Kwanini Tanzania haikumpendekeza Migiro kugombea ukatibu mkuu wa UN

Kwanini Tanzania haikumpendekeza Migiro kugombea ukatibu mkuu wa UN

Hazituhusu sisi walala hoi,sisi kipau mbele chetu kwa sasa ni katiba mpya itakayo mkomboa mtamzania.
Mkuu.
Usisahau hata katiba ya UN inahitaji kubadilishwa ili Afrika ipate nafasi ya kupiga kura ya Veto.
 
Upande wa kura, hilo linaweza kuwa sio tatizo kiviile!
Ili uwe Katibu mkuu wa UN lazima Veto members wote wakuunge mkono. Salim. A. Salim alikosa ukatibu wa UN sababu ya US kutomuunga mkono na wakati ule nchi yetu ilikuwa inaheshimiwa sana huko duniani.

Kwa hali ya sasa ya Tanzania unaona kuna uwezekano wa US kumuunga mkono mgombea toka Tanzania?
 
Back
Top Bottom