Kwanza kabisa sio kwamba Tanzania hakuna viongozi wenye maono makubwa
Tatizo tulilonalo Tanzania ni mfumo usioruhusu kiongozi kuonyesha uwezo wake wa kiutendaji. Siasa zinawabana viongozi wetu
Mfano tumchukue mtu kama January Makamba, alistahili kuwa nje ya system kwa style aliyotolewa nayo?
Tuseme aliteleza kwa kumtete boss wake pembeni, lakini je hakuna njia sahihi ya kuwaonya watu kama hao wakaona makosa yao plain na kujirudi. Binadamu wote tumeumbwa na soni!
Tuje kwa mzee wetu Prof Assadi. Huyu yamesemwa mengi sana juu yake ila nadhani watanzania wengi wanahisi kustaafu kwake mapema kumechangiwa na vitu vingi vingine nje ya vilivyomtoa
Naamini huyu alijitoa kwa dhati kuhakikisha mali ya umma haipotei kiholela na kila senti inayotumika itumike kihalali
Turudi kwa yule msajili wa hazina Bwana Mafuru. Huyu hakuwa na vision kweli? Kosa lake hasa lililomtumbua ni lipi?
Halafu tumuangalie Mzee Berno Ndulu na tujiulize maswali kuhusu yeye na utendaji wake pale BOT.
Je, sio kweli kwamba hakupatana na wakubwa wake kwasababu kuna baadhi ya vitu hakutaka kuona vikitendeka machoni pake?
Sio kweli kwamba kuna waliofurahi siku ya kustaafu ilipofika na kumuharakisha akakabidhi ofisi haraka?
Hao ni baadhi tu ya ambao walikuwa kwenye system na hawakuwa huru kufanya kazi zao kwa kujitanua
Tanzania tumeendekeza siasa zaidi kuliko utaalamu!
Watu kama kina Kabudi wanadiliki kupewa wizara ya Mambo ya nje eti kuwadhibiti wanaoichafua Tanzania nje ya nchi! Yaani tafsri yake ni kwamba Gwiji wa diplomasia Kahigi aliyekuwa kwenye wizara hiyo kwasababu yeye kwa hulka sio muongeaji wala mropokaji alionekana hafai! Yaani kwetu uongozi ni urupokoji na kusifia wakuu hata kama haipaswi kusifia
Naamini kuna watu wengi nje ya mfumo ni wazuri kabisa ila hawana namna ya kushauri ama kwa kuogopa kuonekana watakuwa wakosoaji au kwa hawataki kabisa kushiriki kwa makusudi tu
Viongozi aina ya Mtaka kweli wako wachache ila wapo na ni kama system haiwakubali sana washike madaraka makubwa
Ni kama system inawataka wapamba maneno, wasifiaji na walioko tayari kujishusha thamani mbele za wakubwa mfano wa Kabudi na Ndalichako!
Siku system ikiwa fair, vijana wenye kujitambua na wenye maono lazima watajitokeza tu
Kuna watu wako nje hawako tayari kudhalilishwa au kupoteza utu wao kwasababu tu ya siasa zilizopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada nzuri. Kwangu mimi naona tatizo kubwa liko kwenye jinsi watu wanavyoingia kwenye siasa na hatimae uongozi. Ni hivi: njia ya kuingia kwenye siasa ni very rough kwa watu waungwana, wenye vision na ambao wako honesty. Nina maana ili mtu awe mwanasiasa kuna manouvering ambazo anatakiwa kuzi-negotiate ambazo ni ngumu kwa watu amabo wana busara za uongozi. Inahitaji mtu uwe mtapeli, ujitowe ufahamu na kila aina ya ushenzi ili ufanikiwe na kukubalika kwenye siasa. Sasa hii ina-discourage watu wenye akili kuingia kwenye siasa. Matokeo yake? Watu matapeli wanatumia vilivyo hii hali kuingia kwenye siasa na hatimae uongozi. Ina ina maana wale wale wenye vision ambao wewe unatamani kuwaona wengi wao wanakuwa hawako kwenye nafasi za uongozi. Hapo kwenye uongozi lazima ubakiwe na ma- clown kama hao kina waziri wa mambo ya ndani na wengineo.
