Kwanini taifa la Nigeria limetawala sekta nyingi sana na kuwa na masupa star Wengi Sana na mabilionea?

In 1998, Nigeria had 37 arts and sciences universities, 3 agriculture universities, 1 military university, 4 polytechnics, and 63 colleges of education.

Jiulize mlikuwa na vyuo vikuu vingapi Tanganyika mwaka 1998



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubaliani na wewe Pascal, India, Brazil na Ethiopia population iko juu lkn mafukara, kama Ethiopia kila siku wanahaha kukimbilia nchi za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikubaliani na wewe Pascal, India, Brazil na Ethiopia population iko juu lkn mafukara, kama Ethiopia kila siku wanahaha kukimbilia nchi za watu

Sent using Jamii Forums mobile app

population kubwa ina mantiki ikiwa productive na sio kama huku kwetu ambapo unakuta mtu mmoja anategemewa na ukoo mzima. Hapo lazma uwe maskini

Halafu katika nchi ulizozitaja umeziongelea kwa upande negative ila ukiingia positive utafuta hiyo comment.

Ethiopia ndio nchi tajiri Africa anbayo haina resources, angalia Airline , export volume na pia hata huo umeme ambao Tz tunatarajia kununua toka kwao. Pia ndio uchumi pekee Africa unaokua kwa double digits.

ukirudi India, angalia Bollywood, uchumi wao mkubwa duniani, teknolojia, medical tourism na Diaspora yao yenye nguvu duniani. Angalia watu matajiri zaidi hata Tanzania na Kenya, huwezi kuwaita maskini
 
Nadhani busara ingekuwa kujadili kwa nini wako wengi namna hiyo lakini hawaja-dominate sector nyingi na kuna umaskini wa kutupwa! Haya wewe unayoona ni mafanikio, ukifananisha na idadi ya watu iliyo nayo pamoja na raslimali iliyopo, ni aibu tupu! Jaribu kufikiria kwa kina. Duniani kuna mataifa mengine mengi madogo yenye raslimali chache zaidi na yanatoa msaada kwa Nigeria!
 
Yes kwa ushamba ni kweli hatujambo sana,
Hata mimi nilinunua benz nikahonga cheupe fulani, kisha nikanunua bodaboda ndio natembelea!. Sisi ni malimbukeni wa mademu weupe na
Tunahonga sana!.
P
Wakati mwingine Pascal huwa naangalia comments zako nakinganisha na umri wako naona mahala wewe haupo sawa.ebu sasa kua vyote.unakua kwa umru lakn hekima na bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hallo P hata mkiwa mil. 100 mlijikita sana kwenye ufugaji na Kilimo ila naona akina Nshomile wangekuwa wengi kama akina ngosha tungeipata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanigeria wanaskika saana ila SA ndiyo taifa lililopiga hatua Africa karibia kwa kila kitu.

-Angalia television zao kama unaangalia za mbele
-Viwanja vyao vya mipira
-miundo mbinu yao
-Shule/vyuo
-Maisha kwa ujumla.... unazaa kama maisha magumu jiandikishe serikalini utakuwa unapata chakula na mavazi maisha yanaenda.

Uvivu tu ndiyo umewashinda.
 
Ethiopia tajiri ni serikali. Watu ni choka mbaya. Na by the way, wana maendeleo ya vitu kuliko watu. Purchasing power ya Nigerian individual ime surpass vibaya mno ya Ethiopia na nchi nyingi za Afrika. Kwa hiyo tukubali hawa watu wapo vema upstairs.
 
nchi zote zenye population kubwa ni matajiri na wana kila aina ya kipaji....MF USA, China,India, Russia etc..Nigeria kwa population yake..jumlisha E.Africa na southern Africa yote ndo upate idadi ya wanaijeria
Population lazima iendane na shule za maana sio shule za kufundisha ujinga
 
nchi zote zenye population kubwa ni matajiri na wana kila aina ya kipaji....MF USA, China,India, Russia etc..Nigeria kwa population yake..jumlisha E.Africa na southern Africa yote ndo upate idadi ya wanaijeria

East & South watu ni wengi saana inaweza kuwa mara mbili ya Nigeria.
 
Tuangalie zaidi quality ya watu na si quantity maana tunaweza jaza taifa na useless people. Kuna watu wakizaliana Sana ni heri maana kutakuwa na impact ila wengine ni matatizo tu
Quality ya watu unaipimaje!?.. Yani kuna jamii ya watu ni useless kuzaliwa jaza taifa!?. Jamii ya watu gani hao wakizaliana sana impact itaonekana?
 
South Africa tatizo ni kwamba ni wazungu Ndiyo wame dominate Uchumi wakati Nigeria ni watu Weusi Ndiyo wame dominate eg kina Dangote, Alakija, Adenuga
 
Kipindi hicho tulikuwa na vyuo VIWILI tu chenye hadhi ya university ambacho ni UDSM, SUA
 
Na nasikia hawa wanaijeria ni wajanja Sana /matapeli / watu wa fursa
 
Ila naijeria kuna ukabila!!!!

Hizo Mila na desturi zimesababisha ukabila haswa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
South Africa tatizo ni kwamba ni wazungu Ndiyo wame dominate Uchumi wakati Nigeria ni watu Weusi Ndiyo wame dominate eg kina Dangote, Alakija, Adenuga
Sasa mada inaongelea matatizo ya wanaohodhi uchumi Africa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…