Kwanini TANESCO hawatekelezi STIEGLER'S Gorge project?

Itakuw hauna 10 pacnt ndio maan w2 hawaushughulikii
 
hiyo ni kawaida kwenye umeme wa maji. Ethiopia kila siku wanaongeza mabwawa. Uganda pia.
 

Kwa umeme huo wa MW 4000 no way tukajuta, kwani hata uzalishaji/maji yakipungua hatutakuwa mbali sana na lengo letu la uzalishaji. Kuhusu mtera na kidatu hukusikia taarifa kuwa kuna wafanyakazi ambao hawakuwa waaminifu walikuwa wanafungulia maji ili yasifikie production level ili tuu kujustify ukame.? So hayo ya maji kupungua mtera yawezekana ilikuwa ni ghost notion tuu ili kujustify uwekezaji katika sehemu ambapo watakuwa na uhakika wa 10%. Kama ndivyo hivyo, Nchi ya ethiopia isingewekeza takriban USD 4 Bil katika mradi wa MW 6000 uliokamilika juzi kati.
 

Unaandika kama muhusika au mtu tu unayajua na kutishia serikali?

Pia sababu gani hizo zinakupeleka kutoa warning namna na maneno haya?
 
Good question. Au wabrazil wameingia mitini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…