Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

Mimi narudi kwenye utalii wa ndani.

Watanzania siku hizi wanapenda kwenda mbuga za Wanyama. Lakini mbuga zetu ziko mbali sana kwa mfano Katavi, Ruaha na ukanda wa kule kwa Mhe. Magu. Usafiri wa kufika huko ni lazima uwe na gari binafsi maana haya ya kitalii ya kukodi ni ghali. Pili huduma za vyakula na bei zake ziko juu kwa mwananchi wa kawaida.

Huwa naangalia vipindi vinavyorushwa na TBC Safari Channel. Kwa Mtanzania hakuna maelezo kwa mtu wa kawaida atafikaje katika vivutio hivyoi na gharama zake kulinganisha na mgeni kutoka nje. Mahoteli yanayooneshwa ni ya kitalii ambayo kwa kuangalia tu utajua ni gharama. Pia ukifika huko utatakiwa kulala. Nadhani makampuni yetu ya utalii yaandae packages za kuvutia.
 
Vivutio vipi? Mkuu watalii wana hoby tofauti, tofauti
Tuna milima kama Kilimanjaro, Mount Mer au Milima ya Uluguru, tuna Mbuga za wanyama na fukwe za bahari kuliko nchiyoyote katika ukanda huu, pia kuna utalii wa mikutano ya kimataifa ambao ni kama umekufa kabisa. Ni hoby gani ya watalii watakosa anzania? We have no good marketing strategies katika sekta ya utalii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna issue moja kubwa ambayo wahusika wanashindwa kuelewa hua wakiangalia Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar wanahisi zipo unique sana ila kiuhalisia they are not. Mfano mtalii akitoka Ulaya au America lengo lake kuu ni kuona Simba, Chuo, Tembo na wanyama wengine, ni wachache sana wanataka waone specific things kama Migration na other physical features.

Sasa ukiangalia competitors wetu Kenya, South Africa, Botswana, na Zimbabwe nao pia hawa wanyama wanapatikana. Similar case to Zanzibar kuna tropical Islands nyingi tu kama Mauritius, Seychelles na Comoros. At the end of the day Tanzania tuna unique attraction moja from the rest of the continent ambayo ni Kilimanjaro (Highest Peak in Africa ).

Wenzetu wametambua hilo wakawekeza katika Marketing, Pricing na Service. Sisi tumeng'ang'ana na uniqueness tu na kuhisi tupo special wakati kuna substitute destinations ambazo zinatoa same experience and at a reasonable price.
Mkuu kwa takwimu za wizara ya maliasili na utalii 80% ya watalii nchi hii wanakuja kwa ajili ya serengeti. Yaani kila watalii 10 basi 8 wamekuja kwa ajili ya serengeti.

Kwa takwimu za serikali serengeti ndio utalii wa Tanzania. Bila serengeti tungekua tunapata watalii laki 2 tu kwa mwaka.

Shida kwetu hapa ni pricing. Gharama ni kubwa sana.

Ukitaka kuona watanzania ni wezi na hatuko serious angalia tu hata ukisafiri kwa basi. Unafika kihoteli cha ajabu ajabu unauziwa mshikaki 5,000. Wali wa kijinga tena wa jana 8,000.
 
Mimi nimeacha kuja nyumbani miaka mingi sasa.

Usumbufu, wizi, hali ya usalama, uchafu na gharama kubwa inanifanya niishie hapa hapa nchi jirani na Japan.

Tanzania nasimamishwa zaidi na askari barabarani na afisa uhamiaji nikiwa mjini kuliko huku ugenini. Nani anataka stress wakati upo kwenye likizo?

Kodi ya vitu madukani ni kubwa kuliko nchi tajiri. Kodi Asia haizidi 10% na hata hizo tunarudishiwa tukirudi nyumbani. Ukifanya shopping ya zaidi ya $100 au $200, wanakurudishia VAT yako pale Bangkok na nchi nyingi tu zinazoheshimu watalii.

