Ili uwe Katibu mkuu wa UN lazima Veto members wote wakuunge mkono. Salim. A. Salim alikosa ukatibu wa UN sababu ya US kutomuunga mkono na wakati ule nchi yetu ilikuwa inaheshimiwa sana huko duniani.
Kwa hali ya sasa ya Tanzania unaona kuna uwezekano wa US kumuunga mkono mgombea toka Tanzania?