Umeongea mambo mazuri na mema kwa nchi yetu lakini nchi hii haitegemei viongozi tu ili isonge mbele ingekuwa ni vyema zaidi kwa jinsi ulivyo toa hayo mapungufu ukatuonyesha pia ni vipi wanapaswa kufanya ili kusonga mbele zaidi.
Kwa mfano wa wewe mwenyewe utuambie kama ungekuwa waziri wa maliasili ungefanya kipi na kipi kuongeza watalii nchini hii itasaidi kuwapa hiyo exposure unayo izungumzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo kibao mtaani ila hawajapata nafasi ya kuonekanaBinafsi I am not very much impressed na majority ya viongozi wetu.
Tanzania sioni viongozi wenye vision and charisma tena wakiwa wadogo kama kina Obama na Sankara.
Viongozi wanaoweza kufanya mapinduzi kwenye Wizara, Mikoa, Wilaya au taasisi wanazoongoza. Tatizo hasa ni nini?
Chukulia mfano wa Waziri wa Utalii ndugu Kigwangalla - Hii wizara peke yake inaweza kubadilisha uchumi wa nchi na maisha ya watanzania at large.
Lakini sidhani kama Waziri atafanya mapinduzi yoyote Wizara ya Utalii. Wakati Wizara kama ile ukimpa mtu mwenye charisma anaweza kuibadili na ikawa ndio inaongoza katika pato la taifa.
Lakini kufanya hivyo lazima uwe na vision, charisma na power ya kufanya mapinduzi - revolution. Sidhani kama bwana huyu ni visionary and charismatic wala sioni kama ana madaraka na mamlaka ya kuweza kufanya mapinduzi katika sekta ya utalii Tanzania.
Nakumbuka alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Afya alitoka Ikulu kuapishwa akakimbia getini Wizara ya Afya kukamata wachelewaji kazini - secondary school mentality.
Umeteuliwa hujaripoti kazini, hujapewa briefing, huja soma reports za Wizara with its data and statistics unakimbilia getini kukamata waliochelewa kazini hivi kweli hiyo ndio kazi ya Waziri au Naibu Waziri? Is this the new breed of African leader? najiuliza nakosa majibu.
Chukulia mfano wa Waziri wa Viwanda Ndugu Bashungwa - kwanza namuona ni mdogo sana kwa umri kiasi kwamba anakosa moral and professional leadership credibility, experience, expertise and command.
Simuoni kama amepata hata muda wa kusoma na kuelewa sera ya taifa ya viwanda na biashara in relation to mpango wa Mkukuta na Mkuratiba.
Sioni grand vision & strategy yake katika viwanda na biashara wala sitarajii kwamba atayafanya mapinduzi yatayobadili the landscape of industry and trade in Tanzania.
Sidhani kama bwana huyu anaweza kubadili mazingira na kuvutia wawekezaji wakubwa wa viwanda na biashara Tanzania kama wanavyofanya Kenya na Rwanda.
Yeye kama Waziri Kigwangalla anadhani uwaziri ni kwenda field mikoani kila siku.
Sioni kama ana vision na strategy wala madaraka ya kufanya mambo makubwa.
Sidhani kama bwana mdogo ni visionary and charismatic. Is this the new breed of African leader? Najiuliza nakosa majibu
Chukulia mfano wa Waziri wa Mambo ya Ndani Bwana Lugola. Simuoni kama visionary and charismatic leader mwenye utulivu na composure anayeweza kutulia ofisini akasoma reports, aka analyze data na kufanye grand strategy kuhusu usalama wa raia na mali zao.
Sidhani kama anaelewa kua usalama wa raia wote na mali zao uko chini yake in a grand scheme of things. Watu wakikamatwa na kutekwa yeye anaweza akaona halimuhusu.
Mimi sioni kama huyu bwana ni kiongozi mwenye vision na charisma na sitarajii mapinduzi au mabadiliko yoyote makubwa kutoka kwake.
Kwa mfano wafungwa ni labor force kubwa sana ambayo haitumiki strategically lakini sitarajii huyu bwana kuwa ana uwezo wa kutulia na kufikiria mambo kama haya
Chukulia mfano Waziri Angellah Kairuki - yaani yule ndio sijui ni Waziri wa nini na anafanya kazi gani. She is technically an absentee minister.
