Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

Kuhusu IQ ya JPM, nakubali kwasababu jamaa amefanya Ph.D ya kemia kwa miaka 3 ambapo hilo linawezekana kwa full time tuu lakini yeye ameifanya kwa part time miaka hiyo hiyo mitatu huku akiwa mbunge, na Waziri na bila kuchukua likizo. Yaani amekuwa enrolled fulltime course ya course wark and dissertation, huku akiwa Waziri fulltime na Mbunge fulltime.

Ingefanywa sensa ya makabila ya Ph.D holders, you'll be surprised!.
P
Kaka wasukuma ni wengi mno hata ikifanyika ya zeruzeru mtaongoza .percentage wise hamuwezi kitu bro nyi ndo washamba wa taifa na wenzenu waha
 
Wanigeria kinachowabeba ni elimu na exposure, wengi wanaishi nje ya nchi yao, Ulaya Nigeria inajulikana sana kwa wingi wao, ukisema umetoka africa , utasikia" near nigeria". hahaha sema ni matapeli hatari
 
Mkuu umesahau na Uchawi... Wachawi wa Nigeria ni hatari, wanaongoza afrika nzima... Hata sumbawanga hapo wanachemsha

Makanisa (Mbeya haigusi moto wa Nigeria), Mapastor (TB Joshua and alike, wetu Gwaji Boy Hahahaaah), na Waimbaji wa nyimbo za Injili (Mercy Chinwo, balaa lake hata kina Shusho wawe 100 hawaoni ndani)

NB: Mifano ni ya kitz tu ili tuwaelewe vizuri hawa jamaa ila kama wapo nchi nyingine wanaowazidi naruhusiwa kukosolewa
Kwa uchawi Nigeria #1 si unaona watu wanaenda kuombewa kule.

Kwa umalaya pia #1 umalaya na kuuza watu.

#1 pia kwa utapeli wa kila aina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singapore, Brunei, Kuwait, Luxembourg na Iceland ni nchi zenye watu wachache sana na ni matajiri sana
Wingi wa watu sio utajiri mkuu

Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwahiyo idadi ya raia wa Rwanda ni sawa na China maana population ya Rwanda ni ndogo kulinganisha na Tanzania lakini kimaendeleo wapo mbali.. Muachage kula wali na sembe

Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu yoyote yenye idadi kubwa ya watu ni lazima idominate sekta mbalimbali sababu ya vipaji inavyokuwa imetoa kuwa vingi, hayo ya nchi ndogo kuwa na utajiri mkubwa ni matokeo ya jinsi gani vipaji vimeendelezwa tu!.
Chukulia umepata watoto 2 wakawa na utajiri wa 2M each halafu chukulia jirani yako kapata watoto 6 nao kila mmoja ana utajiri wa 1M each hapo Familia ipi ni Tajiri zaidi!?. Hii kanuni hata mababu zetu waliitumia sana!.
Hivyo vinchi ni vidogo vinautilize udogo wake, lakini sio kwamba ndio best!. Chukulia vimebanwa kutoexport mnadhani vitaweza kujisustain internally?, tofauti na nchi zenye watu wengi zinaweza kujisustain!.

Higher population decides an economy.
 
Na we kuwaga makini basi unadhani sijamuelewa ? Kaongea kwa mbinu
Kwa hiyo siruhusiwi kuchangia? au unataka niandike kama ulivyoandika wewe? Humu jukwaani ubinafsi hauna nafasi mkuu na tuna uelewa na namna tofauti ya kukieleza tunachofahamu. Unataka kila mtu aongee kwa mbinu? alishasema yeye ni mzee wa kuusoma mchezo na kubadilika kama kinyonga.
 
