Lububi
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 2,158
- 3,808
Nyerere alikuwa na ukibaraka flan kwa wazungu ingawa alikuwa na matamshi ya kijasiri mdomoni na sera za kizalendo kwenye makaratasi.Nyerere anapenda sifa,alitaka ndo awe Rais wa Jamhuri ya Muungano. Unajua kwa nini Africa walishindwa kuungana?
Moja ya sababu ni personal ambitions. Nyerere alitaka ndo awe Rais wa Muungano wa Africa huku Nkurumah nae anataka.
Demokrasia haikuwa hobby yake!
Ujamaa aliutafsiri kama dini!
Baba mbabe flan hivi!
Hata muungano wa Africa alishirikiana na wanaoukataa akampinga sana Nkrumah, akitaka regional blocks kwanza!
Nkrumah akauawa kikatili kwa kupambania United States of Africa (kama kilichompata Gadafi na benk ya Africa!)
Tishio la wakati ule kuidhibiti zanzibar (warsaw pact vs NATO...Ubepari vs ujamaa...soviet vs west), sio tishio lile lile leo.
Kwa sasa tishio ni ulinzi wa coastline dhidi ya magendo, ugaidi na maliasili za bahari!
Zanzibar should remain economically and politically healthy BUT, strictly, in our palms!
We don't care much what their papers of sovereignty read.
Our country can't afford restless nights due to an island susceptible to patent and non patent eco-political foe.
Actually, elites are anticipating and pursuing ONE GOVERNMENT state of affair. We have already sacrificed/invested a lot for this pleasurable grail.