johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,263
- 1,753
Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika.
Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi kuwa Rais wa Senegal ,Macky Sally.
Jumla wa wagombea saba wamejitokeza, kuwania nafasi hiyo ambayo itakuwa wazi Desemba 31 mwaka huu.
Kwa uzoefu wake kama Naibu katibu mkuu wa UN, kwanini Tanzania haikumpendekeza kuwania nafasi hiyo.
Soma Pia: Dkt. Migiro aimarisha ushirikiano kimataifa na mabalozi wa Cuba, Vietnam, na UN
Kwa kuwa Tanzania ina sifa kubwa duniani na uwezo mzuri wa kushawishi, kwanini wameacha fursa hii ipite?