Kwahiyo yakinikuta ndio atajua ?Huna adabu rais wako unamwiita mjinga??heshimu mamlaka shauri yako yatakuja kukuta
Mima naona Shakespeare Ndio yuko overrated.. Anashindwa hata na R.R.TolkienIla Mozart Naona Kama Yuko overrated sana
Wote hao wako overrated hata huyo Mozart hamna kituMima naona Shakespeare Ndio yuko overrated.. Anashindwa hata na R.R.Tolkien
Kinachofanya Mozart awe exceptional ni vile alianza mziki akiwa mdogoo sana. Ndani ya muda mfupi alikua ameshakua na mafanikio makubwa katika muzikiWote hao wako overrated hata huyo Mozart hamna kitu
Naam nilisoma kuhusu hiyo history yake ..lakini huo mziki unao zungumziwa kwamba ulikuwa unakonga nyoyo za watu na mpaka leo bado unakonga hizo nyonyo hata siuoni ... Labda nikwakuwa Ni miaka mingi Sasa imepita na mziki umepitia mabadikiko makubwa ya kiteknolojia na kwa Wakati wao Aina ya mziki aliokuwa anapiga ndio ilikuwa flavor zaoKinachofanya Mozart awe exceptional ni vile alianza mziki akiwa mdogoo sana. Ndani ya muda mfupi alikua ameshakua na mafanikio makubwa katika muziki
Nimeshasikiliza sijaona chamaaana ...labda uniambie ujuzi wake wa upigaji ala za music akiwa bado mdogo. Lakini hayo mengine Naona kawaida tuLabda ukitaka kuelewa ugenius wa Mozart sikiliza kazi zake halafu tambua kwamba alizaliwa miaka ya 1700 na mpaka leo hii mziki ni kama umepangiliwa jana, ...
👍👍Watunzi wa mtaala wa Tanzania wenyewe na watoto wao hawatumii huo mtaala kwahiyo hawana muda huo.
Na pia waafrika tuna vijiroho mbaya na ubinafsi.
Baba yuko tayari adhurumiwe mali na wahuni kuliko kumwachia mwanae, utasikia itabidi uteseke kama mimi.
Magufuli hajui Kiingereza, Sasa badala kutia nia na kuboresha mazingira ya ualimu yeye anapobda, hataki anataka watu wote wawe wajinga kama yeye.
Kinachofanya Mozart awe exceptional ni vile alianza mziki akiwa mdogoo sana. Ndani ya muda mfupi alikua ameshakua na mafanikio makubwa katika muziki
Ok. Mtu gani unaona ww alikua genius kuliko yoyoteNaam nilisoma kuhusu hiyo history yake ..lakini huo mziki unao zungumziwa kwamba ulikuwa unakonga nyoyo za watu na mpaka leo bado unakonga hizo nyonyo hata siuoni ... Labda nikwakuwa Ni miaka mingi Sasa imepita na mziki umepitia mabadikiko makubwa ya kiteknolojia na kwa Wakati wao Aina ya mziki aliokuwa anapiga ndio ilikuwa flavor zao
Binafssi mm namkubali sana Mozart kwa umri wake alijitahidi sanaSiyo hiyo tu, kumbuka Mozart alifanya kazi zake zaidi ya miaka 200 iliyopita na mpaka leo ukisikiliza utafiri ni wa jana, ...