Akishatoka madarakani ndiyo anaaza kuona kama kuna sehemu alikosea na kuwa na uongo uongo mwingi kama anavyofanya mkapa kujifanya anaandika andika tujivitabu twa uongo ili baadhi ya watu wasahau madhambi yake na kumuonea sympathy.Hili unalolitaka kwa ccm ya magufuli haliwezekani,Ccm ya magufuli inafaidika na hii product inayozalishwa sasa.Nchi yetu ina bahati mbaya kwa kuwa na hili kundi linaloitwa ccm
Brother viongozi wazuri wapo na visionary leaders wapo. Tatizo ni mfumo wa kuwagroom hawa watu. Kibongo bongo kuwa kiongozi mzuri unapimwa kwa mlengo wa siasa. Sasa Kuna watu potential sana nje ya CCM&CHADEMA ila hawana platform ya kuonekana.
Tubadili mifumo ya Nchi tu, japo jambo hili ni gumu sana kwa bongo. Hata hivyo kiasi fulani nampongeza kigwangala anajitahidi ukilinganisha na mawaziri waliomtangulia.
Sent using Jamii Forums mobile app