Tanzania, serikali inajitia inajua kila kitu. Haitaki kuambiwa kitu. Kuna mdau kaeleza tabia ya yule waziri wa utalii katika twitter, ana elimu lakini hana maarifa. Sijaona tofauti yoyote aliyoleta katika utalii zaidi ya kuonyesha ubabe ubabe wa maneno.

Naenda katika show za kitalii hapa Tokyo kila mwaka. Kibanda cha Tanzania kiko vile vile na vitabu vyao tu. Hawana elimu yoyote ya kujitangaza. Hata kahawa zetu hawakaribishi wageni nazo. Wamekaa tu kama wako kijiweni hivi. Wakenya wanaleta Wamasaii kuimba, Warwanda, Waganda na Wahabeshi wanakupa kahawa. Waghana wanakupa chakula chao uonje.

Sisi tumekwama sana kifikra.
 
Exactly pricing ndio tatizo. ...... na ndio maana tunashishindwa na kuhusu Serengeti wageni wengi wanaokuja TZ wanaenda huko sababu ndio tunayoiyaja. na kuitukuza.
 
Mimi nimeacha kuja nyumbani miaka mingi sasa.

Usumbufu, wizi, hali ya usalama, uchafu na gharama kubwa inanifanya niishie hapa hapa nchi jirani na Japan.

Tanzania nasimamishwa zaidi na askari barabarani na afisa uhamiaji nikiwa mjini kuliko huku ugenini. Nani anataka stress wakati upo kwenye likizo?

Kodi ya vitu madukani ni kubwa kuliko nchi tajiri. Kodi Asia haizidi 10% na hata hizo tunarudishiwa tukirudi nyumbani. Ukifanya shopping ya zaidi ya $100 au $200, wanakurudishia VAT yako pale Bangkok na nchi nyingi tu zinazoheshimu watalii.

Tanzania, serikali inajitia inajua kila kitu. Haitaki kuambiwa kitu. Kuna mdau kaeleza tabia ya yule waziri wa utalii katika twitter, ana elimu lakini hana maarifa. Sijaona tofauti yoyote aliyoleta katika utalii zaidi ya kuonyesha ubabe ubabe wa maneno.

Naenda katika show za kitalii hapa Tokyo kila mwaka. Kibanda cha Tanzania kiko vile vile na vitabu vyao tu. Hawana elimu yoyote ya kujitangaza. Hata kahawa zetu hawakaribishi wageni nazo. Wamekaa tu kama wako kijiweni hivi. Wakenya wanaleta Wamasaii kuimba, Warwanda, Waganda na Wahabeshi wanakupa kahawa. Waghana wanakupa chakula chao uonje.

Sisi tumekwama sana kifikra.
Eti kibanda chao kiko vile vile kila siku.

Watanzania ubunifu ni sifuri.
 
Kabla ujafika morogoro ukitokea chalinze Kuna maeneo mazuri sana kungetakiwa kuwe na hoteli nzuri sababu mandhari ya yale maeneo ni nzuri sana

Niliona kwenye barabara toka Harare hadi Gaborone kuna sehemu ya kupaki gari na vyoo visafi kila baada ya kilomita kadhaa (sikumbuki kama ilikuwa kila baada ya kilomita hamsini au vipi). Nilipita hiyo barabara mara nne hivi miaka ya 1993-1994.

Hii hali ya magari kusimama njiani na watu "kuchimba dawa - kunya mbugani" ni la kishamba kupita maelezo. Tuamke, na elimu itatuamsha
 
Ukichunguza wenye tenda za hiyo migahawa wengi ni wachaga,hawa watu hawanaga utu kabisa wenyewe ni pesa mbele.
Na usisahau hao wachaga wakishamaliza kuwahudumia wazungu hapo mgahawani hua wanawatafutia hao wazungu madadapoa wa kupumzika nao usiku kucha ambao ni dada zako wa kihaya.

Kwa hio ni mgawanyo wa majukumu tu.
 
Hizi facilities za kuchimba dawa ni shidaa

Walipaswa kuweka serviced, maintained clean stop points zenye hadhi huko, mbugani, haya masuala ya kuchimba dawa porini yabakie kuwa yetu sisi kama sisi..

