Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

Kingine serikali ingeweza fanya entry fee iwe zero, hawa watu wakija kwa wingi wataspend dollars kwenye malazi, vyakula, usafiri nk nk, hapo itakuwa imetengeneza ajira za kumwaga na ikakusanya kodi ya mapato kwa wingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom