stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Vita vya Kagera - Wikipedia, kamusi elezo huru
- Kutoka wikipedia inasemekana tanzania ilibidi kugharamikia uganda baada ya vita, ikiwa ni sharti kutoka OAU, japokua walikua wanajua yote tunayofanyiwa ila walitoa sharti ilo, kwa wenye uelewa nini zaidi juu ya sharti la OAU limetumia vigezo gan atuambie.