Watalii wengine hawajawahi kutoka huko makwao, hawajui ulimwengu wa kuchimba dawa misituni!

Everyday is Saturday............................ 😎
Watakwambia 1 ya vitu vinavyowafanya watalii waenjoy huko porini ni kuona ni namna gani tunaishi (ikiwemo sisi kuchimba dawa porini/kuishi bila vyoo), kwa hio kwao hio eti ni moja ya adventures, hahahahah.
 
Eti kibanda chao kiko vile vile kila siku.

Watanzania ubunifu ni sifuri.
Lakini ni kweli, Mkuu. No jokes!

Huwa naenda kila mwaka, hamna mabadiliko yoyote. Hata maafisa wa kutoka wizara ya utalii hawapo. Kuna afisa mmoja tu wa ubalozini anagawa vitabu na mfanyabiashara wa Arusha anapeleka watalii kupanda mlima Kili.
 
Poor customer service.

Kila mtu akiingia google tu anaweza jua nini kiko wapi, tatizo ni huduma mbaya
 
Kama sekta binafsi hawawezi, serikali naishauri inunue mabasi madogo na kutoa kuduma bure kwa watalii. Watangaze package tours.

Nimeona mabasi ya bure Asia, unapelekwa kufanya shopping maduka mbali mbali, au unapelekwa mahotelini bure. Itawasaidia wafanyabiashara wadogo wadogo kuuza bidhaa zao kama mabasi yakisimama kwao. Pia inakuwa rahisi kwa mgenu kutembea bila ya kupoteza mda.

Kuna mito ya maji moto (hot spring) Morogoro nimeona, yanaitwa onsen kwa Kijapani. Hii ni biashara kubwa hapa kwa kuwa maji yake ni mazuri kwa afya ya binadamu. Kama sehemu hizo zikizungushiwa hoteli, watapata wateja wengi sana.

Hapo DSM, kama Oysterbay beach ingejengwa vizuri, watalii wengi wangekuja kuota jua hapo. Sio kila mtalii anataka kuona mlima na wanyama.

Ukienda Pattaya, Thailand au Bali, Indonesia, kuna bahari kama Oysterbay. Package tour zao za wiki moja kutoka Japan hazizidi $700 kununua usafiri, hoteli na chakula. Bali na Pattaya wanavuta watalii milioni 15 kwa mwaka kuota jua. Sisi tunavuta milioni 2 tu kwa nchi nzima na tuna vivutio bora zaidi!
 
Kuna standard coach zenye wahudumu kupokea watalii airport mpaka wakakokwenda?
Kuna affordable hotels za kutosha za mtu wa kawaida si zile za $3,000 kwa usiku?
Lakini hili la standard coach etc so la individual investor Mimi na wewe au foreigner na sio serikali??
E.g. Iwe Kilimanjaro Express, Dar Lux, New Force etc

Pia la hotel ni uwekezaji wa individual person etc na sio serikali.

So utakuta shida zetu zimeanza mbali huko nyuma ,

Political issues during liberation struggle na rushwa , zika sababisha under investment ktk tourism industry, education na watoa huduma, infrastructure wise hizo airport , uhamiaji, produce zetu iwe kuku,na chakula vingine viliua utalii wetu in terms ya hiyo rating or recommendation toka kwa mtalii moja au vikundi kwenda kwa wengine.

Na tulipobadilika kwa kuwekeza ktk hotels, lakini tulikuwa nyuma saana ktk other areas kama kwa watoa huduma , other services na foleni zetu, uhamiaji, wizi ktk hotel zetu, mishahara midogo, airport zilikuwa pia zipo na huduma mbovu.

Sasa hivi angalau hiyo airport na zingine kuwekewa tarmac run way kunaongeza reliability ya Usafiri wa ndege, barabara za mkoa kwa mkoa nazo zinaongeza reliability ya safari , sasa area zingine zinatakiwa zijiongeze, e.g. uhamiaji, na watoa huduma ktk hotels wale wa Dada na wakaka, na pia malipo kwa staff yaboreshwe au tupeane elimu ya wao kuwa ktk good mental state ya kuweza kutoa huduma.

Maana na sisi wabongo culture zetu zina dumaza maendeleo ya mtu moja moja, kwa kubebeshana mizigo isiyo yako.
Mtu moja atunze ndugu kumi
 
Lakini hili la standard coach etc so la individual investor Mimi na wewe au foreigner na sio serikali??
E.g. iwe Kilimanjaro Express, Dar Lux, New Force etc

Pia la hotel ni uwekezaji wa individual person etc na sio serikali.

So utakuta shida zetu zimeanza mbali huko nyuma ,

Political issues during liberation struggle na rushwa , zika sababisha under investment ktk tourism industry, education na watoa huduma, infrastructure wise hizo airport , uhamiaji, produce zetu iwe kuku,na chakula vingine viliua utalii wetu in terms ya hiyo rating or recommendation toka kwa mtalii moja au vikundi kwenda kwa wengine.

Na tulipobadilika kwa kuwekeza ktk hotels, lakini tulikuwa nyuma saana ktk other areas kama kwa watoa huduma , other services na foleni zetu, uhamiaji, wizi ktk hotel zetu, mishahara midogo, airport zilikuwa pia zipo na huduma mbovu.

Sasa hivi angalau hiyo airport na zingine kuwekewa tarmac run way kunaongeza reliability ya Usafiri wa ndege, barabara za mkoa kwa mkoa nazo zinaongeza reliability ya safari , sasa area zingine zinatakiwa zijiongeze, e.g. uhamiaji, na watoa huduma ktk hotels wale wa Dada na wakaka, na pia malipo kwa staff yaboreshwe au tupeane elimu ya wao kuwa ktk good mental state ya kuweza kutoa huduma.
Maana na sisi wabongo culture zetu zina dumaza maendeleo ya mtu moja moja, kwa kubebeshana mizigo isiyo yako.
Mtu moja atunze ndugu kumi
Hujanielewa, board ya utalii iweke standards za magari ya kwenda kuchukulia watalii, kama ni mtu mwenye tour service yake kabla ya kupata kibali bodi ikague uwekezaji wake. Pia kuwe na mikopo watu wanunue hayo magari na kuyalipia taratibu.

Zamani bodi ya utalii ilikuwa na hoteli zake, Bushtrecker, Sylver Sands, Bahari Beach, hizi zote zilibinafsishwa. Wenye hoteli wanakaguliwa kuona kuwa service wanayotoa inaendana na malipo wanayotoza?
 
Biashara ni matangazo, viongozi wetu wanafikiria kila mwenye ngozi nyeupe ni mtalii, hawajui hata potential customers wao ni watu wenye kipato gani. Ndio maana wanafanyaga adverts zao randomly tuu ili waonekane wapo serious kumbe hakuna lolote.

Kuja bongo ni gharama inabidi mtu ajipange haswa, kama sio savings za miaka kadhaa basi ni awe mtu mwenye income kubwa ambaye anaweza spend kama $10k asitetereke.

Kingine ni Bongo mbali, nchi kama Misri na akina Morocco wanapata watu wengi kwa sababu ya watalii wa long-weekends, mtu anaenda vacay ijumaa, by j3 au j4 asubuhii yuko kazini, huwezi kuja Tz kwa siku 3 au 4 ni very expensive. Na pia wazungu wengi hawapendi safari ndefu au ya kukaa masaa mengi kwenye ndege, wanataka kama masaa 2,3 au amejikaza sana 4.

La mwisho usanii wa makampuni ya utalii, nimekulia Ar so nawajua aanabtuu, wanaharibu sana sifa za nchi, mzungu kabla hajaenda mahali huwa anasoma sana reviews, na wazungu wanaandika sana reviews iwe ni kaenda dukani, hotelini au hospitalini lazima waandike walichoexperience, so wakisoma reviews wakaona Tz kuna matapeli wanaassume kila Mbongo ni tapeli.

