Kwanini takwimu za tozo haziwekwi wazi?

Tozo itakuwa ni mradi wa mwigulu na boss wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutulie wakati wataalamu wetu wakijumlisha hesabu zote Kwa pamoja. Kila kitu kitakaa sawa. Tuendelee kuchutama
 
Hii nchi siku akipatikana wa kulianzisha hakika thawabu zote za Mungu zitakuwa juu yake..sema ndio hivyo bhana ujamaa umetufanya tuwe wapole na wajinga mno

 
Mwigulu hana tofauti na Dr Pimbi wa gazeti la Sani.
 
Naimani kesho wataitoa ripoti yenye mnyumbulisho wenye ukakasi juu ya majumuisho ya TOZO,,
Tujiandae kisaikolojia..korona itahusishwa kuporomosha TOZO,kupatwa kwa jua kutahusishwa kuporomoshwa kwa TOZO na kutonyesha mvua kwa wakati kutahusishwa kuporomoka kwa kiwango cha TOZO.
 
Madelu alitoa takwimu za tozo kama mara mbili hivi kipindi kile watu wakizipigia kelele, baada ya kuona mambo yamepoa madelu hatoi tena mahesabu ya tozo na matumizi yake, inawezekana wanazibunya kimya kimya......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…