Regent
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 2,306
- 3,576
Kasome nini maana ya geneusndo ukweli wenyewe...unakuta mtu homeless anashinda majalalani lakini akipewa piano utasema Beethoven reincarnated
Kasome nini maana ya geneusndo ukweli wenyewe...unakuta mtu homeless anashinda majalalani lakini akipewa piano utasema Beethoven reincarnated
geneus ndo nini?Kasome nini maana ya geneus
Wazungu wengine ata kujua afrika bara au nchi hawajui, ukiwaambia wakutajie nchi tatu za Africa hawawezi.Vp hao wazungu wanafundisha watoto wao kuhusu ma-genius wa Afrika kama akina Achebe, Ngugi wa Thiongo au Owino?
unalikosea sana heshima jina la genius kwa kuhusisha wanaArt nna ugenius...Art ni kipaji kama mpira wala hakiitaji IQ kubwa.
Magenius ni kina Einstein,Archimedes,Newton,Hooke,Faraday,Tesla,Euler,Ramanujan,Lavoisier
Kwamba haukongi moyo wako haimaanishi kuwa haukongi nyoyo za watu wengine, hasa nje ya Tanzania au Afrika.Naam nilisoma kuhusu hiyo history yake ..lakini huo mziki unao zungumziwa kwamba ulikuwa unakonga nyoyo za watu na mpaka leo bado unakonga hizo nyonyo hata siuoni ... Labda nikwakuwa Ni miaka mingi Sasa imepita na mziki umepitia mabadikiko makubwa ya kiteknolojia na kwa Wakati wao Aina ya mziki aliokuwa anapiga ndio ilikuwa flavor zao
umenionesha Genius anaweza kupiga ala za muziki sio mpiga ala za mziki aliyegundua kitu kipya.Huyo kwenye video ni Richard Feynman, Nobel prize 1965 Quantum physics , akipiga ala za muziki, ...
Genius mbona tunaye sahv ona anavyotupeleka kwenye right track,ona miradi etc soon tutakuwa kama jerseyTushashinda Uchaguzi sasa nifanye nini tena ? Sasa hivi ni kukosoa tu kwa kwenda mbele, hatuna mpinzani, ...