Kwanini Tanzania hatufundishwi kuhusu 'ma-genius' maarufu wa Kizungu?

Vp hao wazungu wanafundisha watoto wao kuhusu ma-genius wa Afrika kama akina Achebe, Ngugi wa Thiongo au Owino?
 
Mbona sasa hivi nyuzi zako nyingi umekuwa mtu wa kulalama

Ova

Tushashinda Uchaguzi sasa nifanye nini tena ? Sasa hivi ni kukosoa tu kwa kwenda mbele, hatuna mpinzani, ...
 
unalikosea sana heshima jina la genius kwa kuhusisha wanaArt nna ugenius...Art ni kipaji kama mpira wala hakiitaji IQ kubwa.

Magenius ni kina Einstein,Archimedes,Newton,Hooke,Faraday,Tesla,Euler,Ramanujan,Lavoisier
 
unalikosea sana heshima jina la genius kwa kuhusisha wanaArt nna ugenius...Art ni kipaji kama mpira wala hakiitaji IQ kubwa.

Magenius ni kina Einstein,Archimedes,Newton,Hooke,Faraday,Tesla,Euler,Ramanujan,Lavoisier

Siyo kweli, uwezo wa kupangilia mziki vizuri ni genius, isitoshe kuna sababu kwa nini ma genius wengi wa Math/Physics wanajua muziki pia, ni wazuri sana kwenye music instrument, kwanza wengi husomea muziki pia sambamba na fani yake, ...
 
Siyo kweli, uwezo wa kupangilia mziki vizuri ni genius, isitoshe kuna sababu kwa nini ma genius wengi wa Math/Physics wanajua muziki pia, ni wazuri sana kwenye music instrument, ...
Sasa mbona wanamziki wengi ni failures wa darasani.
Kina diamond
 
Tunataka magenius wa Tanzania
 
 
Tulianza kufundishwa habari za Shaban Robert, kwangu mimi ninamuona Shaban Robert ni zaidi ya William Shakespeare. Shaban Robert alimudu lugha mbili kwa ufasaha.

Tulifundishwa ushujaa wa Mansah Musa na Songhai Empire. Hizi habari za kina William Shakespeare ilikua ni uamuzi wako katika project yako kwa elimu ya juu.
 
mimi najua vyote ni part ya muziki...Na mdomo ni mojawapo ya vifaa tu vya muziki.
Lakini Hata vinanda na magitaa waapiga tu watu wa kawaida...it doesnt take a genius
 
Sasa mbona wanamziki wengi ni failures wa darasani.
Kina diamond


Nafikiri Dunia inapoongelea Muziki haimaanishi kuimba (tu) , kuna ala za muziki, jinsi kupangilia ala za muziki mpaka zitoke na wewe kuzisikliza na kupenda siyo kazi rahisi, usichanganye kwa mfano mpiga ngoma Mzee Moris RIP ambaye kwangu mimi alikuwa genius na Mondi ambaye anapiga muziki wa computer na kuweka maneno juu yake, ulishawahi kujiuliza kwa nini Mondi anatoa kila kukicha nyimbo (mpya) ? Anakaa lab saa ngapi ?
 
Muziki hauhitaji IQ kubwa...unahitaji mazoezi practice kwa muda mrefu...kadri unavyopiga ndiyo kadri unakuwa gwiji..Ni sawa na Dancing,,unapozidi kucheza ndo unazidi kuwa dancer mzuri..

So ninaona aibu kumuita mtu aliyefanya mazoezi ya kitu kile kile miaka nenda rudi akakiweza-Genius
 
mimi najua vyote ni part ya muziki...Na mdomo ni mojawapo ya vifaa tu vya muziki.
Lakini Hata vinanda na magitaa waapiga tu watu wa kawaida...it doesnt take a genius

Unaleta utoto sasa, ...
 
Mondi unamaanisha Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz?
 

Baada ya uhuru na kuwa na fikra huru, hayo mambo yalipigwa vita. Yaliitwa kasumba. And yet, knowledge is everything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…