Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tozo itakuwa ni mradi wa mwigulu na boss wake.Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.
Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.
Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.
Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?
Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?View attachment 2061575View attachment 2061576
Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?[emoji28][emoji28][emoji28]
Mama kaja na style yake ya upigajiNapata hisia mbaya sana kama hata ule mzigo unaingia hazina! Nafikiri kuna private account ya Tozo[emoji28] na kama watakuwa wanaiba dah!
Tutashuhudia kuvunjwa kwa rekodi ya ufisadi kuwahi kutokea nchini!
Mwigulu hana tofauti na Dr Pimbi wa gazeti la Sani.Huwa najiuliza toka ile kauli ya kuwa serikali imekusanya takriban 48 billion ambayo ilikuwa ni kiwango cha miezi kadhaa tu baada ya tozo kuanza. Je, makusanyo hayajaongezeka na kama yameongezeka yamefikia kiwango gani? Kwanini hakuna uwazi juu ya hayo makusanyo ya tozo ikiwa lengo liko wazi kuwa zitajengea madarasa.
Katika swala ambalo linanipa ukakasi ni kwamba total ya miamala inayofanyika kwa baadhi ya mitandao hukifikia wastani wa 10T kila mwezi. Tuna mitandao mitano kwa sasa ila ilio active zaidi ni minne.
Je, kupitia hii miamala ni kweli kuwa transactions za mitandao yote minne zinaweza kuzalisha 50B tu kwa mwezi mmoja? Yani out of 40T average transactions za mwezi upate 50B pekee? Ikumbukwe kuwa jamaa wanachukua VAT kisha wanachukua na Tozo ambazo ni 70% ya kile ambacho wenye mtandao wanatuchaji wao kwao kinaingia kama kilivyo maana hakitozwi VAT.
Is this thing making any sense to you? Kwanini makusanyo ya Tozo yasiwekwe wazi kama ambavyo zimeitwa za uzalendo maana zinatuhusu wananchi by 100%?
Assume wachukue buku tu kwenye kila muamala je kwa 10T transactions serikali inatengeneza bei gani?View attachment 2061575View attachment 2061576
Sasa kama mtandao mmoja unazalisha almost 90% ya budget kwa mwaka kwa miamala tu kweli tozo ambazo hazina makato kwa mitandao yote ndio ziwe 48B kwa miezi mitatu?[emoji28][emoji28][emoji28]
Tulia wewe sukuma gangNapata hisia mbaya sana sijui hata kama ule mzigo unaingia hazina! Nafikiri kuna private account ya Tozo😅 na kama watakuwa wanaiba dah!
Tutashuhudia kuvunjwa kwa rekodi ya ufisadi kuwahi kutokea nchini!
Nchi imefunguka wewe lialia tuSawa Tozo gang 😅 naona mnatutuliza kibabe