Kwanini Tanzania na sio Cameroon: Imperialism and Barbaric actions against patriotism

Nini chanzo cha maandamano? Umekunywa pombe ya wapi? Ule uchaguzi ulikuwa wa ccm peke yao?
 
MANENO kuntu walahi
 
Achana na chadrama mcharuko mizee ya matukio
 
Achana na chadrama mcharuko mizee ya matukio
Wewe tena kichwa box ulimshambulia fatma karume kuhusu rangi za bandela ya Taifa leo mwenyekiti wako kakubomoa kwisha habar yako
 
We don't need to compare to the loser or to those who have failed..!

Tanzania since she was democratic country, so we need not to see barbaric kind of rules because it's not our culture...!
 
Kumbe ulitaka jk akuambie ndio ujue alikua adui wa democracy?Yani kule kuitwa kunywa juice ikulu ndio kukuza democracy?Unajua nini kiliendelea baada ya wao kunywa juice?Mauaji na mateso ya watu mbalimbali kipindi cha jk leo yamefutika?Rais yuko SAHIHI kabisa,sio kwa wanasiasa tu.Mtu yyt asiye heshimu sheria lazima aishie gerezani na hili liko wazi.Huo ndio ukweli mchungu,mkileta ujinga mtaishia jela
 
Naona akili yako inayumba hapa tunazungumzia kwa nini jiwe ni mhanga wa wazungu na kauli zake zisizo na tija hivi kwa akili yako kuna mahali nimezungumzia democracy?
 
Mchina viwanda vya nchi za magharibi
 
Problem tuliyonayo watu wengi wamekuwa mateka wa propaganda za upinzani.
Ukiuliza kosa la Maghufuli,
-watakwambia dikteta! Sijui dikteta wanamjua? Na anayeongoza kuwaaminisha hivyo anatawala chama chake kidikteta! Anang'ang'ania madaraka kwa kujenga ufalme badala ya utaasisi.
-Watakwambia anaminya uhuru wa habari, alafu kila siku hapa JF wanamtukana matusi yasiyo na idadi!
Ukweli ni kwamba Maghufuli anapendwa na watu wa chini ambao ndiyo wengi sababu anatekeleza ahadi kwa kasi ya ajabu. Wapinzani baada ya kugundua kwa njia ya kura hawawezi kushinda, wakabuni njia ya kumchafua hasa kwa mataifa ya nje. Yaani wanatanguliza ulafi wao wa kushika madaraka kwa kuhatarisha maendeleo na usalama kwa watu wote.

Sijawahi kuliwaza hili, lakini Sasa hivi nimeanza kuelewa kwa nini states huwa zina wapoteza wasaliti kwa njia mbalimbali!
 

Tatizo udikteta sio Tabia yetu.. Wanaamini wakikemea tutabadilika.. Mtoto aleavyo ndivyo akuavyo. Mambo haya mageni sana nchini na ulimwenguni pia wanajua hatujakuzwa na kulelewa kihivyo. Waasisi wetu na warithi wao wanashangaa pia. Ukibadilika kidogo au ukionekana unabadilika kila mtu anaona.. Ni hivyo tuu
 
Washamba wa siasa kwa kivuli cha demokrasia wanafanya fitna nje ya Nchi kwa wanaowatuma bila kujitambua, kutokana na ulevi wa uchochezi, ipo siku Tanzania itawalilia na machozi yake yatalaani vizazi vyao maisha yote..
Watakuwa zaidi ya chifu Mangungo alieuza utu, watu na Nchi yake kwa chupa ya wine na kioo cha kujitazamia. SHAME ON YOU!
 
Kashindwa nyerere kulinda heshima akazugia kung'atuka sembuse sasa hivi.
 
Mali zote si zetu sisi ni wasimamizi tu wa mali thus wao ndo wanunuzi wakigoma tutayachezea bao madini yetu.Madikteta wengine wanajua kucheza na vipofu,ukimgusa kipofu lzm jiwe lipondwe na nyundo
 
Team kunufaika lzm mtetei matumbo yenu mbuyu ukiondoka mtarudi kijijini
 
Uko sawa kabisa. Hata kama kuna matatizo kwenye nchi, kwenda kuishtaki nchi yako kwa wazungu ambao siku zote una piga kelele kuwa wazungu haohao wametusainisha mikataba feki huitakii mema nchi. Mimi likitokea baya lolote kutokana na haya nitawalaumu wanasiasa walioishtaki nchi kwa wazungu na kiongozi wao tundu lisu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…