Yule simuioni kuwa visionary na charismatic anaeweza kuset annual strategy, kuimplement na measure results.
Sitatarajii jambo lolote kubwa linaloweza kuleta mabadiliko makubwa katika taifa kutoka kwake.
Sioni kama ana creativity and innovation. Simuoni kama mtu mwenye utulivu na composure anayeweza kutulia ofisini akasoma reports, aka analyze data and statistics na kufanye grand strategy, kuimplement and measure and monitor results. Is this the new breed of African leader?
Mchukulie Bwana Lukuvi kwa mfano - huyu bwana anadhani uwaziri ni kutoa matamko, kufoka na kufanya matukio.
Kila mwezi anatangaza sheria na kanuni mpya za ardhi. Ardhi is a fixed asset for the sake of future. Huwezi kuwa unaibadilishia kanuni na taratibu kila mwezi.
Ardhi sio kama piki piki au baiskeli ambayo mtu anaweza kuipata na kuipoteza kirahisi lakini matamko ya bwana huyu ni mepesi mepesi yanayo discourage land ownership.
Land ownership is one of pillars of wealth lakini bwana huyu ana discourage. Sidhani kama huyu bwana anaelewa uzito wa nafasi yake na sera ya taifa ya ardhi kwa ujumla wake. Tanzania kuna ardhi kubwa sana na mapori makubwa sana ambayo yako wazi and unoccupied ambayo yangeweza kuendelezwa na kugaiwa kwa watu wafanye shughuli zao. Hayamilikiwi na mtu yeyote. Huyu bwana hayo hana haja nayo kila siku anaongelea viwanja vidogo vidogo vya mijini na vishamba vichache vya watu. Kwanini asijikite kwenye vast amount of unoccupied land as well. Kwanini tunabanana banana mijini wakati nusu ya ardhi ya nchi iko wazi- haya ndio mambo ya kimkakati
Its ok kudeal na watendaji kwa matamko na matukio lakini sio sheria, kanuni, taratibu na sera za land ownership.
Sidhani kama jamaa anaelewa uzito wa suala la ardhi kwenye maisha na future za watu. Land ownership ni msingi wa maisha ya watu.

Juzi nimemuona bwana mdogo Masauni anaamuru ma RPC wote wa Pemba watolewe na kushushwa vyeo kwasababu za kisiasa.
Maofisa wa Jeshi la Polisi wanachezewa na viongozi wa siasa kwasababu ya siasa za majitaka.
Sidhani kama aina hii ya viongozi inaweza kuleta mabadiliko ya kimapinduzi katika jamii yetu Tanzania and africa at large. Sidhani kama Masauni atakuja abadilike awe visionary and charismatic kama Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama huko mbeleni. I am totally not impressed
Suala dogo kama mgogoro wa wakulima na wafugaji mkoani morogoro limewashinda wakuu wa mkoa wengi.
Anyways acha niishie hapo ku avoid kuonekana nawasema watu ila nilitaka kujenga point kwa mifano michache as to why I am not very much impressed na viongozi wetu na sioni viongozi wenye charisma and vision. Viongozi watulivu wenye fikra sahihi na wanaoweza kufanya mapinduzi.
Sioni viongozi bora wa aina na kaliba ya Anthony Mtaka
Umri
Pia nimenotice zamani watu walikuwa wanapewa uongozi wakiwa wadogo lakini wanaongoza vyema kama Salim Ahmed Salim aliyekuwa Balozi akiwa na miaka 22.
Msekwa na Nyerere walianza uongozi wakiwa below 30 years old lakini waliongoza vyema. Msekwa mpaka aliombwa aoe mke ili apewe uongozi.
Siku hizi viongozi wenye umri mdogo wanaonekana kutokuwa na uwezo na kupwaya sana. Viatu vinakuwa vikubwa haviwatoshi na nafasi zina waelemea.
Tatizo ni nini? Ni mfumo? Ni utamaduni au ni maandalizi au mabadiliko ya siasa zetu na mahitaji ya nchi na wananchi wake? Au ni aina ya serikali wanazotumikia?
