Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna soko la kutosha kama unavyofikiria, jiulize kwann wale wachina wanaojenga madaraja na magorofa marefu kwa nn nondo wanaagiza kwao china ?Soko lipo kazi kwetu. India kuanzia milioni saba unapata TATA mpya ile size kama ya starlet. Pikipiki mpya ile batavuzi unapata mpya kuanzia laki 8 pale India. Hizo ni bei chee kuliko magari used tunayonunua Japan na hizi pikipiki.
Meli zinatengenezwa hapa hapa TanzaniaMleta mada umewaza kama mm, nami huwa najiuliza ili kitu chochote kielee majini ni lazima kitumie ile fomula ya physics o'level na A'level na kama ni hivo serikali inashindwa nn kutengeneza meli zake hata kama ni za abiria 100 hivi, au huwa tunafundishwa uongo !!
Huo mfano hauna uhusiano na madaHakuna soko la kutosha kama unavyofikiria, jiulize kwann wale wachina wanaojenga madaraja na magorofa marefu kwa nn nondo wanaagiza kwao china ?
niliposema bajaj nilimaanisha aina ya chombo (vehicle type) sikumaanisha brand ya bajaj. ila ninaweza kukujibu kwa dhana zote mbili.uelewa wako mfinyu sana tutengenezaje bajaj na tayari bajaj ni kampuni ilioko india
Ndo maana tunajadili changamoto za uanzishaji ili tujue kama changamoto zinatatulika au la. kiukweli bajeti yangu hainiruhusu kuanzisha kiwanda ingawa kama kutakua na initiator mwenye nguvu, naweza kumuunga mkono kwa kununua hisakwa sababu si serikal ndo inatengeneza bali ni watu binafsi ka vp waweza fungua kiwanda hamna atakaekunyima
Man Simple acha masihara! nchi yetu ni donor countryKwann Tanzania hatutengenezi magiri?! tuna tengeneza Magauni!!??
Ni hatua nzuri mkuu, baada ya tairi tutaanza rim, shock up, sight mirror, radiator. .....hatimaye chuma chenyewe made in TanzaniaTutatengeneza,tumeshaanza na matairi...
Kuna mambo kibao ya "intellectual property" hapo, ukiiga iga tu na kuiba iba kiholela unaweza kupigwa lawsuits za kufa mtu ukajuta kwa ninihata umeingia hii kazikichwa kichwa.Unahitaji zaidi ya hizo rasilimali ili kuweza kutengeneza gari/magari.
Unless labda unazungumzia ‘assembly plant’.
Lakini kama unazungumzia kutengeneza magari ya Kitanzania from scratch....
Well....then you need a whole lot more than just raw materials or whatever.
Say ‘ingenuity’ or ‘brains’.
I’m just sayin’.
Hata kama wataalam tukiwanao, tuna competitive advantage ya kuunda magari?Hatuna wataalam ndugu yangu.......wee kama mwalimu tu hana ajira sasa ianzishe elimu ya uundaji wa magari nani ataenda wakat anafaham kabisa viwanda vya nguo tu hapa bongo havina wateja.