Kingine ni Bongo mbali, nchi kama Misri na akina Morocco wanapata watu wengi kwa sababu ya watalii wa long-weekends, mtu anaenda vacay ijumaa j3 au j4 yuko kazini, huwezi kuja Tz kwa siku 3 au 4 ni very expensive. Na pia wazungu wengi hawapendi safari ndefu au ya kukaa masaa mengi kwenye ndege, wanataka kama masaa 2,3 au amejikaza sana 4.

La mwisho usanii wa makampuni ya utalii, nimekulia Ar so nawajua aanabtuu, wanaharibu sana sifa za nchi, mzungu kabla hajaenda mahali huwa anasoma sana reviews, na wazungu wanaandika sana reviews iwe ni kaenda dukani, hotelini au hospitalini lazima waandike walichoexperience, so wakisoma reviews wakaona Tz kuna matapeli wanaassume kila Mbongo ni tapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu wenye maisha stable
1. Amalize degree yake
2. Apate ajira
3. Anunue nyumba (ku secure mortgage)
4. Anunue gari.
5. Azunguke dunia akiwa holiday.

Hili la tano hufanyika kwa credit card, ndiyo maana wanapenda package holidays. Kila mwezi atalilipa deni kidogo kidogo mradi ali enjoy.
 
Tourism in Tunisia is an industry that generates around 9.4 million arrivals per year, which makes it one of the most visited countries in Africa. Tunisia has been an attractive destination for tourists since the beginning of the 1960s. Among Tunisia's tourist attractions are its cosmopolitan capital city of Tunis, the ancient ruins of Carthage, the Muslim and Jewish quarters of Jerba, and coastal resorts outside Monastir. According to The New York Times, Tunisia is "known for its golden beaches, sunny weather and affordable luxuries."[1]

Hii nchi tunawazidi kabisa kuhusu vivutio lakini wanavuna Usd 2 billion per annum kwa Utalii. Na Umewasaidi kuinua sekta nyingine ndogondogo kama infrasturcture, Dates and Olive farming, Fishing etc

Nadhani swala la kujitambua pia kama wananachi kuwa na right ethical attitude ya kufanya kazi. Waarabu wabaguzi lakini Tunisia ukienda wanaku pokea vizuri with respect mpaka unaweza kuongeza package za kwenda kutalii kwenye Southern deserts zao. Of course Tunisiana Airline pia iko very strong with many routes in Europe. Pia attraction ya Cost effective tourism packages inawasaidia sana.Tujiulize Lakini viatu hivi kigwangala vinamtosha kutuvusha kwenye utalii.
 
Biashara ni matangazo, viongozi wetu wanafikiria kila mwenye ngozi nyeupe ni mtalii, hawajui hata potential customers wao ni watu wenye kipato gani. Ndio maana wanafanyaga adverts zao randomly tuu ili waonekane wapo serious kumbe hakuna lolote.
Kuja bongo ni gharama inabidi mtu ajipange haswa, kama sio savings za miaka kadhaa basi ni awe mtu mwenye income kubwa ambaye anaweza spend kama $10k asitetereke.

Kingine ni Bongo mbali, nchi kama Misri na akina Morocco wanapata watu wengi kwa sababu ya watalii wa long-weekends, mtu anaenda vacay ijumaa, by j3 au j4 asubuhii yuko kazini, huwezi kuja Tz kwa siku 3 au 4 ni very expensive. Na pia wazungu wengi hawapendi safari ndefu au ya kukaa masaa mengi kwenye ndege, wanataka kama masaa 2,3 au amejikaza sana 4.

La mwisho usanii wa makampuni ya utalii, nimekulia Ar so nawajua aanabtuu, wanaharibu sana sifa za nchi, mzungu kabla hajaenda mahali huwa anasoma sana reviews, na wazungu wanaandika sana reviews iwe ni kaenda dukani, hotelini au hospitalini lazima waandike walichoexperience, so wakisoma reviews wakaona Tz kuna matapeli wanaassume kila Mbongo ni tapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahusika wanadhani wageni kuja Tanzania au kufanya utalii ni basic need hawawezi pindua lazima waje tu, kwa kua wanashida sana... kumbe hawajui tu kuna psychology kubwa tu behind travel
 
Back
Top Bottom