FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wakinunua Rwanda ndio wa kwanza mnaanza kutukana serikali kwamba inapitwa na wilaya ya RwandaWatu na akili zo wanashangilia kununua ndege, a Nation, nchi ya kishenzi hii. What is Ndege?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakinunua Rwanda ndio wa kwanza mnaanza kutukana serikali kwamba inapitwa na wilaya ya RwandaWatu na akili zo wanashangilia kununua ndege, a Nation, nchi ya kishenzi hii. What is Ndege?
🤣🤣🤣 Nimecheka sana.Ndege hununuliwa kwa oda. Unaweka oda Leo ili uipate kesho. Oda yenyewe ni kama mkataba ambao unakuwa umejifunga. Usiponunua kuna malipo lazima uyalipe. Sasa kama tuliweka oda ya ndege tano na kwa vile sisi pesa si tatizo, basi tumeshawalipa hao jamaa tunasubiri ndege zetu tu. Hatuna budi kuvumilia hadi zote zifike hapa halafu tutajua nini cha kufanya. Asanteni kwa kunisikiliza.
Yaani wewe upo hapa JF ndio uipangie Serikali ya Tanzania? Wacheni dharau, hivi kwa Tanzania ndege kwa mfano 20 zinatosha kweli kukidhi mahitaji yetu ya usafiri wa anga? Leteni stats nchi zinazotuzunguka wana ndege ngapi etc kabla ya kuanza kutapika matapishi yenu.
Kwani kuna mwenye uelewa timamu asiyejua kuwa ndege zinanunuliwa ili wahusika wapate commission a.k.a 10% ?wewe na akili yako CAG kila ukaguzi wa mahesabu anabaini hasara katika uendeshaji wa hiyo biashara bado waendelea ununuzi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana.
Ngojeni dawa iwaingie, haiwezekani tusiwe na usafiri wa haraka internally/externally kwa sababu ya malofa wachache ambao hawataki kujituma na kufanya kazi ili kujikwamua na umasikini. Wakati SGR inapoanza watu lazima tuwe na choice ya kutumia ndege au treni kwa safari za ndani na nje pasipo na shaka, vile vile kuwa na alama ya taifa. Lazima tukomae na maendeleo ya kweli.Jamani Serikali ingetuonea TU huruma Sisi Walala Hoiii.Waache kuendelea kununua Ndege,Ili Sisi tupunguziwe makato ya kwenye miamala.Just imagine,Leo nimemtumia mama yangu hela shs 25,000 ya dawa Kule Kijijini anaumwa.Kanitumia and kwamba alipoenda kutoa hizo pesa kwa wakala,Amekatwa shs 2,900.Kabakiwa na shs 22,000.Sasa Ameshindwa kununua Dawa ya sh 24,000.Toka Jana hajanywa Dawa.Bora Serikali iendelee kufikiria chanzo lingine Cha mapato.Hii tozo ya kwenye miamala inagusa Walala hoi Sana na Wananchi wanyonge.Angalao tuendelee kukatwa Kama TU ilivyokuwa zamani kabla ya budget ya July 2021.Haya makato ya kwenye miamala yahamishiwe kwenye pombe za konyagi,K-Vant,Sigara n.k.AU HATA MAKANISANI Wakatwe 10% ya sadaka wazokusanya,maana makato Haya ya makanisa yatawarudia hao hao waamini wenyewe kupitia huduma za kijamii za ujenzi wa shule,vituo vya afya,maji,barabara n.k.KULIKO ILIVYO SASA AMBAPO BAADHI ya wachungaji Walio Wengi,sadaka wanazitumia kwa matumizi BINAFSI kwa kununua Ndege BINAFSI.Magari na majengo ya kifahari.Eee Mwenye Enzi MUNGU,Tusaidie.
Watu wa huko vijijini huamini kabisa kwamba fedha imetolewa na viongozi. Hata ukijaribiu kuwaeleza vipi somo halipandi. Vyombo vyote vya habari vimesaidia Sana kuupotosha ukweli huu. Wakipelekewa umeme huambiwa hiyo ni hisani toka viongozi wao. Itachukua muda Sana sumu hiyo kuondoka .Hii ni nchi pekee ambayo ina viongozi wabinafsi wasiojali wananchi na maamuzi yao. Bila soni mtu anasema Rais ametoa fedha (tena mabilioni ya shs) kufanya miradi (hata kama ni kweli) anatoa mfukoni Kwame? Usahihi ni serikali imetoa kwa sababu ni kodi zetu.
Waambie mods uwe verified member manake Haina maaanaLeo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga nchini, Serikali imenunua ndege mpya 11 na 9 kati ya hizo zimeshawasili nchini huku 2 zikitarajia kuwasili muda wowote. Baada ya ndege hizo 11, Serikali sasa imenunua ndege zingine mpya 5 ambazo zitawasili mwaka 2023.
Mjadala ni mkubwa kuhusu ununuzi wa ndege hizi, Je kuna haja ya nchi yetu kuendelea kununua ndege na kuimarisha sekta nzima ya usafiri wa anga? Gazeti la HABARI LEO linapatikana nchi nzima popote panapouzwa Magazeti, fika upate nakala yako halafu ukafaidi huu mjadala wangu. Hutajuta.
Bwanku M Bwanku.
View attachment 1919987