Kwanini Tanzania hatufundishwi kuhusu 'ma-genius' maarufu wa Kizungu?

unalikosea sana heshima jina la genius kwa kuhusisha wanaArt nna ugenius...Art ni kipaji kama mpira wala hakiitaji IQ kubwa.

Magenius ni kina Einstein,Archimedes,Newton,Hooke,Faraday,Tesla,Euler,Ramanujan,Lavoisier

Huyo kwenye video ni Richard Feynman, Nobel prize 1965 Quantum physics , akipiga ala za muziki, ...

 
Kwamba haukongi moyo wako haimaanishi kuwa haukongi nyoyo za watu wengine, hasa nje ya Tanzania au Afrika.
 
Huyo kwenye video ni Richard Feynman, Nobel prize 1965 Quantum physics , akipiga ala za muziki, ...

umenionesha Genius anaweza kupiga ala za muziki sio mpiga ala za mziki aliyegundua kitu kipya.

Au tuseme kwasababu Newton alikuwa mroma Basi waroma ni magenius?
 
Tushashinda Uchaguzi sasa nifanye nini tena ? Sasa hivi ni kukosoa tu kwa kwenda mbele, hatuna mpinzani, ...
Genius mbona tunaye sahv ona anavyotupeleka kwenye right track,ona miradi etc soon tutakuwa kama jersey
Huyu ndiyo genius namuona

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…