Kaka wasukuma ni wengi mno hata ikifanyika ya zeruzeru mtaongoza .percentage wise hamuwezi kitu bro nyi ndo washamba wa taifa na wenzenu waha
Yes kwa ushamba ni kweli hatujambo sana,
Hata mimi nilinunua benz nikahonga cheupe fulani, kisha nikanunua bodaboda ndio natembelea!. Sisi ni malimbukeni wa mademu weupe na
Tunahonga sana!.
P
 
Unabeba sana ukabila siku hizi.
Kabla ya kuwa surprised ..uchukuwe idadi ya phd holders kwa idadi ya watu wa kabila hilo hilo au mkoa tuone kama ratio haitakua ndogo kulinganisha na mikoa mingine!. Mikoa kama Simiyu, Mara, Shinyanga, Mwanza, Tabora, nk...wote karibu ni wasukuma..
Kuhusu IQ ya JPM, nakubali kwasababu jamaa amefanya Ph.D ya kemia kwa miaka 3 ambapo hilo linawezekana kwa full time tuu lakini yeye ameifanya kwa part time miaka hiyo hiyo mitatu huku akiwa mbunge, na Waziri na bila kuchukua likizo. Yaani amekuwa enrolled fulltime course ya course wark and dissertation, huku akiwa Waziri fulltime na Mbunge fulltime.

Ingefanywa sensa ya makabila ya Ph.D holders, you'll be surprised!.
P
 
Kwa upande wa Afrika, SA pia wapo vizuri katika sector nyingi hasa upande wa sayansi na teknolojia...
 
Elimu yao pia iliwasaidia kufikiria vizuri,angalia waandishi wa vitabu ambavyo vinatumika hata hapa Tz (Literature)......so wao wamewekeza maarifa yao waliyoyapata shule kwenye real life
 
Wanigeria kinachowabeba ni elimu na exposure, wengi wanaishi nje ya nchi yao, Ulaya Nigeria inajulikana sana kwa wingi wao, ukisema umetoka africa , utasikia" near nigeria". hahaha sema ni matapeli hatari
sio kwamba ni wajanja sana?
 
Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.

Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.

P
Wanaijeria hujasema watakuwa wangapi? Kama sisi tuko milioni 50 tutakuwa milioni 150 basi Wanaijeria ambao Sasa hivi ni milioni 200 watakuwa milioni 600!!!!
 
Wana bodi, kwenye kufanya utafiti wangu mkubwa nimegundua na kuona kwamba taifa la Nigeria limedominate Karibu mambo mengi sana mfano kwenye muziki Muziki na Wana muziki wa Nigeria ni maarufu sana Africa na duniani kwa ujumla mfano Wizkid, patoranking, chidinma, yemi alade, femi kuti, davido, Mr favour, falz, tiwa savage, don Jazzy, p square, kipengele cha pili ambacho Nigeria wame dominate ni Kwenye fasihi na sanaa itakuwa movies za Nigeria zinatamba Africa na duniani kote kutokana na waigizaji mahiri na wenye passion na moyo na kazi yao mfano Hawa vijana Kama kina Aki na ukwa etc, kwenye uwanda wa Fasihi kwa Hapa Africa Nigeria imebeba wana fasihi wakubwa na mahiri mfano Huyu Wole Soyinka ambaye ni Mshindi wa tuzo ya amani ya 'Nobel Prize ' kwenye fasihi mwaka 1986, Mwingine ni huyu Chinua Achebe Wengi wetu tumemsoma kwenye 'Things Fall apart ' ni mwana fasihi aliyetukuka na kuheshimika
hapa barani Africa,

Kwenye kipengele cha michezo hususan mpira Nigeria wenyewe mnaona 'super eagles ' wakiingia Mara kadhaa kwenye kombe la dunia,
Kipengele kingine ni mabilionea Nigeria kuna mataycoon maarufu sana mfano tajiri Aliko dangote, Mike Adenuga, Alakija

Kipengele cha idadi ya watu Nigeria wanaongoza hapa Africa wapo milioni 200+
Kipengele kingine cha Uchumi nigeria wanawongoza hapa Africa
Kipengele kingine japo sio cha muhimu ni kwamba makabila ya Nigeria ni makubwa sana yaani yana idadi kubwa Sana ya watu mfano Wahausa, Yoruba etc

Hebu tujadili why Nigeria hawa wame dominate mambo mengi sana kiasi cha kwamba kuonekana Hawa wanaigeria kuonekana wao Kama hawapo Africa vile wao ni level ya mataifa makubwa duniani!

