johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 1,263
- 1,753
Unamaanisha huyu Migiro ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM au Migiro aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje enzi za JK?Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika.
Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi kuwa Rais wa Senegal ,Macky Sally.
Jumla wa wagombea saba wamejitokeza, kuwania nafasi hiyo ambayo itakuwa wazi Desemba 31 mwaka huu.
Kwa uzoefu wake kama Naibu katibu mkuu wa UN, kwanini Tanzania haikumpendekeza kuwania nafasi hiyo.
Soma Pia: Dkt. Migiro aimarisha ushirikiano kimataifa na mabalozi wa Cuba, Vietnam, na UN
Kwa kuwa Tanzania ina sifa kubwa duniani na uwezo mzuri wa kushawishi, kwanini wameacha fursa hii ipite?
Na hawasomani kabisa.Unamaanisha huyu Migiro ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM au Migiro aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje enzi za JK?
Maana hawa ni watu wawili tofauti wala hawajuani
Takataka anashindwa ya uhalifu wa ccm aweze ya dunia!Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika.
Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi kuwa Rais wa Senegal ,Macky Sally.
Jumla wa wagombea saba wamejitokeza, kuwania nafasi hiyo ambayo itakuwa wazi Desemba 31 mwaka huu.
Kwa uzoefu wake kama Naibu katibu mkuu wa UN, kwanini Tanzania haikumpendekeza kuwania nafasi hiyo.
Soma Pia: Dkt. Migiro aimarisha ushirikiano kimataifa na mabalozi wa Cuba, Vietnam, na UN
Kwa kuwa Tanzania ina sifa kubwa duniani na uwezo mzuri wa kushawishi, kwanini wameacha fursa hii ipite?
Hazituhusu sisi walala hoi,sisi kipau mbele chetu kwa sasa ni katiba mpya itakayo mkomboa mtamzania.Alhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika.
Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi kuwa Rais wa Senegal ,Macky Sally.
Jumla wa wagombea saba wamejitokeza, kuwania nafasi hiyo ambayo itakuwa wazi Desemba 31 mwaka huu.
Kwa uzoefu wake kama Naibu katibu mkuu wa UN, kwanini Tanzania haikumpendekeza kuwania nafasi hiyo.
Soma Pia: Dkt. Migiro aimarisha ushirikiano kimataifa na mabalozi wa Cuba, Vietnam, na UN
Kwa kuwa Tanzania ina sifa kubwa duniani na uwezo mzuri wa kushawishi, kwanini wameacha fursa hii ipite?
Tanzania kwa sasa imekuwa na gunduWakipeleka jina sijui nchi gani itatupigia kura. Labda Russia, Iran na Afghanistan ndiyo watatuunga mkono
Taliban wanaweza kumpigia kura Mwanamke kweli?Wakipeleka jina sijui nchi gani itatupigia kura. Labda Russia, Iran na Afghanistan ndiyo watatuunga mkono
Hii nchi imechafukaDuu inamaana UN imukuwa Kambi ya wazee ?
tumechafuka sana sio haraka hivyo au kirahisiAlhamisi wiki hii kikao cha mchujo wa kumpata katibu mkuu mpya wa UN, kuchukua nafasi ya Antonio Guterez, kinaanza kufanyika.
Katika mchujo huo Afrika inawagombea wawili baada ya Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje wa Uganda, Olara Otunu ( 75) kupendekezwa na nchi yake. Mwingine ni aliyewahi kuwa Rais wa Senegal ,Macky Sally.
Jumla wa wagombea saba wamejitokeza, kuwania nafasi hiyo ambayo itakuwa wazi Desemba 31 mwaka huu.
Kwa uzoefu wake kama Naibu katibu mkuu wa UN, kwanini Tanzania haikumpendekeza kuwania nafasi hiyo.
Soma Pia: Dkt. Migiro aimarisha ushirikiano kimataifa na mabalozi wa Cuba, Vietnam, na UN
Kwa kuwa Tanzania ina sifa kubwa duniani na uwezo mzuri wa kushawishi, kwanini wameacha fursa hii ipite?
Ni kama nchi mbili tofauti, hazina uhusiano kwa loloteUnamaanisha huyu Migiro ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM au Migiro aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje enzi za JK?
Maana hawa ni watu wawili tofauti wala hawajuani
Mkuu.Duu inamaana UN imukuwa Kambi ya wazee ?
Ifanyike lobbying kwa kutumia taasisi kubwa huku, tukiwatumia viongozi wetu, kufanya kampeni.Wakipeleka jina sijui nchi gani itatupigia kura. Labda Russia, Iran na Afghanistan ndiyo watatuunga mkono
Na shangaa hapo Uganda wanapeka MTU 72 years old, UN inahitaji umri wa makamo kama marcon hivi, sio vizee kusinzia kwenye vikaoMkuu.
Ungependa nafasi hiyo ichukuliwe na Gen Z?
Upande wa kura, hilo linaweza kuwa sio tatizo kiviile!Wakipeleka jina sijui nchi gani itatupigia kura. Labda Russia, Iran na Afghanistan ndiyo watatuunga mkono