Ni kwamba viongozi wenye vision na charisma hatuna kabisa tanzania au wapo ila hawajulikana na hawana platform. Au wapo ila hawapendi siasa. au wapo ila wapo on the wrong side of history? Kama wapo mamlaka za uteuzi zitawafahamu vipi. kama wako upande wa pili washilingi watatumika vipi kwa masalahi ya taifa? Ile taasisi ya uongozi ya Uongozi institute na chuo cha kivukoni vina mchango gani katika kuandaa viongozi bora au kulea na kukuza viongozi?
Tujadiliane kwa hoja. tatizo liko wapi?
Issue ya Vision Yes...!
Exposure and Mindset ni tatizo kubwa sana kwa viongozi wetu hapa Tz kwa ukweli..
Poor mentally and I'll thinking ..not enterprising at all...
Siasa imekuwa ajira badala ya uongozi....
Chukulia mtu kama anaweza dhani ili aendelee kubak madarakani ni kupambana na upinzani pekee....mf. Ole Sabaya.... anaendelezaje personal interests akiwa kwenye office ya umma and nobody cares..
HK hajawahi kuwa kiongozi wa maana ukiacha mgogoro yq kijinga na kunji. .. hili la uwaziri ni bahati mbaya tu kwa kweli..
Wengine wengi ni kwa sababu Magu anakosa watu credible kwenye chama chake... wengi anawaona wafia matumbo and not loyal enough to work with him....
Mtu kama Mwakyembe honestly sidhani kama ana creativeness yeyote hata ya kuwa mbunge forget about been the minister of Information and Sports....
Kabudi ndio kabisa usiseme....
Magufuli anakosa talents kwenye chama chake... pengine 2020 mambo yakawa mazur zaidi..
Tatizo kubwa ni kuwa asilimia kubwa ya wale wenye CHARISMA na VISION hawawezi kuwa wanasiasa. Hivyo wakati mwingine au wakati wote inabidi uchague THE BEST from THE WORST.
Uliza waliosoma kigoma sec na shy bush jinsi kigwangala alivyokuwa mbwiga.
Mfano mzuri ni Makonda a.k.a ....
mfano mwingine, ni zzzzz, ukimpigia simu CAG hapatikani na ukienda kwake hayupo unarudi twita kuwa wa kwanza kutoa taarifa kuwa ......
Viongozi, mfano wabunge, wenye vision wakianza kung'ara kwa kuikosoa serikali bungeni, wanapewa vyeo vya unaibu waziri serikalini, wanafungwa mdomo na kanuni ya "collective responsibility" inayowakataza kuisema vibaya serikali waliyomo.
Wanaisema katika vikao vya ndani, na huko wanapigwa daflao la kanuni ya "wengi wape".
Mwishowe wanachoka na kutumia kanuni ya "if you can't beat them, join them".
Mfano wa karibuni ni Hussein Bashe.
Tafuta video za Bashe alivyokuwa backbencher bungeni uone alivyoichachafya serikali kwa data za bluebooks kama analala library.
Halafu linganisha na Bashe wa sasa hivi Naibu Waziri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Intelecuals wengi hawana kadi wala utashi wa siasa za aina iliyopo! Visionaries wengi ni opposition wa oppressing mornachies, soma historia ya kina Sankara, Obama na kina J.J Rawlings hata JK Nyerere .Binafsi I am not very much impressed na majority ya viongozi wetu.
Tanzania sioni viongozi wenye vision and charisma tena wakiwa wadogo kama kina Obama na Sankara.
Viongozi wanaoweza kufanya mapinduzi kwenye Wizara, Mikoa, Wilaya au taasisi wanazoongoza. Tatizo hasa ni nini?
Chukulia mfano wa Waziri wa Utalii ndugu Kigwangalla - Hii wizara peke yake inaweza kubadilisha uchumi wa nchi na maisha ya watanzania at large.
Lakini sidhani kama Waziri atafanya mapinduzi yoyote Wizara ya Utalii. Wakati Wizara kama ile ukimpa mtu mwenye charisma anaweza kuibadili na ikawa ndio inaongoza katika pato la taifa.
