SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya.
Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea hoja hii ilikuwa ni kwamba nasubiri nione kama Taifa Stars nao watavaa hiyo nembo mpya na ni hapo ndipo nitajiridhisha hakuna nia ovu iliyojificha nyuma ya pazia dhidi ya Simba.
Nimeangalia jezi za mazoezi za Taifa Stars wanazovaa kujiandaa na mechi ya kesho, naona bado wanavaa nembo ya zamani ya "Sandaland".
Ina maana Sandaland hajaipa timu ya taifa mzigo wa msimu mpya na anawaacha watangaze nembo ambayo haipo tena?
Ngoja tuone kesho watavaa nini.
Maneno hayo niliyaandika katika uzi huu:
Soma Pia: Naanza kupata wasiwasi na Sandaland kama mtengenezaji wa jezi za Simba
changaule ukuje na yule mwenzio msome uzi wangu mwingine mbovu.
Pia soma nilichoandika katika uzi huu: