Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,467
Binafsi I am not very much impressed na majority ya viongozi wetu.
Tanzania sioni viongozi wenye vision and charisma tena wakiwa wadogo kama kina Obama na Sankara.
Viongozi wanaoweza kufanya mapinduzi kwenye Wizara, Mikoa, Wilaya au taasisi wanazoongoza. Tatizo hasa ni nini?
Chukulia mfano wa Waziri wa Utalii ndugu Kigwangalla - Hii wizara peke yake inaweza kubadilisha uchumi wa nchi na maisha ya watanzania at large.
Lakini sidhani kama Waziri atafanya mapinduzi yoyote Wizara ya Utalii. Wakati Wizara kama ile ukimpa mtu mwenye charisma anaweza kuibadili na ikawa ndio inaongoza katika pato la taifa.
Lakini kufanya hivyo lazima uwe na vision, charisma na power ya kufanya mapinduzi - revolution. Sidhani kama bwana huyu ni visionary and charismatic wala sioni kama ana madaraka na mamlaka ya kuweza kufanya mapinduzi katika sekta ya utalii Tanzania.
Nakumbuka alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Afya alitoka Ikulu kuapishwa akakimbia getini Wizara ya Afya kukamata wachelewaji kazini - secondary school mentality.
Umeteuliwa hujaripoti kazini, hujapewa briefing, huja soma reports za Wizara with its data and statistics unakimbilia getini kukamata waliochelewa kazini hivi kweli hiyo ndio kazi ya Waziri au Naibu Waziri? Is this the new breed of African leader? najiuliza nakosa majibu.
Chukulia mfano wa Waziri wa Viwanda Ndugu Bashungwa - kwanza namuona ni mdogo sana kwa umri kiasi kwamba anakosa moral and professional leadership credibility, experience, expertise and command.
Simuoni kama amepata hata muda wa kusoma na kuelewa sera ya taifa ya viwanda na biashara in relation to mpango wa Mkukuta na Mkuratiba.
Sioni grand vision & strategy yake katika viwanda na biashara wala sitarajii kwamba atayafanya mapinduzi yatayobadili the landscape of industry and trade in Tanzania.
Sidhani kama bwana huyu anaweza kubadili mazingira na kuvutia wawekezaji wakubwa wa viwanda na biashara Tanzania kama wanavyofanya Kenya na Rwanda.
Yeye kama Waziri Kigwangalla anadhani uwaziri ni kwenda field mikoani kila siku.
Sioni kama ana vision na strategy wala madaraka ya kufanya mambo makubwa.
Sidhani kama bwana mdogo ni visionary and charismatic. Is this the new breed of African leader? Najiuliza nakosa majibu
Chukulia mfano wa Waziri wa Mambo ya Ndani Bwana Lugola. Simuoni kama visionary and charismatic leader mwenye utulivu na composure anayeweza kutulia ofisini akasoma reports, aka analyze data na kufanye grand strategy kuhusu usalama wa raia na mali zao.
Sidhani kama anaelewa kua usalama wa raia wote na mali zao uko chini yake in a grand scheme of things. Watu wakikamatwa na kutekwa yeye anaweza akaona halimuhusu.
Mimi sioni kama huyu bwana ni kiongozi mwenye vision na charisma na sitarajii mapinduzi au mabadiliko yoyote makubwa kutoka kwake.
Kwa mfano wafungwa ni labor force kubwa sana ambayo haitumiki strategically lakini sitarajii huyu bwana kuwa ana uwezo wa kutulia na kufikiria mambo kama haya
Chukulia mfano Waziri Angellah Kairuki - yaani yule ndio sijui ni Waziri wa nini na anafanya kazi gani. She is technically an absentee minister.
Yule simuioni kuwa visionary na charismatic anaeweza kuset annual strategy, kuimplement na measure results.
Sitatarajii jambo lolote kubwa linaloweza kuleta mabadiliko makubwa katika taifa kutoka kwake.
Sioni kama ana creativity and innovation. Simuoni kama mtu mwenye utulivu na composure anayeweza kutulia ofisini akasoma reports, aka analyze data and statistics na kufanye grand strategy, kuimplement and measure and monitor results. Is this the new breed of African leader?