Lakini kufanya hivyo lazima uwe na vision, charisma na power ya kufanya mapinduzi - revolution. Sidhani kama bwana huyu ni visionary and charismatic wala sioni kama ana madaraka na mamlaka ya kuweza kufanya mapinduzi katika sekta ya utalii Tanzania.
Nakumbuka alipoteuliwa kuwa Naibu Waziri wa Afya alitoka Ikulu kuapishwa akakimbia getini Wizara ya Afya kukamata wachelewaji kazini - secondary school mentality.
Umeteuliwa hujaripoti kazini, hujapewa briefing, huja soma reports za Wizara with its data and statistics unakimbilia getini kukamata waliochelewa kazini hivi kweli hiyo ndio kazi ya Waziri au Naibu Waziri? Is this the new breed of African leader? najiuliza nakosa majibu.
Chukulia mfano wa Waziri wa Viwanda Ndugu Bashungwa - kwanza namuona ni mdogo sana kwa umri kiasi kwamba anakosa moral and professional leadership credibility, experience, expertise and command.
Simuoni kama amepata hata muda wa kusoma na kuelewa sera ya taifa ya viwanda na biashara in relation to mpango wa Mkukuta na Mkuratiba.
Sioni grand vision & strategy yake katika viwanda na biashara wala sitarajii kwamba atayafanya mapinduzi yatayobadili the landscape of industry and trade in Tanzania.
Sidhani kama bwana huyu anaweza kubadili mazingira na kuvutia wawekezaji wakubwa wa viwanda na biashara Tanzania kama wanavyofanya Kenya na Rwanda.
Yeye kama Waziri Kigwangalla anadhani uwaziri ni kwenda field mikoani kila siku.
Sioni kama ana vision na strategy wala madaraka ya kufanya mambo makubwa.
Sidhani kama bwana mdogo ni visionary and charismatic. Is this the new breed of African leader? Najiuliza nakosa majibu
Chukulia mfano wa Waziri wa Mambo ya Ndani Bwana Lugola. Simuoni kama visionary and charismatic leader mwenye utulivu na composure anayeweza kutulia ofisini akasoma reports, aka analyze data na kufanye grand strategy kuhusu usalama wa raia na mali zao.
Sidhani kama anaelewa kua usalama wa raia wote na mali zao uko chini yake in a grand scheme of things. Watu wakikamatwa na kutekwa yeye anaweza akaona halimuhusu.
Mimi sioni kama huyu bwana ni kiongozi mwenye vision na charisma na sitarajii mapinduzi au mabadiliko yoyote makubwa kutoka kwake.
Kwa mfano wafungwa ni labor force kubwa sana ambayo haitumiki strategically lakini sitarajii huyu bwana kuwa ana uwezo wa kutulia na kufikiria mambo kama haya
Chukulia mfano Waziri Angellah Kairuki - yaani yule ndio sijui ni Waziri wa nini na anafanya kazi gani. She is technically an absentee minister.
Yule simuioni kuwa visionary na charismatic anaeweza kuset annual strategy, kuimplement na measure results.
Sitatarajii jambo lolote kubwa linaloweza kuleta mabadiliko makubwa katika taifa kutoka kwake.
Sioni kama ana creativity and innovation. Simuoni kama mtu mwenye utulivu na composure anayeweza kutulia ofisini akasoma reports, aka analyze data and statistics na kufanye grand strategy, kuimplement and measure and monitor results. Is this the new breed of African leader?
Mchukulie Bwana Lukuvi kwa mfano - huyu bwana anadhani uwaziri ni kutoa matamko, kufoka na kufanya matukio.
Kila mwezi anatangaza sheria na kanuni mpya za ardhi. Ardhi is a fixed asset for the sake of future. Huwezi kuwa unaibadilishia kanuni na taratibu kila mwezi.
Ardhi sio kama piki piki au baiskeli ambayo mtu anaweza kuipata na kuipoteza kirahisi lakini matamko ya bwana huyu ni mepesi mepesi yanayo discourage land ownership.
Land ownership is one of pillars of wealth lakini bwana huyu ana discourage. Sidhani kama huyu bwana anaelewa uzito wa nafasi yake na sera ya taifa ya ardhi kwa ujumla wake. Tanzania kuna ardhi kubwa sana na mapori makubwa sana ambayo yako wazi and unoccupied ambayo yangeweza kuendelezwa na kugaiwa kwa watu wafanye shughuli zao. Hayamilikiwi na mtu yeyote. Huyu bwana hayo hana haja nayo kila siku anaongelea viwanja vidogo vidogo vya mijini na vishamba vichache vya watu. Kwanini asijikite kwenye vast amount of unoccupied land as well. Kwanini tunabanana banana mijini wakati nusu ya ardhi ya nchi iko wazi- haya ndio mambo ya kimkakati
Its ok kudeal na watendaji kwa matamko na matukio lakini sio sheria, kanuni, taratibu na sera za land ownership.
Sidhani kama jamaa anaelewa uzito wa suala la ardhi kwenye maisha na future za watu. Land ownership ni msingi wa maisha ya watu.
Mimi sioni kama huyu bwana ni kiongozi mwenye vision na charisma na sitarajii mapinduzi au mabadiliko yoyote makubwa kutoka kwake.
Juzi nimemuona bwana mdogo Masauni anaamuru ma RPC wote wa Pemba watolewe na kushushwa vyeo kwasababu za kisiasa.
Maofisa wa Jeshi la Polisi wanachezewa na viongozi wa siasa kwasababu ya siasa za majitaka.
Sidhani kama aina hii ya viongozi inaweza kuleta mabadiliko ya kimapinduzi katika jamii yetu Tanzania and africa at large. Sidhani kama Masauni atakuja abadilike awe visionary and charismatic kama Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama huko mbeleni. I am totally not impressed
Suala dogo kama mgogoro wa wakulima na wafugaji mkoani morogoro limewashinda wakuu wa mkoa wengi.
Anyways acha niishie hapo ku avoid kuonekana nawasema watu ila nilitaka kujenga point kwa mifano michache as to why I am not very much impressed na viongozi wetu na sioni viongozi wenye charisma and vision. Viongozi watulivu wenye fikra sahihi na wanaoweza kufanya mapinduzi.
Sioni viongozi bora wa aina na kaliba ya Anthony Mtaka
Umri
Pia nimenotice zamani watu walikuwa wanapewa uongozi wakiwa wadogo lakini wanaongoza vyema kama Salim Ahmed Salim aliyekuwa Balozi akiwa na miaka 22.
Msekwa na Nyerere walianza uongozi wakiwa below 30 years old lakini waliongoza vyema. Msekwa mpaka aliombwa aoe mke ili apewe uongozi.
Siku hizi viongozi wenye umri mdogo wanaonekana kutokuwa na uwezo na kupwaya sana. Viatu vinakuwa vikubwa haviwatoshi na nafasi zina waelemea.
Tatizo ni nini? Ni mfumo? Ni utamaduni au ni maandalizi au mabadiliko ya siasa zetu na mahitaji ya nchi na wananchi wake? Au ni aina ya serikali wanazotumikia?
Ni kwamba viongozi wenye vision na charisma hatuna kabisa tanzania au wapo ila hawajulikana na hawana platform. Au wapo ila hawapendi siasa. au wapo ila wapo on the wrong side of history? Kama wapo mamlaka za uteuzi zitawafahamu vipi. kama wako upande wa pili washilingi watatumika vipi kwa masalahi ya taifa? Ile taasisi ya uongozi ya Uongozi institute na chuo cha kivukoni vina mchango gani katika kuandaa viongozi bora au kulea na kukuza viongozi?
Tujadiliane kwa hoja. tatizo liko wapi?
..Lion is tourism au Kigwangala is tourism?
..hilo bango ni kwa ajili ya utalii na simba, au kwa ajili ya Mh.Kingwangala?
Sahihi Mkuu Ngwanakilala
Watawala wa siku hizi wala si Viongozi wa siku hizi, hapa ndipo shida inapoanza.
Zamani wakati wa Mwl Nyerere ilikuwa inatangazwa ' Rais Atahutubia siku fulani muda fulani sawa na siku ya Budget ilikuwa inatangazwa' kusema kweli watu walikuwa watafanya wafanyavyo kusikia Mkuu wa Nchi anasema nini. Siku hizi ni Usanii kwa kila jambo nani anataka kupoteza muda wa Kuwasikiliza hawa wahuni!
