Kwanini Tanzania inunue ndege? Soma hoja kuu hizi nne...

Zaidi ya kufata wanafunzi china na india sijawahi kusikia Kama zimeenda hata ulaya
Air Tanzania official routes; Destinations
Usiwe na shaka wakati wa Mwalimu tulikuwa tunaruka hadi London etc. London ni prime destination pamoja na New York; JPM kabla ya kuachia ngazi lazima tutatoboa tu.

Destinations
 
Hapa wizi tu, mikataba ya manunuzi ya ndege iko kwapani
Maisha yako yote hujawahi kupanda ndege. Utaendelea kudokoa macho juu kuangalia wenye uwezo wa kupanda ndege. Matatizo yako binafsi yasiwe ya kitaifa
 
Maisha yako yote hujawahi kupanda ndege. Utaendelea kudokoa macho juu kuangalia wenye uwezo wa kupanda ndege. Matatizo yako binafsi yasiwe ya kitaifa
Mikataba ya manunuzi kwapani
 
Swali dogo tu kwako mleta mada, wakati mnanunua ndege mlikuwa na business plan??? Na Kama mlikuwa nayo, mpaka sasa mmefikia wapi kwenye malengo yenu kibiashara???

Pili Kwa nini mikataba ya ununuzi wa ndege hizi ni siri??? Mlinunua kila ndege shs ngapi??? Na Kwa nini hamkupeleka bungeni mikataba???

Tatu hivi Kwa nini CAG sasaivi hakagui ATCL?
 
Heil JPM... Viva ... 2020 to infinity
 
Wote, nasema ikiwa ni pamoja na akina AMSTERDAM, Light weight, Lissu na wapambe wao wote, wa nje na wa ndani wanazijua fika hoja hizo za kiuchumi, ila wanataka kuwababaisha Watanzania wachache wanaohudhuria kwenye mikutano yao ya kampeni kwa UONGO, UZUSHI na UPOTOSHAJI usio na maana. Wanazisema usiku, mchana wanazipanda!
 
Mimi nabisha.
 
Sio lazima serikali inunue ndege,sekta binafsi inaweza kufanya hiyo biashara kwa ufanisi zaidi
 
Kwenda huko pinga pinga fc kama wangekuwa wanapata hasara kenya rwanda na hao wengine uliowataja wangeyapark mandege yao yasifanye kazi. Lakini kutwa tunayaona angani na mengine mapya wananunua.
 
Ninakubaliana na mtoa mada air space economy ni muhimu sana kwa uchumi wa kisasa lakini pia uchumi wake una multiplier effect kwenye sekta nyingine. Lakini pia ni flag carrier inayoiletea heshima nchi na sura chanya kwa wawekezaji kuhusu umadhubuti wa uchumi. Kuna vi nchi vidogo km Mauritius,Sychelles, Rwanda,Moroco, etc vina ndege zake na kiashiria cha ubora wa uchumi wao.Pia Huwezi kuboresha viwanja vya ndege tunachokifanya sasa na kisha kutegemea airline za nje tu kutua hapo. hutawezi kuwa hub ya airline industry.Jamii ya kitanzania inabadilika kila siku na mahitaji ya ndege kwa soko la ndani yanazidi kuongezeka utegemee ndege za nje kweli?. Hatuwezi kuendesha uchumi wa anga na kufungamanisha na utalii,viwanda,kilimo kwa kutegemea ndege za wenzetu. Gharama ni kubwa mno na kuna uwezekano wa kunyanyasika kibiashara na bila intervention sahihi vile huna jinsi
 
Ndugu yangu. Hapa unajichosha tu. Hata ukiandika vizuri vipi, hauta eleweka.

Kama mtu na akili zake, amekaa na kuwaza, kufikia conclusion kuwa Lisu anachukua nchi mwaka huu, unatarajia kweli ataweza chambua maana na faida ya miradi ya kimkakati?

We subiri uchaguzi uishe, wata fyata, then ndo uanze kuongelea hii mambo.
 
Hivi Air Tanzania huwa inaenda nchi gani ili kuleta watalii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…