, without a pastor, a book, a sheikh or imam. Only his brain and he finally received guidance.

The only thing that is important is the proper methodology to understand it. Maybe you can start there. I will put a link below to help start your research. Good luck!!

View: https://youtu.be/HtjLfK9Sn0c?si=6zL1Khh0hrvuaNly
 
Maelezo ya sentensi kumi yanatosha kusudi nisimalize bando mkuu!
Nini kinaifanya quran kuwa takatifu na ni kiaje?
Methodologies zimetengenezwa wanadamu mkuu!
 
Mchungaji aandike tafsiri ya Quran 😄😄😄

Hapo ni sawa na sheikh awe na bucha la kitimoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…