Kwanini Tanzania hatutengenezi magari?

Kwanini Tanzania hatutengenezi magari?

Tunayo NYUMBU inayotengeneza magari ya jeshi. Labda wata extend to commercial cars someday
 
Sisi ni viwonder tu vya kunyolea kwapa,kuchomea madirisha
 
Mleta mada umewaza kama mm, nami huwa najiuliza ili kitu chochote kielee majini ni lazima kitumie ile fomula ya physics o'level na A'level na kama ni hivo serikali inashindwa nn kutengeneza meli zake hata kama ni za abiria 100 hivi, au huwa tunafundishwa uongo !!
 
Soko lipo kazi kwetu. India kuanzia milioni saba unapata TATA mpya ile size kama ya starlet. Pikipiki mpya ile batavuzi unapata mpya kuanzia laki 8 pale India. Hizo ni bei chee kuliko magari used tunayonunua Japan na hizi pikipiki.
Hakuna soko la kutosha kama unavyofikiria, jiulize kwann wale wachina wanaojenga madaraja na magorofa marefu kwa nn nondo wanaagiza kwao china ?
 
Mleta mada umewaza kama mm, nami huwa najiuliza ili kitu chochote kielee majini ni lazima kitumie ile fomula ya physics o'level na A'level na kama ni hivo serikali inashindwa nn kutengeneza meli zake hata kama ni za abiria 100 hivi, au huwa tunafundishwa uongo !!
Meli zinatengenezwa hapa hapa Tanzania
 
Hakuna soko la kutosha kama unavyofikiria, jiulize kwann wale wachina wanaojenga madaraja na magorofa marefu kwa nn nondo wanaagiza kwao china ?
Huo mfano hauna uhusiano na mada
 
Kwann Tanzania hatutengenezi magiri?! tuna tengeneza Magauni!!??
 
kwa sababu si serikal ndo inatengeneza bali ni watu binafsi ka vp waweza fungua kiwanda hamna atakaekunyima
 
uelewa wako mfinyu sana tutengenezaje bajaj na tayari bajaj ni kampuni ilioko india
 
uelewa wako mfinyu sana tutengenezaje bajaj na tayari bajaj ni kampuni ilioko india
niliposema bajaj nilimaanisha aina ya chombo (vehicle type) sikumaanisha brand ya bajaj. ila ninaweza kukujibu kwa dhana zote mbili.
1. Dhana ya kwanza ni kwamba tunaweza kutengeneza chombo cha usafiri chenye aina kama bajaj kwa maana kwamba chombo chenye tairi tatu. hili linahusisha usanifu wa chombo husika bila kuathiri hati miliki ya kampuni ya awali. yaani tunaweza kudesign kitu kingine kama bajaj lakini iwe na mwonekano tofauti kidogo na bajaj ili jamaa wasitushtaki kwamba tumewakopi.
2. Dhana ya pili ni kwamba tunaweza kununua brand ya bajaj tukatengeneza bajaj baada ya kuingia ubia na kampuni ya bajaj, hivyo bajaj zikawa zinatengenezwa Tanzania. (rejea Landcruiser ya South Africa na Landcruiser ya Japan au Suzuki za Japan na zile za India)
nadhani nimekujibu vyema mkuu
 
kwa sababu si serikal ndo inatengeneza bali ni watu binafsi ka vp waweza fungua kiwanda hamna atakaekunyima
Ndo maana tunajadili changamoto za uanzishaji ili tujue kama changamoto zinatatulika au la. kiukweli bajeti yangu hainiruhusu kuanzisha kiwanda ingawa kama kutakua na initiator mwenye nguvu, naweza kumuunga mkono kwa kununua hisa
 
Kabla hatujafikiri materials yaliyopo aridhini tujifikirishe kwanza kwamba kila product ni zao la utafiti ambao ndio unachukua sehemu kubwa ya mradi.

Tuchukulie mfano mdogo wa vyuo vyetu TZ kuanzia UD mpaka DIT sehemu kubwa za tafiti zao ni either full ama partial funded na kama ni funded means hizo findings objectives zake ni zao la wenye pesa.
Fikiria kuhusu mradi wa malaria na ukimwi na TB lakini pia SIDO

Tanzania bado hajuaamua kiuhalisia
 
Unahitaji zaidi ya hizo rasilimali ili kuweza kutengeneza gari/magari.

Unless labda unazungumzia ‘assembly plant’.

Lakini kama unazungumzia kutengeneza magari ya Kitanzania from scratch....

Well....then you need a whole lot more than just raw materials or whatever.

Say ‘ingenuity’ or ‘brains’.

I’m just sayin’.
Kuna mambo kibao ya "intellectual property" hapo, ukiiga iga tu na kuiba iba kiholela unaweza kupigwa lawsuits za kufa mtu ukajuta kwa ninihata umeingia hii kazikichwa kichwa.

Ukiacha hilo, kuna sualalaeconomies of scale. Utatengeneza magari mangapi mpaka kupata economies of scale.

Hapo hata sijaingia kwenye manpower inayotakiwa kuendesha knowledge work.

Adam Smith aliongelea competitive/ absolute advantage, ukiweza kutengeneza gari Tanzania kwa gharama ya shilingi milioni 40, halafu gari hilo hilo, au bora kuliko hilo, linatengenezwa leo Japan kwa gharama ya sh milioni 20, kuna haja ya kutengeneza tu?
 
Hatuna wataalam ndugu yangu.......wee kama mwalimu tu hana ajira sasa ianzishe elimu ya uundaji wa magari nani ataenda wakat anafaham kabisa viwanda vya nguo tu hapa bongo havina wateja.
 
Hatuna wataalam ndugu yangu.......wee kama mwalimu tu hana ajira sasa ianzishe elimu ya uundaji wa magari nani ataenda wakat anafaham kabisa viwanda vya nguo tu hapa bongo havina wateja.
Hata kama wataalam tukiwanao, tuna competitive advantage ya kuunda magari?
 
Back
Top Bottom