Kwanini Taifa Stars hawavai nembo mpya ya Sandaland (SANDA)?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Wakati Simba ilipozindua jezi mpya ya msimu huu wa 2024-25 na jezi hizo kuja na nembo mpya ya Sanda iliyozua gumzo kubwa, mimi ni mmoja wa watu waliopaza sauti nikitoa hoja na wasiwasi wangu kuhusu kilicho nyuma ya nembo hiyo mpya.

Moja ya kitu nilichomalizia kusema mara ya mwisho nilipoongelea hoja hii ilikuwa ni kwamba nasubiri nione kama Taifa Stars nao watavaa hiyo nembo mpya na ni hapo ndipo nitajiridhisha hakuna nia ovu iliyojificha nyuma ya pazia dhidi ya Simba.

Nimeangalia jezi za mazoezi za Taifa Stars wanazovaa kujiandaa na mechi ya kesho, naona bado wanavaa nembo ya zamani ya "Sandaland".

Ina maana Sandaland hajaipa timu ya taifa mzigo wa msimu mpya na anawaacha watangaze nembo ambayo haipo tena?

Ngoja tuone kesho watavaa nini.

Maneno hayo niliyaandika katika uzi huu:

Soma Pia: Naanza kupata wasiwasi na Sandaland kama mtengenezaji wa jezi za Simba

changaule ukuje na yule mwenzio msome uzi wangu mwingine mbovu.

Pia soma nilichoandika katika uzi huu:
 
Aliyekwambia "SANDA" ni nembo nani?
 
Wakivaa tu hiyo nembo watspigwa kila mechi maaga ina nuksi
 
#Pumba , iombe familia ikukabidhi shamba ulime.
 
Akili zingine sijui hua mnazitoa wapi
 
Aliyekwambia "SANDA" ni nembo nani?

Unaelewa maana ya nembo?
Kiswahili kigumu. Nilikuwa namaaanisha "jina la chapa" au "brand name". Tujikite kwenye mada, tusitolewe kwenye mchezo na visingizio vidogo vidogo.

Wale mliokuwa mnasema mbona tunavaa FILA, mkuje mtuambie kwa nini Taifa Stars hawavai chapa ya SANDA.
 
Kuna watu wanaona sifa kuitwa wajinga humu na ndio maana mtu anaona raha kuandika nyuzi za kipumbavu
 
Back
Top Bottom