Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshatembea nchi ngapi mwenzetu?wewe unafanyaje kuisaidia serikali kupunguza hii idadi ya wanafunzi wengi ili wakubwa wasisomeshe nje..huji kuna shule haa hapa mjini zina mchepuo zaidi hata ya nje...halafu lazima ujifunze hamnaga usawa toka kipindi cha yesu..sasa we kaa hapo lia lia badala ya kupambana uone kama mwanao hajabaki kujipanga andamana wakati watoto wa wenzio wanazidi enda ulaya
1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.
2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...
3. Serikali ituboreshee huduma..
1.Ajira zimekua ngumu kwa vijana.
2.Watu wanapotea kusipojulikana.
3.Wazee wana pigwa chenga kwenye mafao yao.
4.Ndani ya miaka mitano,hamna promotion yoyote kazini.
5.Hamna ongezeko la mshahara.
6.Riba ya Heslb kutoka 3% mpaka 15%.
7.Bei ya cement from 11,500Tzsh mpaka 22,000Tzsh.
Kwa hizo sababu hapo juu,hiyo furaha inatoka wapi ndugu yangu Bujibuji?.
Je wewe unanfuraha?
Unafurahi kusikia maelfu ya wanafunzi wamehitimu lakini hakuna ajira? Unafurahi kusikia kuwa wengi wameuliwa Pemba ili mtoto wa boss awe rais? Kwenu mwapata maji safi na salama kila kaya? Je mna maisha Bora? Au ndio unafiki tu wa Watanzania kama asemavyo Khantwe ?
wewe unafanyaje kuisaidia serikali kupunguza hii idadi ya wanafunzi wengi ili wakubwa wasisomeshe nje..huji kuna shule haa hapa mjini zina mchepuo zaidi hata ya nje...halafu lazima ujifunze hamnaga usawa toka kipindi cha yesu..sasa we kaa hapo lia lia badala ya kupambana uone kama mwanao hajabaki kujipanga andamana wakati watoto wa wenzio wanazidi enda ulaya
Sawa serikali haiajiri ila sekta binafsi inakuwa na uwanda mpana wa kuajiri huku serikali ikifanya monitoring ya hio sector ili kuondosha unyonyaji. Pia serikali inawahudumia fully wananchi wasio secure kazi kwa kuwapa chakula toka government reserves ama stipends za mwezi kwa ajili ya kufinance kodi.Hakuna serikali yoyote duniani inayoweza kuwaajiri wahitimu wote wa vyuo vikuu. Never ever
kitendo cha kuuliza huu upumbavu inaonekana kiasi gani umekua affected na kukaa vijiweni na low self esteem ndo maana rahisi kupelekwapelekwa...nshazunguka schengen countries na baadhi ya east african countries,...ila hainizuii kuchambua na kujua lipi sawa lipi unyumbuUmeshatembea nchi ngapi mwenzetu?
Well saidMkuu ni wachache sana wanaweza kukuelewa, kama mtu anaweza kusema kwamba "eti tanzania inae tajiri mwenye umri mdogo zaidi afrika", kwamba hatuoni aibu kuwa na kijana mmoja tajiri kati ya watu millioni 55 waishio hapa nchini !!, ni fedheha kwa nchi kubwa kama hii kuwa na tajiri mmoja tu, na lkama ulivyosema hapo juu, endapo rais analilia hata uso wake ukimuona utadhani amemeza chroloquine, mke wake nae tunamuona akiwa hata uso wa furaha !!, vipi sisi wengine ?, si unaweza kujikuta umekufa ukiwa unatembea !!, watu wanadhani tu wazima, kumbe !!
Sisi wafanyakazi tunakatwa direct tax kwenye PAYE na Kodi nyingine indirectly, mbaya zaidi mtu na chuki zake anakuja kusema eti atatunyima miundombinu kwasababu eti hatukuchagua chama chakeUkusanyaji mapato lazima uzingatie welfare ya wananchi pia.
Kumkamua mzalishaji au kampuni zinazoendesha shughuli zake kwa kukomoa haisaidii. Unaweka targets ambazo haziendani na uhalisia ni kuua sector binafsi. People have to feel proud of paying the government taxes sababu zina positive impacts kwao.
Furaha itakuja endapo basic needs zinakuwa ascertained na sambamba na maendeleo.
Natamani serikali yetu ya wanyonge ione umuhimu wa muda wa wananchi. Tu adopt mfumo wa kulipana kwa masaa rasmi.
Haiwezekani ukifanya mradi wa mzungu aweze kukulipa kati ya elfu 50 mpaka laki 2 kwa masaa 8 ila mtanzania mwezio akulipe 5000 kwa masaa 12! Huu ni unyonyaji na kutoheshimu fani za watu.
Serikali iangalie gharama za maisha za sasa na ku standardize mishahara iendane na hali halisi. Sio unalipwa laki 4 ila cost za maisha ni laki 6 kwa mwezi. Una accomodate vipi? Furaha itatoka wapi?
Unasema watu wajiajiri ila masoko yatakayotokana na uzalishaji wao yako katika mikono ya madalali walafi. Ukahenyeke kulima huko uje ugawane hela na dalali?
Akili za chadema ni za kijinga sana. Unasema huwezi semea watanzania halafu hapo hapo unasema, njiani hawana furaha, familia yako hawana furaha, kwenye daladala hawana furaha, mwendokasi hawana furaha, daaaaaah. Kwa hiyo hao uliowasemea ni mbuzi?1. Siwezi semea Watanzania wote, ila mimi SINA FURAHA. Nikiwa natembea njiani naona wengi hawana furaha. Familia yangu naona wote hawana furaha. Kwenye daladala/mwendokasi sura naona hazina furaha.
2. Pesa ngumu, huduma za kijamii mbovu, foreni kila mahala, ...
3. Serikali ituboreshee huduma..
Schengen States??? Ulienda via VPN serverskitendo cha kuuliza huu upumbavu inaonekana kiasi gani umekua affected na kukaa vijiweni na low self esteem ndo maana rahisi kupelekwapelekwa...nshazunguka schengen countries na baadhi ya east african countries,...ila hainizuii kuchambua na kujua lipi sawa lipi unyumbu
Sasa hizo ndio akili za CHADEMA? Je CHADEMA ndio walifanya utafiti na kugundua kuwa Tanzanians are not happy? Basi na nyie leteni utafiti wenu unaoonesha ni kwanini Watanzania wana furaha na muandae orodha yenu ya nchi zote dunianiAkili za chadema ni za kijinga sana. Unasema huwezi semea watanzania halafu hapo hapo unasema, njiani hawana furaha, familia yako hawana furaha, kwenye daladala hawana furaha, mwendokasi hawana furaha, daaaaaah. Kwa hiyo hao uliowasemea ni mbuzi?
Unapataje furaha sasaSisi wafanyakazi tunakatwa direct tax kwenye PAYE na Kodi nyingine indirectly, mbaya zaidi mtu na chuki zake anakuja kusema eti atatunyima miundombinu kwasababu eti hatukuchagua chama chake
Wakati DR Congo haipo huu ni uchochezi.Inasikitisha kuona nchi yangu pendwa iko kwenye orodha za juu ya nchi zisizo na furaha kabisa duniani. Nina maswali machache ya kujiuliza na kuulizana:-
1. Je ni kweli hatuna furaha
2. Nini kimepelekea kuondoka kwa furaha yetu
3. Tufanyeje ili tuwe wenye furaha?
View attachment 1628203
Nani kamchochea nani? Kamchochea Nini?Wakati DR Congo haipo huu ni uchochezi.