Kwanini Tanzania iligharamikia Uganda baada ya vita vya Kagera?

Najua umefundishwa kwamba Idd Amin ndo alivamia TZ na kutaka kuchukua eneo la kagera. Historia ilipindishwa mkuu. Nyerere ndo ali mchokoza Idd Amin, na hatimaye kumuondoa madarakani.
 
Hivi kuna watu humu walioshuhudia hiyo vita? Haya mambo ya Tz kupigana kuna muda mi huwa nahisi chai.... mbona sie ni wapole, waoga, hatupendi makuu, anaetuumiza tunamuachia Mungu hao waliopigana ni kina nani? hawakuacha kizazi chao cha kishujaa? Au wote walikufa kwenye vita?

Alieshuhudia anielezee (sio aliesoma kwenye vitabu wala Wikipedia)
 
Muda mwingine huwa nawaza km wee yaan.
 
Waliopigana waliuliwa wote hukohuko
 
Kuna namna umeandika hii kitu kinamna sana...!;Kuelewa inabidi usiwe umekata windoek.
 
Najua umefundishwa kwamba Idd Amin ndo alivamia TZ na kutaka kuchukua eneo la kagera. Historia ilipindishwa mkuu. Nyerere ndo ali mchokoza Idd Amin, na hatimaye kumuondoa madarakani.
Hakuna vita iliyowahi kupiganwa baina ya Tanzania na Uganda. Hizo ni chai tu za kijiweni. Wala hakujawahi kuwa na mtu anaitwa Idd Amini wa Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…