Mchukulie Bwana Lukuvi kwa mfano - huyu bwana anadhani uwaziri ni kutoa matamko, kufoka na kufanya matukio.
Kila mwezi anatangaza sheria na kanuni mpya za ardhi. Ardhi is a fixed asset for the sake of future. Huwezi kuwa unaibadilishia kanuni na taratibu kila mwezi.
Ardhi sio kama piki piki au baiskeli ambayo mtu anaweza kuipata na kuipoteza kirahisi lakini matamko ya bwana huyu ni mepesi mepesi yanayo discourage land ownership.
Land ownership is one of pillars of wealth lakini bwana huyu ana discourage. Sidhani kama huyu bwana anaelewa uzito wa nafasi yake na sera ya taifa ya ardhi kwa ujumla wake. Tanzania kuna ardhi kubwa sana na mapori makubwa sana ambayo yako wazi and unoccupied ambayo yangeweza kuendelezwa na kugaiwa kwa watu wafanye shughuli zao. Hayamilikiwi na mtu yeyote. Huyu bwana hayo hana haja nayo kila siku anaongelea viwanja vidogo vidogo vya mijini na vishamba vichache vya watu. Kwanini asijikite kwenye vast amount of unoccupied land as well. Kwanini tunabanana banana mijini wakati nusu ya ardhi ya nchi iko wazi- haya ndio mambo ya kimkakati
Its ok kudeal na watendaji kwa matamko na matukio lakini sio sheria, kanuni, taratibu na sera za land ownership.
Sidhani kama jamaa anaelewa uzito wa suala la ardhi kwenye maisha na future za watu. Land ownership ni msingi wa maisha ya watu.

Juzi nimemuona bwana mdogo Masauni anaamuru ma RPC wote wa Pemba watolewe na kushushwa vyeo kwasababu za kisiasa.
Maofisa wa Jeshi la Polisi wanachezewa na viongozi wa siasa kwasababu ya siasa za majitaka.
Sidhani kama aina hii ya viongozi inaweza kuleta mabadiliko ya kimapinduzi katika jamii yetu Tanzania and africa at large. Sidhani kama Masauni atakuja abadilike awe visionary and charismatic kama Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama huko mbeleni. I am totally not impressed
Suala dogo kama mgogoro wa wakulima na wafugaji mkoani morogoro limewashinda wakuu wa mkoa wengi.
Anyways acha niishie hapo ku avoid kuonekana nawasema watu ila nilitaka kujenga point kwa mifano michache as to why I am not very much impressed na viongozi wetu na sioni viongozi wenye charisma and vision. Viongozi watulivu wenye fikra sahihi na wanaoweza kufanya mapinduzi.
Sioni viongozi bora wa aina na kaliba ya Anthony Mtaka
Umri
Pia nimenotice zamani watu walikuwa wanapewa uongozi wakiwa wadogo lakini wanaongoza vyema kama Salim Ahmed Salim aliyekuwa Balozi akiwa na miaka 22.
Msekwa na Nyerere walianza uongozi wakiwa below 30 years old lakini waliongoza vyema. Msekwa mpaka aliombwa aoe mke ili apewe uongozi.
Siku hizi viongozi wenye umri mdogo wanaonekana kutokuwa na uwezo na kupwaya sana. Viatu vinakuwa vikubwa haviwatoshi na nafasi zina waelemea.
Tatizo ni nini? Ni mfumo? Ni utamaduni au ni maandalizi au mabadiliko ya siasa zetu na mahitaji ya nchi na wananchi wake? Au ni aina ya serikali wanazotumikia?
Ni kwamba viongozi wenye vision na charisma hatuna kabisa tanzania au wapo ila hawajulikana na hawana platform. Au wapo ila hawapendi siasa. au wapo ila wapo on the wrong side of history? Kama wapo mamlaka za uteuzi zitawafahamu vipi. kama wako upande wa pili washilingi watatumika vipi kwa masalahi ya taifa? Ile taasisi ya uongozi ya Uongozi institute na chuo cha kivukoni vina mchango gani katika kuandaa viongozi bora au kulea na kukuza viongozi?
Tujadiliane kwa hoja. tatizo liko wapi?