Nb Nigeria ni moja ya nchi ambazo Hapa Africa wamepinduana Sana /marais wamepinduliwa sana!

Kwa nini taifa la Nigeria lime dominate secta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?
Idadi kubwa ya watu,
Vyuo vikuu vingi kuliko nchi nyingi africa
Angalizo.... Siyo kwamba Wana akili sana kuliko watu wangine ispokuwa wako wengi sana kuliko nchi nyingi za Africa mfano Tanzania tuko mil 50wao wapo milioni 200!!
Kwa uwiano mzuri tunatakiwa tuwe na ma super star robo Yao........
 
Yes kwa ushamba ni kweli hatujambo sana,
Hata mimi nilinunua benz nikahonga cheupe fulani, kisha nikanunua bodaboda ndio natembelea!. Sisi ni malimbukeni wa mademu weupe na
Tunahonga sana!.
P
[emoji3][emoji3][emoji3]
IMG_1575316892148.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nigeria ina dorminate kutokana na idadi ya watu. Kwa mujibu wa sensa yangu ya kwanza ni sensa ya mwaka 1978 sisi Tanzania tukiwa milioni 19, Nigeria walikuwa milioni 150!. Hivyo success kwenye kila kitu inatokana na idadi ya watu. Wachina wako bilioni 1.5 ndio wanatawala dunia.

Hata kwa Tanzania kati ya watu milioni 50, Wasukuma ni 10 million na ndilo kabila linaloongoza kwa fertility rate, procreation rate, na birth rate hivyo 2099 Wasukuma tutakuwa milioni 50 Watanzania tukiwa milioni 150 kama Nigeria ile.

P
Tuangalie zaidi quality ya watu na si quantity maana tunaweza jaza taifa na useless people. Kuna watu wakizaliana Sana ni heri maana kutakuwa na impact ila wengine ni matatizo tu
 
Hapo uliposema viongozi wao kutobweteka una maanisha kuleta maendeleo au kupiga deal?
1.lugha ya kiingereza ni basic, sio anasa
2.population kubwa sana 200m+
3.vyuo vingi sana
4.makabilq zaidi ya 230 na culture zao wametunza

Tanzania na Nigeria Zina kubwa almost sawa Tanzania ikiwa juu kidogo

Tuko 50m, wako 209m

Ebu imagine rafiki.....ni survival la kufa mtu

Wanaenda nje ya nchi kutafuta maisha

Kwa wingi huo Bado wamekuwa unrest kwa sababu za Vita, uasi, na upinzani mkali......hizo kashikashi za ki nchi zinawanoa zaidi kupambana kiuchumi na viongozi wao kutobweteka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu yoyote yenye idadi kubwa ya watu ni lazima idominate sekta mbalimbali sababu ya vipaji inavyokuwa imetoa kuwa vingi, hayo ya nchi ndogo kuwa na utajiri mkubwa ni matokeo ya jinsi gani vipaji vimeendelezwa tu!.
Chukulia umepata watoto 2 wakawa na utajiri wa 2M each halafu chukulia jirani yako kapata watoto 6 nao kila mmoja ana utajiri wa 1M each hapo Familia ipi ni Tajiri zaidi!?. Hii kanuni hata mababu zetu waliitumia sana!.
Hivyo vinchi ni vidogo vinautilize udogo wake, lakini sio kwamba ndio best!. Chukulia vimebanwa kutoexport mnadhani vitaweza kujisustain internally?, tofauti na nchi kama zenye watu wengi zinaweza kujisustain!.

Higher population decides an economy.

Hao watu wana productive population na wana middle income class ya 30+million. yaani zaidi ya nusu ya population yetu na hapo bado hujahesabia diaspora ambayo inatuma pesa home pia.

Hawa kuwashinda ni shida
 
Back
Top Bottom