Hatuna viongozi tuna Wafanya Biashara aka Watawala hakuna charisma hapo itaanzia wapi kwa mfano!?
Intelecuals wengi hawana kadi wala utashi wa siasa za aina iliyopo! Visionaries wengi ni opposition wa oppressing mornachies, soma historia ya kina Sankara, Obama na kina J.J Rawlings hata JK Nyerere .
Mzee una hoja kuntu, hoja zako zote zimekwenda shule, nimekuelewa sana.Kwanza kabisa sio kwamba Tanzania hakuna viongozi wenye maono makubwa
Tatizo tulilonalo Tanzania ni mfumo usioruhusu kiongozi kuonyesha uwezo wake wa kiutendaji. Siasa zinawabana viongozi wetu
Mfano tumchukue mtu kama January Makamba, alistahili kuwa nje ya system kwa style aliyotolewa nayo?
Tuseme aliteleza kwa kumtete boss wake pembeni, lakini je hakuna njia sahihi ya kuwaonya watu kama hao wakaona makosa yao plain na kujirudi. Binadamu wote tumeumbwa na soni!
Tuje kwa mzee wetu Prof Assadi. Huyu yamesemwa mengi sana juu yake ila nadhani watanzania wengi wanahisi kustaafu kwake mapema kumechangiwa na vitu vingi vingine nje ya vilivyomtoa
Naamini huyu alijitoa kwa dhati kuhakikisha mali ya umma haipotei kiholela na kila senti inayotumika itumike kihalali
Turudi kwa yule msajili wa hazina Bwana Mafuru. Huyu hakuwa na vision kweli? Kosa lake hasa lililomtumbua ni lipi?
Halafu tumuangalie Mzee Berno Ndulu na tujiulize maswali kuhusu yeye na utendaji wake pale BOT.
Je, sio kweli kwamba hakupatana na wakubwa wake kwasababu kuna baadhi ya vitu hakutaka kuona vikitendeka machoni pake?
Sio kweli kwamba kuna waliofurahi siku ya kustaafu ilipofika na kumuharakisha akakabidhi ofisi haraka?
Hao ni baadhi tu ya ambao walikuwa kwenye system na hawakuwa huru kufanya kazi zao kwa kujitanua
Tanzania tumeendekeza siasa zaidi kuliko utaalamu!
Watu kama kina Kabudi wanadiliki kupewa wizara ya Mambo ya nje eti kuwadhibiti wanaoichafua Tanzania nje ya nchi! Yaani tafsri yake ni kwamba Gwiji wa diplomasia Kahigi aliyekuwa kwenye wizara hiyo kwasababu yeye kwa hulka sio muongeaji wala mropokaji alionekana hafai! Yaani kwetu uongozi ni urupokoji na kusifia wakuu hata kama haipaswi kusifia
Naamini kuna watu wengi nje ya mfumo ni wazuri kabisa ila hawana namna ya kushauri ama kwa kuogopa kuonekana watakuwa wakosoaji au kwa hawataki kabisa kushiriki kwa makusudi tu
Viongozi aina ya Mtaka kweli wako wachache ila wapo na ni kama system haiwakubali sana washike madaraka makubwa
Ni kama system inawataka wapamba maneno, wasifiaji na walioko tayari kujishusha thamani mbele za wakubwa mfano wa Kabudi na Ndalichako!
Siku system ikiwa fair, vijana wenye kujitambua na wenye maono lazima watajitokeza tu
Kuna watu wako nje hawako tayari kudhalilishwa au kupoteza utu wao kwasababu tu ya siasa zilizopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe kwa mifano ya hao wawiliNi kweli mazingira ya sasa yanawabana sana mbavu viongozi. Ni lazima upate OK ya jumba jeupe for everything. Lakini bado nadhani viongozi wenye charisma wanaweza kushine na kufanya mapinduzi ya kiuchumi. Mfano mdogo ni Bwana Hussein Bashe na Anthony Mtaka - wanaonekana wana uelewa mpana wa majukumu yao na wana nia na uthubutu wa kufanya makubwa. Wanaonekana wa vision na charisma