Kwanini Taifa stars kufungwa na Kenya baadhi ya watanzania wameshangilia kuliko tulipofungwa na Senegal?

Kwanini Taifa stars kufungwa na Kenya baadhi ya watanzania wameshangilia kuliko tulipofungwa na Senegal?

Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.
Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.
Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.
Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Kwani ni lazima uishangilie Taifa stars?
Kuishaingilia Harambee Stars inahusiana vipi na kufungwa CCM Stars?
Waliokuwa wanashangilia Harambee walikuwa wanacheza mpira?
 
Huipendi nchi yako?!
Nitaipendaje wakati hata ajira za walimu zimefutwa. Kila mtu apambane na hali yake. Siyo lazima kuajiriwa na serikali na siyo lazima kuishagilia Taifa Stars. Wewe ukiishangilia inatosha. Tusipangiane cha kufanya
 
Watanzania ni watu wa ajabu sana na hasa wale wanaojiita " makamanda " yaani timu yetu ya taifa inafungwa wao wanashangilia.

Mbaya zaidi wanashangilia wapinzani wetu katika mechi muhimu ambayo ilikuwa ni lazima tushinde.

Halafu na nyie akina Haji Manara huko Misri mnajigharamia wenyewe au ndio mnabunya zile milioni 370 alizotuchangishia mama Samia kwa ajili ya wachezaji wa Taifa stars?!
Isijekuwa nyie ndio mmekuwa mnasababisha wachezaji wetu wapate lishe duni kwa kuhemea posho zao maana tulisikia wanalipwa dola 75 badala ya 300.

Na wewe Sugu ( waziri mbadala wa michezo) mbona uko kimya sana hata Cairo hujaonekana?!!

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!

Binafsi imenisikitisha mno kwa baadhi ya Watanzania kushangilia Kenya na kufurahia kufungwa kwa timu yetu ya taifa ya soka...lakini kwa uchunguzi wangu siyo tu wale wanaoitwa 'makamanda' walioshangilia...hata wale baadhi ya 'mtaisoma namba' wako waliofurahia kufunwa kwa Stars...kwa ujumla uamuzi wa RC Makonda kwenda Cairo inaonekana kumewaudhi mno baadhi ya watu nz kuona kuwa ni afadhali Taifa Stars ifungwe...nimeongea na baadhi ya watu wenye heshima wanahoji Makonda ni nani ajitokeze mbele kwa suala hili wakati yeye ni Mkuu wa Mkoa mmoja tu wa Dar es Salaam...wanahoji kwanini Waziri wa michezo asiwendiye mwenye jukumu kuu la uhamasishaji..wenine wanakwenda mbele wanasema ni afadhali hata Waziri Mkuu ndiye angejitokeza kuwa mhamaishaji mkuu na siyo mkuu wa mkoa mmoja ajitokeze kwa suala la kitaifa...inavyoonekana wako waliofurahia kipigo cha timu yenu kama nidyo jibu lao kwa chuki zao dhidi ya RC Makonda...Ni ajabu na kweli...yaani chuki dhidi ya Mtanzania mwenzetu inatufanya baadhi yetu kufurahia kufunwa kwa timu ya taifa????!!!!
 
Back
Top Bottom